kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,905
Mi nashindw kuelewa mwanaume mwenye maisha anatesekaje na wanawake ilihali wanakuwa kibao wanakufata fata wenyewe tu!
Sasa anataka mrudiane inamaana wazazi wake wamemruhusu ndoa uitakayo wewe? Pia ndoa ya serikalini bado ni zinaa mbele za Mungu, kama atabadili dini nakushauri muoeNaamini mko poa.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa tunapendana sana. Nilikutana nae jijini Mwanza nilipokwenda kikazi July 2015.
Safari yetu ya mapenzi ilipamba moto kila mmoja akiwa na mapenzi ya dhati kwa mwenzio.
Tukiwa tumekubaliana kufunga ndoa hapo baadae. Tulifanya mambo mengi pamoja ikiwa kujenga nyumba na kununua gari pamoja, pia niliweza kufanikiwa kumuhamishia Moro kikazi angalau awe karibu.
Hatukuwa wa imani moja, yeye alikuwa mkristo na mimi muislam lkn hili halikuwa tatizo la kutuzuia kupendana.
Tulitembeleana na kuwasiliana Mara kwa Mara bila kikwazo.
Baada ya kumwambia kuwa wakati umefika tuanze taratibu za kufunga ndoa tulikubaliana kuwa ndoa tutafungia serikalini lkn kila mtu atabaki na imani yake.
Alipowaeleza wazazi wake utofauti wa imani wazazi walilipinga kwa nguvu zote, nikamuuliza yeye mwenyewe anasemaje akajibu ananipenda na asingetamani tuachane lkn pia hawezi kufanya kinyume na wazazi wake.
Basi wakati tunaendelea kulitafakari hilo mwenzangu akabadilika, nikimpigia simu anakata meseji hajibu, baadae akaniblock kabsa.
Kitendo kile kiliniumiza sana, nikaamua kumfuata Moro nikakuta alipokuwa anaishi amehama, kwasababu nilikuwa najua shule aliyokuwa anafundisha nikaamua kumfuata shuleni.
Nilipofika shuleni sikuamini kile nilichojimbiwa...niliumia sana..nikamsihi na kumpigia magoti mbele ya walimu wenzie lakini yeye akanijibu hatoweza kuendelea na mimi tena kwani tofauti za dini hazivumiliki , pia kaendelea kusema kuwa alikuwa na mpenzi wake zamani walipotezana lakini wamekutana tena na kuamua kurudiana.
Maneno yale yalikuwa ni mkuki ndani ya moyo wangu, nillilia kama mtoto, sikuweza kula kwa siku kadhaa.
Nikaamua kujiua maana nilijisemea moyoni sitaweza kumuona mwanamke ninampenda akiolewa na mwanaume mwngine. Lkn nilikuwa nao wakanisihi nisifanye vile. Sikujua nini cha kufanya nilikuwa mtu wa kulia tu.
Sikwenda kazini kwa siku mbili mpaka rafiki yangu ambaye tunafanya nae kazi alipofanya kazi ya ziada.
Baada ya mwezi kupita nilifunga safari tena kumfuata nikiwa na lengo la kutaka kujua kuhusu gari na nyumba ambavyo tulinunua pamoja na vyote vilibaki kwangu.
Alichonijibu nikwamba vyote ameniachia kwasababu alichonitendea anajua kiliniumiza sana. Nikwamwambia achukue gari mimi nimeshapona na sina amani kumiliki Mali ambazo tulichuma pamoja akakubali nikamuachia gari .
Utendaji wangu wa kazi ukawa mbovu sana maana kila nilipokumbuka sikuweza kufanya chochote. Nilikuwa nafanya kazi kwenye NGO ya wa Marekani, kufuatia kuwa na ufanisi mbovu kazini nilisitishiwa mkataba wa kazi.
Mapenzi yanauma sana jamani usiombe ukimpenda mtu halafu akakuzingua.
Hapo ndipo shida ikazidi kuwa kubwa maana sikuwa na cha kunikeep busy ikafika wakati nikawa napoteza mpaka fahamu.
Wazazi walipofahamu shida yangu wakanitumia mtu wa kuwa nae maana nilikuwa naishi peke yangu. Hali ile ilinichukua miezi saba ndipo niliporudi normal. Baadae Mungu akajalia nikapata kazi sehemu nyingine.
Maisha yakaendelea tatizo ikawa ni ile nyumba kila nikiona namkumbuka , nikaamua kuiuza na kujenga sehemu nyingine. Maisha yakaendelea nikamtoa moyoni kabisa nikawa namuona wa kawaida sana. Baada ya mwaka mmoja kupita akaanza kunitafuta nakuomba turudiane maana jamaa amemtosa na kuoa mwanamke mwngine.
Nimemkatalia mara kadhaa lkn bado ananing'ang'ania , kila nikitaka kumkubalia nakumbuka mateso niliyopata kwasababu yake.
Naomba ushauri wenu wakuu nipo njia panda sitaki kuumia tena.
Huyo sala tano alifunga ndoa na mtu asiye wa imani yake?Hizi ndoa za dini tofauti Mara nyingi zinaleta maumivu baadae kama hamtakubaliana kuwa katika imani moja.
Nilisoma na watoto mama yao alikuwa mwislami wa sala tano baba mkristo, waliamua watoto watachagua dini wakiwa wakubwa. Baba aliwapeleka wale watoto katika shule ya Roma, watoto wale wote sasa wamekuwa wa kubwa wote wameolewa kanisani wanamwambia mama yao wamezoea sala za kikristo.
Walikutana shuleni nje ya nchi walifunga ndoa bomani na walirudi Tanzania na watoto wawili.Huyo sala tano alifunga ndoa na mtu asiye wa imani yake?
Shikamoo upo?Yaan ww Bado hujakua. Huyo sio mkeo. Ni mke wa mtu. We utakuja kujuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha one decade halafu muda wote huo hajapata hata wakuosha rungu mwingine?Mmeanza mapenzi mwezi julai mwaka 2015. Ni kipindi cha miaka miwili mpaka sasa.
Katika hii stori yako, hapo kati kati mmekua wapenzi, mkajenga nyumba, mkanunua gari, ukamuhamishia morogoro kikazi.
Pia ndani ya hiyo miaka miwili amekutosa, ukafukuzwa kazi, ukakaa mwezi mzima ukiwa hujielewi, alafu baada ya miezi saba ukazoea hali na ukaendelea na maisha yako.
Alafu baada ya mwaka mmoja, amekuja kukutafuta!
Was it two years or two decades?
- KANA -
We hujapata demu mwingine wakupiga nae mzigo?kunyoosha goti?Asante.. Inanibidi nikubaliane asante kwa ushauri
Marhaba dogo lake.Shikamoo upo?
Halafu huyo jamaa muda wote huu hajapata tu mchumba mwingine?dawa yake apige replacement fasta
Naamini mko poa.