Nafurahia sana maisha yangu mapya

Nafurahia sana maisha yangu mapya

Binti tz

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
441
Reaction score
942
Baada ya kufanikiwa kubadil jinsia kutoka wa kiume hadi wa kike.nahisi kuwa na furaha sana maana maisha ya ukiume nilikuwa nayachukia sana ila sasa nnafuraha maana waatalam wamenibadili plus nakufanyiwa plastic surgery sasa mm sio mweusi tena bali mzungu.
 
Unazifurahia bakora..

Kweli nobody can stop reggae
 
Baada ya kufanikiwa kubadil jinsia kutoka wa kiume hadi wa kike.nahisi kuwa na furaha sana maana maisha ya ukiume nilikuwa nayachukia sana ila sasa nnafuraha maana waatalam wamenibadili plus nakufanyiwa plastic surgery sasa mm sio mweusi tena bali mzungu.
Kwa hiyo unataka great thinkers wakusaidie nini? Au ni tangazo la biashara
 
😁

Unaweza mcheka mtoa mada

Ila angalau yeye kajisema kuliko hawa wwngine walio humu wanajificha nyuma ya keyboard ila kiukwel wanafumulia makebo

Maji maji fc na buttplug 🌈
Umemuanini!?🤣
 
Baada ya kufanikiwa kubadil jinsia kutoka wa kiume hadi wa kike.nahisi kuwa na furaha sana maana maisha ya ukiume nilikuwa nayachukia sana ila sasa nnafuraha maana waatalam wamenibadili plus nakufanyiwa plastic surgery sasa mm sio mweusi tena bali mzungu.
Kweli uhuru umezidi sasa umebadiri huku unatafuta nini!! Au ninyi ndio mna project za kusambaza haya mazaga kwa walimwengu,, mnazingua sana mada za kiwaki,we jamaa jau sana🚮
 
Back
Top Bottom