Simba hupakatwa - Inawezekana

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Ulishaona mtu ambaye kashindikana ( mke au mume) lakini akafika mahali akawa mpoleeee! Mnadhani inawezekana vipi? hakuna mzizi wala hirizi hapo!
Kazi kwenu!
 
nimekusoma between the lines WOS, na hapo niseme tu kwamba sio lazima awe ni mke/mume by then....kuna hata wale ambao hawajaingia kwenye huio mchakato lakini wanaonekana wameshindikana.....but wanafika mahali wanakuwa wapole tu...ila inatakiwa pia kuwa na aklili za ziada na ubunifu kuwa win back....
 
Mkuu naona umeanza kwa fumbo tufumbue wenyewe? kuna binti alikusumbua mwanzo nii, afu ukaja mpata, ndo unavo maanisha?
 
nimekusoma between the lines WOS, na hapo niseme tu kwamba sio lazima awe ni mke/mume by then....kuna hata wale ambao hawajaingia kwenye huio mchakato lakini wanaonekana wameshindikana.....but wanafika mahali wanakuwa wapole tu...ila inatakiwa pia kuwa na aklili za ziada na ubunifu kuwa win back....
Hommie ushawahi kuhisi kuhitaji kitu fulani lakini hukijui....?
Nadhan hii inakua ni home quest......mtu anazungukazugka kumbe anatafuta nyumbani kwake bila kujua....akifika anatulia!
 
WOS Nimeona Simba akipakatwa kwa mfumo wa picha pale stand ya mombasa ukiingia kuna picha kubwa sana...ya simba kapakatwa ananyweshwa kahawa...dah mombasa balaa.
 
Ulishaona mtu ambaye kashindikana ( mke au mume) lakini akafika mahali akawa mpoleeee! Mnadhani inawezekana vipi? hakuna mzizi wala hirizi hapo!
Kazi kwenu!

...usione simba katulia ukadhani paka. Hiari yake mtu kutulia, akiamua kucharuka tena hakuna wa kumzuia.
 
Ulishaona mtu ambaye kashindikana ( mke au mume) lakini akafika mahali akawa mpoleeee! Mnadhani inawezekana vipi? hakuna mzizi wala hirizi hapo!
Kazi kwenu!

hahaaaa, dadangu, huyo huwa kwa muda tu!!!

Asikwambie mtu, tabia haitibiwi.... we si ulishasikia ile hadithi ya simba tukiwa darasa la pili - simba alichomwa na mwiba iakawa mpole hadi binadamu akamtoa mwiba na ndio ukawa mwanzo ukoo wa simba???

SImba akipakatwa, ujue kashikwa pabaya... fikiria je mtu anaweza kushikwa pabaya mwaka mzima?
 
Mh yani....Mlevi,Malaya,Mwizi, Mgomvi,........etc !! zote izi character ya mtu mmoja? :help:

HAHAHAAAAAAAAAAAAAA..... yaani hapo bado sio kila kitu... kila kitu ni balaa

labda tukiongeza na hali, hanyi, haogi, hafui, haongei, hasikilizi, hatazami, hajui, haelewi, havai, havui, hatembei, hakai, hasimami, halali, hagusi, haguswi... hapo labda ndio itakua kila kitu!!! in short hakuna binadamu aliyeshindwa kila kitu jamani, AU NAKOSEA?
 
Hata Undertaker nae anakuwa mpole mbele ya mkewe. M-google uone jinsi anavyocare.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA..... yaani hapo bado sio kila kitu... kila kitu ni balaa

labda tukiongeza na hali, hanyi, haogi, hafui, haongei, hasikilizi, hatazami, hajui, haelewi, havai, havui, hatembei, hakai, hasimami, halali, hagusi, haguswi... hapo labda ndio itakua kila kitu!!! in short hakuna binadamu aliyeshindwa kila kitu jamani, AU NAKOSEA?

mh!!:rolleyez:
 
Anaweza kuwa mpole bila mizizi ila ytu ndo ule usema: AKIKUA ATAACHA
 
Ulishaona mtu ambaye kashindikana ( mke au mume) lakini akafika mahali akawa mpoleeee! Mnadhani inawezekana vipi? hakuna mzizi wala hirizi hapo!
Kazi kwenu!

Hayo ndiyo mambo ya "breakthrough"!

WOS naona kaweka wazi matokeo ya "kazi" yake:

Gud 4 U
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom