Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Elezea kwa undani jinsi ole sendeka alivyojipanga kummaliza millya,kwani watanzania wengine hawaruhusiwi kueleza hisia zao kisiasa?au magamba ndio wenye haki miliki ya kutawala na kuongoza nchi hii?Funguka mkuu.
 
Nyie tafuteni propaganda za kuwahadaa Watanzania pasipokujua kuwa hawahadaiki, badala ya kufikiria nini mfanye ili angalau mwe na cha kuongea kwa miaka 51 ya uhuru wa tanganyika chini ya lindi kubwa la ujinga na umasikini uliokithiri pamoja na huduma duni za afya zinazotolewa chini ya ufadhili mkubwa wa rushwa inayoanzia kwenye chaguzi zenu za ndani, serikalini hadi kwa watumishi.

Wazeni upumbavu, chukueni maneno ya wassira mkiaminishwa kuwa kwa kufanya hivyo chadema itakufa kumbe ndio mnaijenga na kuiaminisha zaidi kwa wananchi maana ccm mmekosa sera, dira na kauli ya kuwaambia wananchi juu ya nini mmefanya cha maana hadi leo hii.
 
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu. Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake. Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.R.I.P MILLYAR.I.P OLELESHWAR.I.P CHADEMA SIMANJIROKWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.
Ndugu mwandishi umejitahidi sana kutumia neno sisi lakini hujaeleweka unawawakilisha kina nani? Jitahidi ku emprove communication language yako
 
Elezea kwa undani jinsi ole sendeka alivyojipanga kummaliza millya,kwani watanzania wengine hawaruhusiwi kueleza hisia zao kisiasa?au magamba ndio wenye haki miliki ya kutawala na kuongoza nchi hii?Funguka mkuu.

Huo ni mkakati wa siri siwezi uweka humu nyinyi wenyewe mtaona si Tupo?
 
huyu atakuwa amesoma hivi vyuo vikuu vya siku hizi bongo, hajui nini anaandika, hana hata paragraph
Ndugu mwandishi umejitahidi sana kutumia neno sisi lakini hujaeleweka unawawakilisha kina nani? Jitahidi ku emprove communication language yako
 
Safi sana ! Kama mkakati wa ccm ndiyo huu wa kuingiza pumba humu jf ili kupigania roho ya marehemu , basi Mimi Erythrocyte nikiwa na akili timamu tena bila kushawishiwa na mtu yeyote kwa fedha au kwa sera zake , naapa kwamba nitahakikisha kwamba Ndugu Olle Sendeka , yeye binafsi au mpambe wake hawatarudi bungeni 2015 na nafasi yake nampatia rasmi James Millya wa Chama cha demokrasia na maendeleo , ili kuwakomboa watu wote , siyo Bi Kidude na Ray C tu ! Chao by now !
 
kwa taarifa yako Ole Milya ndiyo kwanza ameanza kwenda na kasi ya chadema kama ulikuwepo kwenye mkutano wa leo utakubalina na hilo mwanzo niliona si lolote lakini kwa sasa namwingiza kwenye moja ya makamanda wa ukweli chadema kwa hiyo hizo propaganda za kipumbavu mpelekee mama yako na shangazi yako..
 
Nilishasema ccm haina vijana wenye akili za kuweza kutafakari mambo muhimu ya nchi hii,wanachowaza wao ni wapi watakula siku hiyo basi ,wapo kama ng,ombe,kama mbuzi,sasa huyu naye anakuja ana pumba zake hapa anategemea great thinkers wapokee na kugonga like ,hii ni aibu ya mwaka .magamba mtatumika sana miaka hii 2 iliyobaki lkn aibu kubwa inawangoja mbeleni
 
Safi sana ! Kama mkakati wa ccm ndiyo huu wa kuingiza pumba humu jf ili kupigania roho ya marehemu , basi Mimi Erythrocyte nikiwa na akili timamu tena bila kushawishiwa na mtu yeyote kwa fedha au kwa sera zake , naapa kwamba nitahakikisha kwamba Ndugu Olle Sendeka , yeye binafsi au mpambe wake hawatarudi bungeni 2015 na nafasi yake nampatia rasmi James Millya wa Chama cha demokrasia na maendeleo , ili kuwakomboa watu wote , siyo Bi Kidude na Ray C tu ! Chao by now !

Kwanza na wasiwasi na upeo wako wa kufikiri hili la kwanza lakini la pili nauhakika ujamaliza Darasa la Saba, nyinyi ndo mtaji mkubwa wa Chadema kwa UFADHILI mkubwa wa Viroba na hata sasa wewe hapo ulipo umekunywa vya kutosha Leo si mlikuwa kilimbero so kuna viroba vya kutosha, kijana Millya hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi, achilia mbali ubunge watu wa Simanjiro wanaakili hawawezi kuongozwa na Pongo Kama Millya, wa Ida ya siasa mjini, kwanza amesha fundishwa uhuni hatuwezi kumwamini tena na kwanza kwa taarifa yako anaomba kurudi CCM tumemkatalia sema Oleleshwa tutampokea huyu jamaa anatatizo moja anataka Millya amlipie Deni analodaiwa MWEKA sema akirudi home kitu kidogo sana.
 
Join Date : 7th December 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Yaani zimetengenezwa Ids fake nyingi hapa mwezi Nov & Dec kuliko wakati mwingine wowote..! Huo mkakati wao toka kwa Mwenyekiti wao kwamba wajibu hoja zicizojibika wakati yeye mwenyewe hawezi kujibu..!
 
njaa mbaya sijui watanzania tutaamka lini
kama vijana tunakuja na mawazo finyu kama haya kutetea wazee wasio na tija
katika mustakhbali wa Tanzania mpya tuitarajiayo.
 
Kuna tatizo. Inaonekana wengi wa hawa jamaa wa CCM ni washamba wa mitandao. Kizazi cha bricks-and-mortar hakiwezi kushindana na dot com generation.
 
Olemandolo, wewe kweli kilaza na una akili sawa na kilaza wako Olesendeka aliyepata zero form six, afadhali Oleleshwa ambaye amemaliza akashindwa kulipia ada maana sidhani kama wewe una elimu yoyote. Isitoshe unataka Chadema wafike mara ngapi simanjiro muwasi? Mbona wameshafika mara nyingi na hamjafanya chochote? acha bangi na Porojo kama ni picha za M4C simanjiro tunazo hadi za choper
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.

Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.

Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.

R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO

KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.
 
sasa bisha tena
 

Attachments

  • m4c1.jpg
    m4c1.jpg
    377.3 KB · Views: 62
  • m4c2.jpg
    m4c2.jpg
    356.5 KB · Views: 48
  • m4c3.jpg
    m4c3.jpg
    421.2 KB · Views: 52
Millya alikuwa anaongea na wanasimanjiro kwenye operasion ya M4c
 
Pauline Gekul ndani ya M4C Simanjiro
 

Attachments

  • m4c4.jpg
    m4c4.jpg
    159.7 KB · Views: 60
  • m4c5.jpg
    m4c5.jpg
    147.8 KB · Views: 49
Hawa Chodomo wana midomomo kweli kweli yani mnafikiri mnavyo fanya nyinyi ndivyo tunavyofanya, Mimi silipwi na mtu yeyote wala sitegemei kulipwa Kama Oleleshwa, Mimi ni kazi yangu mzuri lakini ukweli ni kwamba Millya ameshakufa kisiasa kabisa, Hilo liko wazi hata yeye anajua Chadema Simanjiro ni sifuri.

Vipi, Umeolewa?.. Utahongwa saana mwaka huu Spike Lee yuko wapi?
 
Back
Top Bottom