sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Kumbe huwa mnam diss ila mnamkubali kiaina 😂😂😂😂, nahisi wewe licha ya ukolo wako ulishinda hadi saa tisa usiku kusubiri utambulisho wa Aziz KiAcha kucopy na kupest
Hivi hata pre season ya mwaka jana imewasaidia kushinda kombe lipi zaidi ya mapinduzi ?Hii sumu ya kufilisika na kushindwa kupeleka team pre-season itaua mtu mwaka huu, nawakumbusha .
Kumbe huwa mnam diss ila mnamkubali kiaina 😂😂😂😂, nahisi wewe licha ya ukolo wako ulishinda hadi saa tisa usiku kusubiri utambulisho wa Aziz Ki
Hivi Haji Manara, aliwaroga? Yaani, wengi huwa hamtumii akili zenu, pindi Haji anapokuwa AMEHARISHA UHARO WAKE!Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi.
Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki?
Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi wenu, Leo mmecheza na Madreva Taxi wanaoshabikia hyo Club na Parking za Taxi zao ni nje ya Uwanja wa Ismailia, kuvaa jezi za Ismailia sio kigezo, kwani mkisema ukweli mtakufa?
Nb: Makolo 1- Ismailia Taxi Drivers 1
Period
hahaha, kwa hiyo hadi wewe kolo unamfatilia manara kuzidi mimi, naona mnamfatilia sana ila mnajidai kumpuuza, ile project ya unfollow mliishia wapi?Hivi Haji Manara, aliwaroga? Yaani, wengi huwa hamtumii akili zenu, pindi Haji anapokuwa AMEHARISHA UHARO WAKE! View attachment 2295571
Huna brainIsmailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi.
Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki?
Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi wenu, Leo mmecheza na Madreva Taxi wanaoshabikia hyo Club na Parking za Taxi zao ni nje ya Uwanja wa Ismailia, kuvaa jezi za Ismailia sio kigezo, kwani mkisema ukweli mtakufa?
Nb: Makolo 1- Ismailia Taxi Drivers 1
Period
Dar to Moro.Humu chege alitisha sana kwenye chorus
"Kama kunaendeka nijue kama hakuendeki nijue. Wapiii?"
View attachment 2295456
Huyu ndiye Manara mwenyewe fuatilia thread zake Manara alipotemwa na Simba.Hivi Haji Manara, aliwaroga? Yaani, wengi huwa hamtumii akili zenu, pindi Haji anapokuwa AMEHARISHA UHARO WAKE! View attachment 2295571