Hawa Chodomo wana midomomo kweli kweli yani mnafikiri mnavyo fanya nyinyi ndivyo tunavyofanya, Mimi silipwi na mtu yeyote wala sitegemei kulipwa Kama Oleleshwa, Mimi ni kazi yangu mzuri lakini ukweli ni kwamba Millya ameshakufa kisiasa kabisa, Hilo liko wazi hata yeye anajua Chadema Simanjiro ni sifuri.
kama kuna kitu kimeanyika na ole sendeka kielezee hicho. na sio hisia zako.kama hakuna tafuta jukwaa jingine ueleze jinsi usuivyompenda ole millya
Hawa Chodomo wana midomomo kweli kweli yani mnafikiri mnavyo fanya nyinyi ndivyo tunavyofanya, Mimi silipwi na mtu yeyote wala sitegemei kulipwa Kama Oleleshwa, Mimi ni kazi yangu mzuri lakini ukweli ni kwamba Millya ameshakufa kisiasa kabisa, Hilo liko wazi hata yeye anajua Chadema Simanjiro ni sifuri.
Mzee Olesendeka ndio mkombozi wa Simanjiro.
Hawa Chodomo wana midomomo kweli kweli yani mnafikiri mnavyo fanya nyinyi ndivyo tunavyofanya, Mimi silipwi na mtu yeyote wala sitegemei kulipwa Kama Oleleshwa, Mimi ni kazi yangu mzuri lakini ukweli ni kwamba Millya ameshakufa kisiasa kabisa, Hilo liko wazi hata yeye anajua Chadema Simanjiro ni sifuri.
Identical to materials contained in a septic tank.Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.
Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.
Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.
Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.
R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO
KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.
unazalilika kwa garama ndogo mkuu pole sana, ebu jaribu kuwaonea huruma wamasai wenzako wale mifugo yao yote imekufa kwajili ya ukame wameamua kua wasusi,walinzi na wauza mitishamba. Sababu yote hiyo ni ccm unayoitetea apa jamvini
hivi kumbe kuna wamasai vilaza na cheap kiasi hichi......sikujua aisee..naamini mleta mada paka amefikia kuanzisha thread hapa ana elimu japo ya form iv,tafadhari acha kutumika kwa mambo yasiyo na faida kwa jamii yako dogo...tumia elimu uliyonayo kuwafundisha wenzako elimu ya uraia ili wafanye maamuzi sahii tuone kama unachokisema hapa ni sahii...
Wewe mjinga kweli CCM inaletaje mvua? CCM imeuje mifugo, CCM ingewazuiyaje watu kwenda kufanya biashara wanazotaka? Mbona Millya amekimbia masaini ameenda kula kula bata town kufanya siasa za Chadomo ? Mbona Oleleshwa kinda huyu wa siasa ameacha ng'ombe ya Babayake yanakufa?