Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Ivi kujiunga na chama cha siasa ni kupotoshwa? Elimu ni muhimu sana we gamba.MTAISOMA NAMBA YA MILLYA KWA NYUMA.
 
Join Date : 8th December 2012
Posts : 11
Rep Power : 303
Likes Received0
Likes Given0

ndio umejiunga JF kwa kazi hii? you are in a wrong place wearing wrong shoes, pole sana!
 
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.

Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.

Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.

R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO

KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.

Wewe ni nani hata utishie maisha ya watu?samahi ndugu hivi umeongea kwa mujibu wa katiba ya JMT au ya CCM? Mod kwa nini watu kama hawa msiwapige ban?
 
Ivi kujiunga na chama cha siasa ni kupotoshwa? Elimu ni muhimu sana we gamba.MTAISOMA NAMBA YA MILLYA KWA NYUMA.

MILLYA GO MILLYA GO, USIWASIKILIZE MAGAMBA KWANI AO NI MBWA KACHOKA KASORO TU MKIA, WAMEIONA NA KUITAMBUA NGUVU YAKO NDO WANAJARIB KUKUKATISHA TAMAA, SIMANJIRO NI JIMBO LAKO ILO 2015 NDUGU YETU, WANASIMANJIRO WAMEKUELEWA, KAMWE USIRUD NYUMA TUNAKUITAJ BUNGENI KM MTETEZi WETU WANYONGE
 
Hawa Chodomo wana midomomo kweli kweli yani mnafikiri mnavyo fanya nyinyi ndivyo tunavyofanya, Mimi silipwi na mtu yeyote wala sitegemei kulipwa Kama Oleleshwa, Mimi ni kazi yangu mzuri lakini ukweli ni kwamba Millya ameshakufa kisiasa kabisa, Hilo liko wazi hata yeye anajua Chadema Simanjiro ni sifuri.

Ungekuwa na kazi nzuri ungekuwa na akili. Au kwako kujikomba ndio kazi nzuri? Ole Sendeka amefanya yapi mazuri Simanjiro? Kuzalisha watoto wa shule na kuwatelekeza?
 
Wewe ni nani hata utishie maisha ya watu?samahi ndugu hivi umeongea kwa mujibu wa katiba ya JMT au ya CCM? Mod kwa nini watu kama hawa msiwapige ban?

NA ANAONGEA KWA NIABA YA NANI? AU II NDO MIKAKATI YA JANGILI KINANA? MAANA CCM WAMEPIGA MIKUTANO MITANO YOTE WAKAZOMEWA NA WANACHAMA WAO WAMEIBUKA SASA NA STYLE YA KIZAMANI YA VITISHo
 
Ni kweli CCM imefikia kiwango cha chini kiasi hiki au ni watu wachache tu wasiojua siasa hasa ni nini?
 
Hawa Chodomo wana midomomo kweli kweli yani mnafikiri mnavyo fanya nyinyi ndivyo tunavyofanya, Mimi silipwi na mtu yeyote wala sitegemei kulipwa Kama Oleleshwa, Mimi ni kazi yangu mzuri lakini ukweli ni kwamba Millya ameshakufa kisiasa kabisa, Hilo liko wazi hata yeye anajua Chadema Simanjiro ni sifuri......

Kwa kifo chake kinakusaidia nini wewe zuzu. Unaita watu majina ya Chodomo kuonyesha chuki. Kachukue mshiko kwa Sendeka kama siyo Lumumba ngoma yenu ya kashfa mtaicheza wenyewe.
 
inawezekana ikawa ndo kiwanda cha mwisho cha kufunga mwaka?
 
Tumeanzish a vita simanjiro,mimi nikaogopa nikafikiri wanajitenga na jamuhuri ya Tz kumbe bange za mla pilau za kampeni?pole gamba dowas imewashinda millya sindio mtakesha.
 
Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Inaonekana siku hizi usipokuwa CCM na kusapoti upinzani basi una 'njaa kali'!
 
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.

Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.

Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.

R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO

KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.

Ulieandika hii thread hapa sio mahala pake ingekuwa vizuri zaidi ukawaface moja kwa moja maana hapa unatuma watu wakamweleze Millya na Oleleshwa sisi tunawajulia wapi??? wewe unaowafahamu basi ndio ukawaeleze hapa tunahitaji kujua maendeleo ya nchi hii yanavyokwenda na sio kutuma salamu....
 
Kwa njisi unavyoongea unaonekana kuwa umelewa kiroba na bhangi chakari. Wewe ni mtu mdogo sana na wala humuwezi milya. Kinachokusumbua ni bhangi na gongo uliyokunywa....
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.

Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.

Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha.

Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.

Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.

Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.

R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO

KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.
 
Humu jamvini kumevamiwa na wanapropaganda wa Nape!..kuna hoja zinajengwa kwa nia ya kuwapa nafasi ya kupumua hawa jamaa wenye magamba. Naamini hii ni sehemu ya mkakati wao wa kuichafua CDM, lakini wananchi wameshakata tamaa na uongozi wa ccm na serikali yake. Sioni ni kwa namna gani wanasimanjiro wanavyoweza kukubaliana na propaganda hizi. Sikio la kufa halisikii dawa
 
psychiatric case
Mh Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka ameaamua kumpoteza kabisa hasimu wake wa kisiasa James Millya kwenye ramani ya siasa.Hatua hiyo imefikiwa na kiongozi huyo baada kijana huyu asiye na nidhamu kujigamba Mara nyingi kuwa ndiyo Mbunge wa Simanjiro ajaye.Kijana huyu alienda mbali zaidi kwa kuwahonga baadhi ya wazee wenye njaa Kali wakajiita wao ni wazee wa Simanjiro na kumsimika kuwa kiongozi wa Simanjiro yani Mbunge, vile vile tumeamua kusambaratisha kabisa kibaraka wake wa karibu anayemtumia Kama mwenye njaa Kali vile hapa namzungumzia kijana mmoja mdogo sana anaitwa Frank Oleleshwa ambaye amekuwa akitumika kumchafua Mbunge wetu.

Amekuwa akiwapotosha vijana na wazee wengi wa Simanjiro ili wajiunge na CHADEMA, kwanza Oleleshwa aliwahi kukaimu kuwa mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro kwa mda tulimgundua kuwa ni kada wa CHADEMA, tulivyo msanukia na kumvua madaraka akahamia CHADEMA na akaondoka Simanjiro akahamia Arusha. Kijana huyu alisoma kwenye chuo kimoja cha wanyama Pori kilichoko Moshi na kuna taarifa kuwa ameshindwa kuajiriwa kwa sababu anadaiwa chuoni hapo hivyo ajakabidhiwa shahada yake, hivyo kijana huyu (Oleleshwa) anajipendekeza kwa James Millya kuona Kama Millya atamlipia Deni lake.

Kwanza kabisa huyu kamanda wa CHADEMA si mwanasiasa hivyo Hana uwezo wa kushindana na sisi, tunatangaza vita dhidi ya Millya, tunatangaza vita dhidi ya Oleleshwa, tunatangaza vita Dhidi ya CHADEMA Wilaya ya Simanjiro, sisi hatunywi viroba wala hatuvuti bangi, hawa CHADEMA wajaribu kukanyaga Simanjiro waone.

Na huyu Oleleshwa mwambieni maana najua yuko huku Tukimuona Simanjiro tutamuhasi.

R.I.P MILLYA
R.I.P OLELESHWA
R.I.P CHADEMA SIMANJIRO

KWA KUMUONEA KIJANA HUYU ANAYEISHI MJINI KWA UFADHILI WA MILLYA AJE CCM TUMLIPIE DENI LAKE LA MWEKA.
 
Nyie ndo mnaweza kummaliza Millya, hata kiswahili bado hamjui! Nendeni mkajipange Millya kawashika pabaya!

Hapo penye rangi nyekundu natofautiana na wewe.Kutokujua kwao kiswahili ndio inaweza kuwa nafasi pekeee ya kummaliza kwani wanaweza wakawadanganya watu kuwa wale CDM ni waswahili na Milya kapotea njia.
 
Back
Top Bottom