Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Rafiki,
Hivi yeye msee wetu Olesendeka anatarajiwa kuikomboa lini Simanjiro yetu?
Kwani yeye amekuwa kiongosi kwa muda gani sasa?
Ktk muda huo, kaifanyia nini Simanjiro yetu?
Rafiki, hii ni ngumu kumesa!
 
Na wewe rafiki, unakosea sana kugeneralise!

Unaposema wamasai hatunaga akili hata kidogooo, weye hapo unaonesa akili kweli?
 
Na wewe rafiki, unakosea sana kugeneralise!

Unaposema wamasai hatunaga akili hata kidogooo, weye hapo unaonesa akili kweli?

Nani kasema wamasai ni wajinga? Ni Mimi au nani? Ni kweli kuna baadhi ya wamasai wajinga kwa mfano Millya na Oleleshwa.
 
Nani kasema wamasai ni wajinga? Ni Mimi au nani? Ni kweli kuna baadhi ya wamasai wajinga kwa mfano Millya na Oleleshwa.

Katika post yake moja Ukweli Mtupu kasema '...Yani wamasai ni manamba wetu watarajiwa make hamnaga akili hata kidogo '
 
Nani kasema wamasai ni wajinga? Ni Mimi au nani? Ni kweli kuna baadhi ya wamasai wajinga kwa mfano Millya na Oleleshwa.
Kwanini usiwe wewe ndie mjinga kwa kuja na andiko la kijinga la kumsifia fisadi na mnafiki wakutupwa ole sendeka! Si unakumbuka undumila kuwili wake pale bungeni! alimponda Lisu kuwa hajui sheria, kabla mwezi haujaisha hoja ya marekebisho ya sheria ya katiba mpya iliporudishwa bungeni sendeka akalamba matapishi yake na kuja kumsifia Lisu kuwa anaijua sheria! Looo wewe na sendeka wako ni wamasai choka mbaya
 
Wewe mjinga kweli CCM inaletaje mvua? CCM imeuje mifugo, CCM ingewazuiyaje watu kwenda kufanya biashara wanazotaka? Mbona Millya amekimbia masaini ameenda kula kula bata town kufanya siasa za Chadomo ? Mbona Oleleshwa kinda huyu wa siasa ameacha ng'ombe ya Babayake yanakufa?

Endelea na ubabaishaji wako kama, pia acha kukaa nyuma na kufikiri kwa kutumia masaburi.
 
Mie nadhani wewe ndiye Ole Sendeka mwenyewe kwani una dalili zote za mto mwenye "kibyongo"!

Ana dalili zote za kupata zero form six siyo???? Kuna watu wanatia hasira mpaka unataka kuwalamba vibao.
 
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.

Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.

Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.

R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO

KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.

upumbavu ni kipaji! Na unacho GPA ya neg 5
 
umelipwa bei gani? kama Simanjiro kuna watu watano tu kama ww basi safari ya ukombozi bado ngumu mno !nani kakwambia siasa ni vita? TAFAKARI
 
umelipwa bei gani? kama Simanjiro kuna watu watano tu kama ww basi safari ya ukombozi bado ngumu mno !nani kakwambia siasa ni vita? TAFAKARI

Asee huo ukombozi wenu hautafanikiwa kwa maana tuko zaidi ya watano.
 
hivi kumbe kuna wamasai vilaza na cheap kiasi hichi......sikujua aisee..naamini mleta mada paka amefikia kuanzisha thread hapa ana elimu japo ya form iv,tafadhari acha kutumika kwa mambo yasiyo na faida kwa jamii yako dogo...tumia elimu uliyonayo kuwafundisha wenzako elimu ya uraia ili wafanye maamuzi sahii tuone kama unachokisema hapa ni sahii...
mwanzisha thread ni kilaza mbaya hata elimu ya uraia hana so hawezi fundisha wengine ni kumpoteza coz anafuata mkumbo wa babu zake wa kumuamini kumtukuza na kumuogopa mkoloni mweusi
 
Mh Mbunge anamajukumu mengi sana hawez kuja huku kwani atakuja kufanya nini.
Hakika umenena, ana majukumu mengi! ya kifisadi of course! Wezi katu hawathubutu kukanyaga humu, wakichungulia tu ni mawe kama kibaka vile...naona wewe umepotea tu njia, sasa angalia unavyorushiwa mawe...kibaka mkubwa!
 
Nyie tafuteni propaganda za kuwahadaa watanzania pasipokujua kuwa hawahadaiki, badala ya kufikiria nini mfanye ili angalau mwe na cha kuongea kwa miaka 51 ya uhuru wa tanganyika chini ya lindi kubwa la ujinga na umasikini uliokithiri pamoja na huduma duni za afya zinazotolewa chini ya ufadhili mkubwa wa rushwa inayoanzia kwenye chaguzi zenu za ndani, serikalini hadi kwa watumishi.

Wazeni upumbavu, chukueni maneno ya wassira mkiaminishwa kuwa kwa kufanya hivyo chadema itakufa kumbe ndio mnaijenga na kuiaminisha zaidi kwa wananchi maana ccm mmekosa sera, dira na kauli ya kuwaambia wananchi juu ya nini mmefanya cha maana hadi leo hii.
 
Back
Top Bottom