Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

huyu mila...sorry milria nina wasiwasi nae na hyo master sijui kaipata wapi,hawezi kupanga anachotaka kuderiver badala yake anaandika mipasho.........yeye na seneka dugu moja
 
Hivi James Millya anataka kutufanya sie wote ni watoto wadogo au wajinga? Yeye kama ana taaluma ya sheria hakuona mwenendo mzima wa kesi ulivyokuwa unamuelemea? Hili lilikuwa wazi kabisa hata kwa mtu asiyejua sheria, hiyo janja yako unataka kumletea nani? Ach hizo, maamuzi yako ya pupa yamekutokea puani. Wahenga walisema, mtu aliyejifunga taulo akivuliwa sharti achuchumae, kaka kwa hili umeumbuka, kubali yaishe.
 
Siku nyingine jitahidi kuwa makini na ushauri unaopewa na marafiki zako. Mtu ukishauriwa, changanya na ushauri wako ndio ufanye maamuzi yako, na sio utumie ushauri unaopewa na marafiki. Millya, nimeanza kuwa na mashaka makubwa na kiwango cha uwezo wako kiakili. Umeidhalilisha sana Elimu yako, ndugu zako, marafiki zako na jamaa zako.
 
Wazee, huyu millya ni kilaza kupita maelezo. Chuo alichosoma mtu akimaliza masters lazima afanye publication in pieer reviewed journal. Lakini thesis yake haijatoa paper hata moja na ni 54 pages. Sasa hii kazi alinakili mahali au alifanya utafiti? na kama ni tafiti why not published? Was it of low quality or not even needed in journals. maojiano yake na waandishi yamenifanya nifikie kuuliza hayo maswali hapo. Wana jamvi nisaidieni.

Amesoma vyuo gani?
 
Chechetuka Mkuu umenena. Jamaa consistently anendelea ku-understimate intelligency ya waTZ kupambanua mambo bila kujua kwamba watu wameifuatilia hii sakata na hata wanajua malengo yake. Kwa approach hii, ni watu wachache ambao sasa watashindwa kung'amua kwamba dogo yuko desperate kuupata ubunge na yeye na wakuu wake wanadhani kwamba namna bora ni kumrushia mawe mtu halafu unakimbia ukilia kwamba yule uliyemrushia mawe ni mchokozi. Kaka ubunge wa Simanjiro sasa utausikia kwenye pipe! Jiandae kuwa katibu wa jimbo la mmoja wa waliokutuma.
 
Sasa hapa amemlipua au kajilipua?
Ajue kuwa jamii haipendi watu wanafiki na wanaopenda kujipatia mafanikio kwa njia za mkato. Anamlaumu bure tu Mengi wa watu. Haya yote alijitakia mwenyewe. Hujitangazii umakini au usafi. Acha jamii waone, watasema. Kwa sasa jamii inamuona kijana huyu kuwa ni mtu aliyepotoka kwa unafiki na kutumiwa kisiasa na wanasiasa waliochafuka katika macho ya jamii. Katika siasa ukijiunga na wachafu kisiasa nawe unachafuka. Milya ulishachafuka, na kujisafisha sio kumlaumu Mengi.
 
Pole James Millya,ningekuwa mimi ni wewe ningetumia muda huu kupigania Maslahi ya Wananchi dhidi ya Mafisadi kwani ndilo watanzania tutuakuwa tayari kukusapoti.Hebu wanajamii tusaidiane hakuna mtu anaweza kufungua kesi dhidi ya serikarikari juu ya maslahi ya nchi naona tunapoteza muda sana juu ya maslahi ya mtu mmojammoja hasa anapotaka madaraka kupitia huruma ya wananchi.kama huan jipya James waaulize wazee waliokushauri myamalize kimila ukajiona unajua eti unataka sheria ichukue mkondo wake.sheria ishachukua nafasi yake bado hutaki what more do you need?
 
Sasa hapa amemlipua au kajilipua?
Ajue kuwa jamii haipendi watu wanafiki na wanaopenda kujipatia mafanikio kwa njia za mkato. Anamlaumu bure tu Mengi wa watu. Haya yote alijitakia mwenyewe. Hujitangazii umakini au usafi. Acha jamii waone, watasema. Kwa sasa jamii inamuona kijana huyu kuwa ni mtu aliyepotoka kwa unafiki na kutumiwa kisiasa na wanasiasa waliochafuka katika macho ya jamii. Katika siasa ukijiunga na wachafu kisiasa nawe unachafuka. Milya ulishachafuka, na kujisafisha sio kumlaumu Mengi.
Uwezo wa Kitila kila siku unashuka,haiwezekani katika maandishi yote hata wewe huwezi kuona hoja ata moja,Mengi ni ***** moja ambalo linamtetea mtu bila kujali ata kama amekosa,Millya sio kichaa ila niwazi kuwa walinunua mashahidi wake ili wakamruke,as inawezekana vipi mtu awe shahidi Millya then awe mwenyekiti wa kamati ya mapokezi baada ya Sendeka kushinda kesi.....shame upon you all mn aomtetea kichaa sendeka kwa mwavuli dhaifu wa ufisadi uliojengwa kwenye misingi ya wivu na uchochezi
 
Uwezo wa Kitila kila siku unashuka,haiwezekani katika maandishi yote hata wewe huwezi kuona hoja ata moja,Mengi ni ***** moja ambalo linamtetea mtu bila kujali ata kama amekosa,Millya sio kichaa ila niwazi kuwa walinunua mashahidi wake ili wakamruke,as inawezekana vipi mtu awe shahidi Millya then awe mwenyekiti wa kamati ya mapokezi baada ya Sendeka kushinda kesi.....shame upon you all mn aomtetea kichaa sendeka kwa mwavuli dhaifu wa ufisadi uliojengwa kwenye misingi ya wivu na uchochezi

Nimeipenda staili yako ya kujitambulisha JF..... Mengi ni ***** hebu tupe CV ya Mengi ikoje

Join Date: Mon Jul 2007
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
 
Uwezo wa Kitila kila siku unashuka,haiwezekani katika maandishi yote hata wewe huwezi kuona hoja ata moja,Mengi ni ***** moja ambalo linamtetea mtu bila kujali ata kama amekosa,Millya sio kichaa ila niwazi kuwa walinunua mashahidi wake ili wakamruke,as inawezekana vipi mtu awe shahidi Millya then awe mwenyekiti wa kamati ya mapokezi baada ya Sendeka kushinda kesi.....shame upon you all mn aomtetea kichaa sendeka kwa mwavuli dhaifu wa ufisadi uliojengwa kwenye misingi ya wivu na uchochezi

Karibu JF lakini kiswahili chako ni kibovu mno. Hapa wamejaa Great Thinkers sijui wewe ni thinker gani ambaye badala ya kuandika mambo ya msingi umeingia na kuanza kutoa matusi kwa Mzee Mengi na wale wanaomtetea Ole Sendeka.

Great Thinkers hapa JF huwa wanakuja na ushahidi 'without reasonable doubt' wa yale wanayosema sasa wewe una ushahidi gani kwamba mashahidi wa Millya walinunuliwa?

Hapa wapo wanaomfahamu Millya tangu shuleni kwamba alikuwa wa kujikomba-komba kwa wakubwa. Je, wasemaje kwa hilo?

Yaelekea unahitaji msaada na ushauri nasaha ili uweze angalao kujua wajibu wako hapa JF - The Home of Great Thinkers. Shame on you, mwenyewe!!
 
Hivi Kingunge ana division gani? let alone kusoma? Does politics needs someone to have a division? mbona US kuna marais hawakwenda hata darasa moja but wamekuwa marais? Acheni kucomplicate issue mie nadhani la muhimu ni mtu kuwajali wananchi na kuwa na hekima na busara basi.

Swali la shule ni additional qualification tu!!!!
Mzee kingunge Ngombale Mwiru au Keaton Morris ni University graduate tena wa enzi zile
 
Ndugu yangu Ole Milya Mosi, ukiongelea masuala ya kuwapa Mimba wanafunzi wa shule kwa Ole mwenzio Sendeka si unataka chama chenu kiporomoke kabisa kwani kuna taarifa rasmi ya waziri wa wizara nyeti wa kutokea wilaya ya mwanza mjini alishampa mimba mwanafunzi na akahonga familia Tsh 100Milioni. Kama ni kufuatilia waharibifu wa aina hiyo chama chenu kitafutwa jhata Usajili maana mmezoea vya ulaini tuu? Mbili, kama wewe ni msomi wa kweli mwenye ngazi ya shahada ya pili unaweza kweli kupigwa kofi shavu la kulia na ukaandika katika maelezo yako ni la kulia na mara mahakamani umesahau ukasema la kushoto, unatufanya hata shahada zako tusiziamini, hebu tuwekee CV yako tuithaminishe au ndio mambo ya SI HASA?
Tatu, Una ushahidi usiopingika kwa tuhuma unazomtupia Mengi ukiwa umesoma sheria unaelewa athari za kuzusha.
Nne, Unaovyosema Mengo na Ole Sendeka wanaiba madini ya Tanzanite simanjiro ni kutuambia kuwa serikali inayoongozwa na chama chenu ndio utaratibu wake kutuoibia rasilimali za watanganyika na kujinufaisha ninyi na chama chenu tuu (tunashukuru kwa taarifa ya maandishi ya mnachotufania na chama chenu kwenye rasilimali zetu).

KAKA UNAUA CHAMA CHENU INGAWA KIKO KWENYE HATUA UA UMAHUTUTI TAYARI KWA LENGO A KUMCHAFUA OLE MWENZIO MLIO NDANI YA CHAMA HICHO.
 
Huyo Sendeka amekuwa bingwa wa kuona shida za majimbo yawenzake wakati jimbo lake hakuna maji, barabara hospital wala umeme lakini utamsikia sioi ataleta maendeleo kwa kusaidiana naye halafu bila aibu anaongea na kutoa kwa wapinzani.

Millya ulishasema wewe ulipoamua kuwa mwanasiasa hukupanga utakuwa chama gani, sasa basi ikiwa vipi 2015 jitose hata cdm utukomboe na huyu mzee .

Anachojua kwenda kuomba mchanga tanzanite one kama na kufanyia mipango watu wanaotoka maeneo ya mbali na simanjiro kupata ajira tanzanite one.

Tunaelewa kwenye magamba atakushinda lakini ukitoka hapo hanabati.
 
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.

Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.

Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.

R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO

KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.
 
Ahsante mkuu kwa pumba zako! Ahya nenda kachukue posho yako lumbumba kwa kazi nzuri ya kuimplement yale maazimio ya lumumba kwani hii ni ajira kwenu wachumia tumbo, thread 1 unapata posho ya buku 5, si haba lakin.
 
Mbona na wewe umeonyesha wazi unatumiwa kama kondom na Sendeka nani kakupa mamlaka ya kutangaza vita unafikiri simanjiro ni eneo la ukoo wenu.Hivyo viroba unavyosema si vinatengenezwa chini ya serekali ya chama chako kama havifai mbona hamvipigi marufuku mnaendelea kunenepea kodi zake
 
Hawa Chodomo wana midomomo kweli kweli yani mnafikiri mnavyo fanya nyinyi ndivyo tunavyofanya, Mimi silipwi na mtu yeyote wala sitegemei kulipwa Kama Oleleshwa, Mimi ni kazi yangu mzuri lakini ukweli ni kwamba Millya ameshakufa kisiasa kabisa, Hilo liko wazi hata yeye anajua Chadema Simanjiro ni sifuri.
 
Back
Top Bottom