Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

ili kukaa kimya na kuficha ujinga wako, kuliko kulipuka na kuondoa shaka lililokuwepo
 
kama kawaida yangu mimi ni msema kweli japo najua hampendi ukweli lakini nitasimamia ukweli Daima zifutazo ni sababu zinazonifanya nisikubaliane na Chadomo kuwa James Kinyasi Millya anaweza kuwa mbunge wa Simanjiro,

1.kwanza kabisa Millya anajinadi kwa Wananchi wa Simanjiro kuwa yeye ni mwanaseria aliyetunukiwa cheti cha juu kabisa cha taaluma huyo, wananchi wasimanjiro huwa wanajiuliza inakuaje mtu mwenye taaluma hiyo ya sheria aliwahi kupigwa makofi hadharani na Mh mbunge wa Simanjiro, pamoja na kwamba anasema yeye amesoma zaidi kuliko Olesendeka alishindwa kufua dafu kwa mtetezi wa haki za wa nyonge Olesendeka, sasa huwa tunajiuliza kama elimu yake imeshindwa kumsaidia yeye mwenyewe itawezaje kuwasaidia wana simanjiro?

2.pili wazee wa kimila waliwahi kumuomba James Olemilya atoe kesi mahakamani wakamalize kijadi nyumbani kwani wamasai huwa wanamahakama zao na wanatumia kuwapatanisha waliogombana, ikiwa ni pamoja na vongozi wa kiserikali wanatokea kwenye makabila hayo. James Millya aliwajibu wazee hao kuwa yeye hana imani na mahaka za kijadi hivyo yeye ni mwanasheria anaimani na mahakama, japo aliishia kulalamika kuwa mahakama haija mtendea haki huku akisema atakata rufaa japo sifahamu kilicho mzuiya kukata rufaa baada ya kuongea na wandishi wa habari Dar es salaam, inashangaza na haingii akilini kama mh huyu alikuwa hana imani na mahakama ya wazee ambao ndiyo watakaye mpa kura sasa sijui atawambiaje watu ambao hana imani nao wamwamini wampe jukumu la kuwawakilisha kwenye Bunge la jamuhuri ya muungano.

3.James Millya anataka kuwagawa wanasimanjiro kwa rika zao, mpambe wake ambaye najua atakukuja hapa kujitapa Frank Oleleshwa aliwahi kuwambia wananchi wa Simanjiro hasa mamurani wa Korianga kuwa Millya ni Korianga hivyo anahitaji makorianga wote wawe chadema na ahakikishe watapambana na wazee waliotungoza siku zote bila kutupatia maendeleo, hili ni tatizo maana wazee wote wanaamini Millya na wapambe wake wanataka kuwajengea chuki wanasimanjiro wachukiane na hata mamurani hawapendi kuchonganisha na baba zao.

hizo ndizo sababu kuu zinazomfanya mh Olesandeka asimuwaze kijana huyu kuwa atakuwa nahasari yeyote kwenye uchaguzi ujao, pamoja na kwamba kamanda huyu wa chadema juzi alikwenda Orkesment na Gideon Sanago kuwahonga wazee wenye njaa kali na hapa nileweke walikuwa ni wazee fulani walevi wasio na mbele wala nyuma hata kura hawapigi, kwenda kumjengea boma ya nyasi eti kwa ishara kuwa atakuwa kiongozi wa simanjiro ilikuwa ni bure na haina madhara yeyote kwa ccm, wanasimanjiro wataendelea kuamini kuwa Millya ni mtovu wa nidhamu na alistahili kupigwa kofi.
 
Attachments

  • am.jpg
    am.jpg
    78.5 KB · Views: 72
Unavyotumika na kama Olesendeka amakuajiri kama karani wake basi najua ujira uko juu,nakama ni tofauti hata condoomu joto na msuguano likizid inapasuka.Kwa ujumla approach zako za kumkejeli Millya ni zero branded.CHADEMA ni chama kubwa siyo lazima Millya agombee Simanjiro kuna makamanda wengi wewe kila siku Millya.shame up on u simbilisi
 
Mkuu unahangaika sana, na huyo aliye kutuma, Ila sehemu muliyo kosea ni Moja tu, Wamasai wa Simanjiro wanao Acess Internet wakizidi sana ni 10, na wanao tumia JF unaweza kuwa ni wewe mwenyewe, so ni Bora mkajipanga upya na walio kutuma mkachapisha mabango mkaenda kubandika Huko Simanjiro, make humu utaishia kupata coment za watu wa MWANZA, DAR, MBEYA, DODOMA NA KWINGINEKO,

So kawaambie wanao kutumia kwamba mbadili mbinu make humu hao watu mnao taka wafikiwe na ujembe wenu wa majungu hawapo,

Kwa Ile simanjro ninayo ijua hata Redio ni Ishu sana achilia mbali TV, make nimewahi kwenda kufanya Research fulani ya uufugaji wa mbuzi, ilinibidi niondoke kabla ya muda make hakuna Uhai kule ni sawa na MWEZINI,
 
Mbona unasema kitu usichokiamini? Kwa post zako nimeamini milya ni mwembe wenye maembe ndio maana nyie wenye ulafi mnautupia mawe.
 
naomba kutambua elimu yako kwanza kabla sijakuuliza ulichoandika hapa, ila nikuache na moja tu, kwa sababu ulizozitaja hapa umesema Sendeka hamuwazi Millya, ila wewe ndo unamuwaza? maana kila mara unaleta post za kumtetea Sendeka, anakutuma au ndo mahaba?............
kama kawaida yangu mimi ni msema kweli japo najua hampendi ukweli lakini nitasimamia ukweli Daima zifutazo ni sababu zinazonifanya nisikubaliane na Chadomo kuwa James Kinyasi Millya anaweza kuwa mbunge wa Simanjiro,

1.kwanza k
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...otice-cdm-wakija-na-tamko-jingine-refu-2.html
 
Olemandalo, a.k.a kibaraka wa olesendeka amabaye pia nai mtoto wa dada yake na kila siku unatembea naye akukunadi kuwa msomi na mtaalamu kutoka CDTI-Tengeru ambaye hata bado hujahitimu, acha kumwandama Millya na Gidion Sanago bure maana wewe sio size yao na hao ni makamanda wa ukweli na 2015 Millya lazima atachukuwa simanjiro wewe endelea kumwabudi sendeka ili aendelea kukupeleka Golden Rose na City Park kula na na kahawa jioni na kukulipia ada. Otherwise unapoteza muda wako bure na kwavile Sendeke hana hata email adress licha ya uwezo wa kutmia JF anaribu kukutumia wewe.
kama kawaida yangu mimi ni msema kweli japo najua hampendi ukweli lakini nitasimamia ukweli Daima zifutazo ni sababu zinazonifanya nisikubaliane na Chadomo kuwa James Kinyasi Millya anaweza kuwa mbunge wa Simanjiro,

1.kwanza kabisa Millya anajinadi kwa Wananchi wa Simanjiro kuwa yeye ni mwanaseria aliyetunukiwa cheti cha juu kabisa cha taaluma huyo, wananchi wasimanjiro huwa wanajiuliza inakuaje mtu mwenye taaluma hiyo ya sheria aliwahi kupigwa makofi hadharani na Mh mbunge wa Simanjiro, pamoja na kwamba anasema yeye amesoma zaidi kuliko Olesendeka alishindwa kufua dafu kwa mtetezi wa haki za wa nyonge Olesendeka, sasa huwa tunajiuliza kama elimu yake imeshindwa kumsaidia yeye mwenyewe itawezaje kuwasaidia wana simanjiro?

2.pili wazee wa kimila waliwahi kumuomba James Olemilya atoe kesi mahakamani wakamalize kijadi nyumbani kwani wamasai huwa wanamahakama zao na wanatumia kuwapatanisha waliogombana, ikiwa ni pamoja na vongozi wa kiserikali wanatokea kwenye makabila hayo. James Millya aliwajibu wazee hao kuwa yeye hana imani na mahaka za kijadi hivyo yeye ni mwanasheria anaimani na mahakama, japo aliishia kulalamika kuwa mahakama haija mtendea haki huku akisema atakata rufaa japo sifahamu kilicho mzuiya kukata rufaa baada ya kuongea na wandishi wa habari Dar es salaam, inashangaza na haingii akilini kama mh huyu alikuwa hana imani na mahakama ya wazee ambao ndiyo watakaye mpa kura sasa sijui atawambiaje watu ambao hana imani nao wamwamini wampe jukumu la kuwawakilisha kwenye Bunge la jamuhuri ya muungano.

3.James Millya anataka kuwagawa wanasimanjiro kwa rika zao, mpambe wake ambaye najua atakukuja hapa kujitapa Frank Oleleshwa aliwahi kuwambia wananchi wa Simanjiro hasa mamurani wa Korianga kuwa Millya ni Korianga hivyo anahitaji makorianga wote wawe chadema na ahakikishe watapambana na wazee waliotungoza siku zote bila kutupatia maendeleo, hili ni tatizo maana wazee wote wanaamini Millya na wapambe wake wanataka kuwajengea chuki wanasimanjiro wachukiane na hata mamurani hawapendi kuchonganisha na baba zao.

hizo ndizo sababu kuu zinazomfanya mh Olesandeka asimuwaze kijana huyu kuwa atakuwa nahasari yeyote kwenye uchaguzi ujao, pamoja na kwamba kamanda huyu wa chadema juzi alikwenda Orkesment na Gideon Sanago kuwahonga wazee wenye njaa kali na hapa nileweke walikuwa ni wazee fulani walevi wasio na mbele wala nyuma hata kura hawapigi, kwenda kumjengea boma ya nyasi eti kwa ishara kuwa atakuwa kiongozi wa simanjiro ilikuwa ni bure na haina madhara yeyote kwa ccm, wanasimanjiro wataendelea kuamini kuwa Millya ni mtovu wa nidhamu na alistahili kupigwa kofi.
 
Ndugu yangu Olemandalo kuna mambo mengi ya msingi mnatakiwa mshughulikie huko simanjiro mambo ya Millya mbona ndio mmeyapa kipaumbele hivyo kwani wewe ndio utayepiga kura kwa niaba ya watu wa simanjiro?
 
Hata Arumeru kwa Nassari tuliambiwa kuna wazee wa kimila waliomkataa kamanda, lakini hatimaye akashinda. Sasa naona unaleta hizo hizo za wazee wa kimila na mahakama zao, bado watu hamjifunzi ya Arumeru?
 
sijawahi kuona ng'ombe wa kawaida akipigwa risasi wakati wa kuchinjwa labda awe kichaa.
ukiona kila siku mwindaji kabeba bunduki na kudai anachofuata ni ng'ombe tu na hana madhara kwa hiyo umsindikize mikono mitupu jua wewe ndo utakuwa mjinga.
kama millya hana madhara kwa ole sendeka bunduki za nini?
 
Kwani milya kakwambia anataka kugombea simanjir? Hali inavyoonyesha sasa kila gamba moja limeajiri mtu wake wamtandaoni maana sasa ni kero tu. Mnakimbia vivuli vyenu du raha sana.
 
Back
Top Bottom