Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Gear ilibadilishwa on sky...
car%2Bg.jpg
 
Sikushauri umrudie hata kama kwa mtutu wa bunduki... Hamna namna utaweza msamehe na maisha yakawa kawaida... Pia lazima ujue huyo hakupendi hivyo ajapotokea ampendaye tena atakuacha na penzi lako solemba... Usikurudi kanani mkuu....
 
Akikubali kubadili dini awe muislam msamehe muanze upya maana utapata swawabu kwa kumbadiri dini, ila ndoa ya serikali Allah haitambui achana nae
 
tumia akili siyo Moyo, usiruhusu MOYO ufanye mambo ambayo AKILI inaona SIYO SAWA.
 
Mwambie aendelee kupasha kiporo
wewe tafuta na pika chakula kitamu chenye afya ambacho hakitakua na madhara katika afya yako kaka.
It is always said that [emoji116]

What goes around always comes around
 
Sasa Ndugu Majaliwa, unataka ushauri wa namna gani?? Kama mlifikia hatua ya kuchuma Mali pamoja, still akakuacha na kurudiana na mpenzi wake wa zamani, hakujali maumivu yako, wala ulivyojitoa kwake. Kweli Unaomba ushauri??? Au unataka tukutusi tuonekane hatuna busara?? Sikiliza moyo wako tu.
Hahahahahah mi naomba niwe wa kwanza kuonekana sina busara. Mtoa mada anakuwa kama fala!
 
Mkubalie kwa moyo mmoja na muanze kuishi maisha mapya.Muonyeshe unampenda zaidi ya mwanzoni.Hakikisha unampenda na kumuonyesha kuwa unamjali sana na yeye ndo kila kitu katika maisha yako.Hata ikibidi pangeni tarehe ya harusi haraka iwezekanavyo.Wakati maandalizi ya ndoa yakiendelea,tafuta kipindi hayuko ameenda safari uza kila kitu na uhame kabisa eneo.Then badilisha number zote za simu na uanze maisha mapya.

Tit for Tat is a fair game.
Hii ni zaidi ya KOMOA mkuu, nadhani itakuwa ni level za JAMAA!
 
Pole ndugu
Atakuumiza tena, mwanamke akimpenda mwanaume anaweza vumilia kutoolewa bali muwe wote na kuendelea na maisha yenu. Huyo atakuukiza tena kwa sababu ya dini yapo palepale na yatazidi ikitokea mna watoto.. acha kupokea namba zake kama unajipenda.. utapata mwingine. Huyo hakukupenda na sasa hivi hakupendi pia.
Mi nashindw kuelewa mwanaume mwenye maisha anatesekaje na wanawake ilihali wanakuwa kibao wanakufata fata wenyewe tu!
 
umewahi kutafakari hili?

ndoa mtafungia serikalini
je watoto watajifunzia imani ya dini wapi? au ndo serikalini?


sometym dini ni bora zaidi
unaweza ona alikuumiza ila ilikuwa nguvu ya Mungu kukuondoa kwake na utafute wa dini yako.

DINI ni bora zaidi hata ya PESA
 
umewahi kutafakari hili?

ndoa mtafungia serikalini
je watoto watajifunzia imani ya dini wapi? au ndo serikalini?


sometym dini ni bora zaidi
unaweza ona alikuumiza ila ilikuwa nguvu ya Mungu kukuondoa kwake na utafute wa dini yako.

DINI ni bora zaidi hata ya PESA
Watafuata dini watakayoona ni sawa tu
 
Fanya hivi; mkubalie kwa kile anachokitaka! Na kwa kuwa unampenda sana mdekeze halafu mpe ujauzito.....wakati maandalizi ya harusi yakiendelea na mimba ikiendelea kukua!

Tafuta mwanamke mzuri kumzidi yeye hata kwa mkopo, halafu mwambie amchambe baada ya hapo mwambie hiyo mimba uliobeba siyo yangu na hustahili kuwa na Mimi, anayestahili kuwa na mimi ni huyu unayemwona mbele yako......baada ya hapo uza kila kilicho chako. Badilisha namba na kaishi kabisa mbali na yeye.

Hii ndio mbinu bora zaidi ya kuzuia na kuyafuta machozi uliyotoa.

For me revenge is the best way of avoiding tears and brought me in a normal situation.
 
Mahondaw!!!? unataka alie tena! wakati mwenzio keshapona sasa.
Hapana mkuu.. Nikimaanisha asigeuke nyuma awe na mtu wa maamuzi.. Anavoanza kujiuliza uliza tena namna gani tenaaaaaaaaaa!!

Pole yake kwa yaliyomkuta

Mahondaw wa Smart911
 
Yani mkuu alikuacha kwenda kwa mwingine kisa dini leo mnarudiana kwa kigezo gani kikubwa.. kuwa makini huyo umri UMEENDA hana choice zaidi ya kuganda mdhaifu na si MAPENZI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom