Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Pole ndugu
Atakuumiza tena, mwanamke akimpenda mwanaume anaweza vumilia kutoolewa bali muwe wote na kuendelea na maisha yenu. Huyo atakuumiza tena kwa sababu ya dini yapo palepale na yatazidi ikitokea mna watoto.. acha kupokea namba zake kama unajipenda.. utapata mwingine. Huyo hakukupenda na sasa hivi hakupendi pia.
 
Kanu ni moja juu ya maisha usijenge nyumba na mchumba. Dalili ya mvua ni mawingu huyo hakufai
Mimi nafanya biashara na ex wangu , hio nayo ni mbaya ??

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pole sana kwa yaliyokutokea ila kubaliana tu na hali mapenzi yanaumiza sana mwache aende Mungu kaumba kusahau utakuja tu kumsahau huyo mwanamke hakufai kabisa lazima atakuja kukuumiza mbele huko
 
sky eclat naungana na wewe, huyo mwanamke hamfai
Alimfanya
1. Aamue kujiua
2. Atimuliwe kazi
3. Apge magoti mbele za watu
4. Akamsaliti na mwanaume mwingne

Hamfai, na akimrudia achonge na jeneza kabisa.. Huyo mwanamke anarudi kwa sababu alichokipenda amekikosa kwa hyo anamfanya jamaa wa akib na wa dharura kwa wakati mmoja.
 
Haya mapenzi ni ya mwendo kasi! Hata miaka miwili kupita mmependana, mmejenga nyumba, mmenunua gari,
uhamisho wa ualimu umefanikiwa, umepoteza kazi, umepona mapenzi miezi baada ya mmiezi saba, umeuza nyumba
na kujenga nyingine katika kipindi cha mwaka mmoja, mmpenzii katoswa anataka mmrudiane...duh! hapa
kwa mtiririko wa matukio haya lazima uchanganyikiwe tu... Ila hii stori ...ngoja ninyamaze tu
Mkuu unaonekana una roho ya kimasikini, inahitaji muda gani kujenga nyumba na kununua gari?
 
Sky Eclat naungana na wewe, HUYO MWANAMKE HAMFAI
ALIMFANYA
1. AAMUE KUJIUA
2. ATIMULIWE KAZI
3. APGE MAGOTI MBELE ZA WATU
4. AKAMSALITI NA MWANAUME MWINGNE

HAMFAI, NA AKIMRUDIA ACHONGE NA JENEZA KABISA.. HUYO MWANAMKE ANARUDI KWA SABABU ALICHOKIPENDA AMEKIKOSA KWA HYO ANAMFANYA JAMAA WA AKIB NA WA DHARURA KWA WAKATI MMOJA.
Yaani ndiyo ninamia kama mwanamke kuona mwanao anateswa hivi na mwanamke
 
Pole ndugu
Atakuumiza tena, mwanamke akimpenda mwanaume anaweza vumilia kutoolewa bali muwe wote na kuendelea na maisha yenu. Huyo atakuukiza tena kwa sababu ya dini yapo palepale na yatazidi ikitokea mna watoto.. acha kupokea namba zake kama unajipenda.. utapata mwingine. Huyo hakukupenda na sasa hivi hakupendi pia.
Nashukuru sana kwa ushauri wako dada.
 
Mkuu pole sana kwa yaliyokutokea ila kubaliana tu na hali mapenzi yanaumiza sana mwache aende Mungu kaumba kusahau utakuja tu kumsahau huyo mwanamke hakufai kabisa lazima atakuja kukuumiza mbele huko
Asante.. Inanibidi nikubaliane asante kwa ushauri
 
Sky Eclat naungana na wewe, HUYO MWANAMKE HAMFAI
ALIMFANYA
1. AAMUE KUJIUA
2. ATIMULIWE KAZI
3. APGE MAGOTI MBELE ZA WATU
4. AKAMSALITI NA MWANAUME MWINGNE

HAMFAI, NA AKIMRUDIA ACHONGE NA JENEZA KABISA.. HUYO MWANAMKE ANARUDI KWA SABABU ALICHOKIPENDA AMEKIKOSA KWA HYO ANAMFANYA JAMAA WA AKIB NA WA DHARURA KWA WAKATI MMOJA.
Nashukuru mkuu
 
Mmeanza mapenzi mwezi julai mwaka 2015. Ni kipindi cha miaka miwili mpaka sasa.

Katika hii stori yako, hapo kati kati mmekua wapenzi, mkajenga nyumba, mkanunua gari, ukamuhamishia morogoro kikazi.

Pia ndani ya hiyo miaka miwili amekutosa, ukafukuzwa kazi, ukakaa mwezi mzima ukiwa hujielewi, alafu baada ya miezi saba ukazoea hali na ukaendelea na maisha yako.

Alafu baada ya mwaka mmoja, amekuja kukutafuta!

Was it two years or two decades?



- KANA -
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom