Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Usithubutu kuludia makosa atakuumiza tena harafu zaidi songa mbele
 
Mkubalie kwa moyo mmoja na muanze kuishi maisha mapya.Muonyeshe unampenda zaidi ya mwanzoni.Hakikisha unampenda na kumuonyesha kuwa unamjali sana na yeye ndo kila kitu katika maisha yako.Hata ikibidi pangeni tarehe ya harusi haraka iwezekanavyo.Wakati maandalizi ya ndoa yakiendelea,tafuta kipindi hayuko ameenda safari uza kila kitu na uhame kabisa eneo.Then badilisha number zote za simu na uanze maisha mapya.

Tit for Tat is a fair game.
Ha ha haaaa...nimecheka uwiiii....bonge la ushauri
 
Mara ya kwanza wazazi walipinga kwa nguvu zote msioane kisa utofauti wa dini....sasa hivyo anavyotaka kurudi itakuwaje?

Huyo maisha yamempiga anatafuta pa kuponea...akimpata ampendae mwenye imani moja na yeye anakuacha tena...'
 
Acha ujinga ww omba Mwenyezi-Mungu akupe mke huyo kaja kwa sababu kaachwa sio kukupenda. My brother get up
 
Moyo sukuma damuu.....

hakuna mapenzi hapo, ila mwamuzi wa mwisho ni wewe kwa sababu ulivyoandika kwa hisia inaonyesha dhahiri shairii bila kupepesa macho kuwa bado unampenda ila tu unachoogopa ni kuumizwa tena.

Lakini ki-uhalisia ni kuwa hana mapenzi ya dhati kama wewe unavyodhani na ipo siku utakuja kuumia zaidi ya ulivyo-umia mwanzo.

Mwisho, kuwa na subira na utampata mwenye mapenzi ya dhati na kukupenda kuliko huyo. Hata hapa JF wapo wadada wenye mapenzi ya dhati na ni wazuri sana kwa tabia na muonekano; hivyo usiwe na papara kwa sasa tafuta pesa muda ukifika Mungu atakupa chaguo bora na sahihi.
Yeees TUPO wenye MAPENZI ya dhaaati kabisa, kwa nini aumie aumie, nasie tupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya hivi; mkubalie kwa kile anachokitaka! Na kwa kuwa unampenda sana mdekeze halafu mpe ujauzito.....wakati maandalizi ya harusi yakiendelea na mimba ikiendelea kukua!

Tafuta mwanamke mzuri kumzidi yeye hata kwa mkopo, halafu mwambie amchambe baada ya hapo mwambie hiyo mimba uliobeba siyo yangu na hustahili kuwa na Mimi, anayestahili kuwa na mimi ni huyu unayemwona mbele yako......baada ya hapo uza kila kilicho chako. Badilisha namba na kaishi kabisa mbali na yeye.

Hii ndio mbinu bora zaidi ya kuzuia na kuyafuta machozi uliyotoa.

For me revenge is the best way of avoiding tears and brought me in a normal situation.
Mh hapana sasa mtoto atakayezaliwa atakuwa na kosa gani..kwanini amzalishe mtoto anayekuja kumtelekeza, hapa atatengeneza vidonda vingine kwake mwenyewe aachane naye tuu asipokee simu zake maisha yaendelee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukingatwa na chatu na kuondoka mwache aende na kibilia matibabu. Lakini kishakungata na kuondoka ukiona anarudi anakuja kukumeza na kukumeza kabisa huu. Kaa mbali nae[emoji111]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini mko poa.
Niende kwenye mada moja kwa moja.

Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa tunapendana sana. Nilikutana nae jijini Mwanza nilipokwenda kikazi July 2015.
Safari yetu ya mapenzi ilipamba moto kila mmoja akiwa na mapenzi ya dhati kwa mwenzio.

Tukiwa tumekubaliana kufunga ndoa hapo baadae. Tulifanya mambo mengi pamoja ikiwa kujenga nyumba na kununua gari pamoja, pia niliweza kufanikiwa kumuhamishia Moro kikazi angalau awe karibu.

Hatukuwa wa imani moja, yeye alikuwa mkristo na mimi muislam lkn hili halikuwa tatizo la kutuzuia kupendana.

Tulitembeleana na kuwasiliana Mara kwa Mara bila kikwazo.
Baada ya kumwambia kuwa wakati umefika tuanze taratibu za kufunga ndoa tulikubaliana kuwa ndoa tutafungia serikalini lkn kila mtu atabaki na imani yake.

Alipowaeleza wazazi wake utofauti wa imani wazazi walilipinga kwa nguvu zote, nikamuuliza yeye mwenyewe anasemaje akajibu ananipenda na asingetamani tuachane lkn pia hawezi kufanya kinyume na wazazi wake.

Basi wakati tunaendelea kulitafakari hilo mwenzangu akabadilika, nikimpigia simu anakata meseji hajibu, baadae akaniblock kabsa.

Kitendo kile kiliniumiza sana, nikaamua kumfuata Moro nikakuta alipokuwa anaishi amehama, kwasababu nilikuwa najua shule aliyokuwa anafundisha nikaamua kumfuata shuleni.

Nilipofika shuleni sikuamini kile nilichojimbiwa...niliumia sana..nikamsihi na kumpigia magoti mbele ya walimu wenzie lakini yeye akanijibu hatoweza kuendelea na mimi tena kwani tofauti za dini hazivumiliki , pia kaendelea kusema kuwa alikuwa na mpenzi wake zamani walipotezana lakini wamekutana tena na kuamua kurudiana.

Maneno yale yalikuwa ni mkuki ndani ya moyo wangu, nillilia kama mtoto, sikuweza kula kwa siku kadhaa.

Nikaamua kujiua maana nilijisemea moyoni sitaweza kumuona mwanamke ninampenda akiolewa na mwanaume mwngine. Lkn nilikuwa nao wakanisihi nisifanye vile. Sikujua nini cha kufanya nilikuwa mtu wa kulia tu.

Sikwenda kazini kwa siku mbili mpaka rafiki yangu ambaye tunafanya nae kazi alipofanya kazi ya ziada.

Baada ya mwezi kupita nilifunga safari tena kumfuata nikiwa na lengo la kutaka kujua kuhusu gari na nyumba ambavyo tulinunua pamoja na vyote vilibaki kwangu.

Alichonijibu nikwamba vyote ameniachia kwasababu alichonitendea anajua kiliniumiza sana. Nikwamwambia achukue gari mimi nimeshapona na sina amani kumiliki Mali ambazo tulichuma pamoja akakubali nikamuachia gari .

Utendaji wangu wa kazi ukawa mbovu sana maana kila nilipokumbuka sikuweza kufanya chochote. Nilikuwa nafanya kazi kwenye NGO ya wa Marekani, kufuatia kuwa na ufanisi mbovu kazini nilisitishiwa mkataba wa kazi.

Mapenzi yanauma sana jamani usiombe ukimpenda mtu halafu akakuzingua.
Hapo ndipo shida ikazidi kuwa kubwa maana sikuwa na cha kunikeep busy ikafika wakati nikawa napoteza mpaka fahamu.

Wazazi walipofahamu shida yangu wakanitumia mtu wa kuwa nae maana nilikuwa naishi peke yangu. Hali ile ilinichukua miezi saba ndipo niliporudi normal. Baadae Mungu akajalia nikapata kazi sehemu nyingine.

Maisha yakaendelea tatizo ikawa ni ile nyumba kila nikiona namkumbuka , nikaamua kuiuza na kujenga sehemu nyingine. Maisha yakaendelea nikamtoa moyoni kabisa nikawa namuona wa kawaida sana. Baada ya mwaka mmoja kupita akaanza kunitafuta nakuomba turudiane maana jamaa amemtosa na kuoa mwanamke mwngine.

Nimemkatalia mara kadhaa lkn bado ananing'ang'ania , kila nikitaka kumkubalia nakumbuka mateso niliyopata kwasababu yake.

Naomba ushauri wenu wakuu nipo njia panda sitaki kuumia tena.
sijui kama nitakuja kulia kwasababu ya mwanamke tena ambaye sio mke wako. we jamaa ni mshamba sana. hivi unajua kama hauna akili? unataka kujiua kwasababu ya mchumba? tena ambaye ameshakwambia ana mtu, na wewe unataka muendelee naye, uyo mtu wake alikuwa anachovywa wakati demu yupo na wewe, unalielewa hilo na bado uliitaka muendelee? aise kumbe wanaume tumetofautiana mno, wengine wanavaa suruali tu lakini ni wanawake,....kasoro tu hawana sehemu yakike ila walitakiwa wavae sketi kabisa.

kwa kawaida, omba Mungu afumbue udhaifu wa mchumba wako kabla hamjaingia kwenye ndoa kwasababu akiwa na tabia chafu, hauzijui ukaja kuzifahamu mkishafunga pingu za maisha, itakuuma sana na itakusumbua sana kwasababu umeshaoa na pengine mmeshazaa. hivyo matabia ya usaliti kama hayo kwa mwanamke yakitokea wakati bado hamjaingia kwenye ndoa, shukuru Mungu kwani yameonekana mapema na ni ishara ya wewe kukimbia mguu kisogoni ikimaanisha huyo sio mtu wa kuishi naye kwenye ndoa, ujasiri wake kwenye usaliti ni mkubwa mno, na hapo tayari wote mna kasori mioyoni ambazo hazitakuja kufutika, mkioana ni kukomoana tu na mwishowe mtaleteana ukimwi kwa kukomoana. shwainnn
 
Nakuhakikishia mkuu wew unataka kuumizwa zaidi ya hapo na utaumia sana coz mwanzo hukuumia kabisa mkuu, dah kwangu mimi siwezi rudiana kwa niliyoyapata yako ni makubwa zaidi ila mimi yangu ni ya miaka mingi zaidi? Usirudiane nae ndugu nakushauri atakalokufanya safari hii ni zaidi mkuu
 
Naamini mko poa.
Niende kwenye mada moja kwa moja.

Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa tunapendana sana. Nilikutana nae jijini Mwanza nilipokwenda kikazi July 2015.
Safari yetu ya mapenzi ilipamba moto kila mmoja akiwa na mapenzi ya dhati kwa mwenzio.

Tukiwa tumekubaliana kufunga ndoa hapo baadae. Tulifanya mambo mengi pamoja ikiwa kujenga nyumba na kununua gari pamoja, pia niliweza kufanikiwa kumuhamishia Moro kikazi angalau awe karibu.

Hatukuwa wa imani moja, yeye alikuwa mkristo na mimi muislam lkn hili halikuwa tatizo la kutuzuia kupendana.

Tulitembeleana na kuwasiliana Mara kwa Mara bila kikwazo.
Baada ya kumwambia kuwa wakati umefika tuanze taratibu za kufunga ndoa tulikubaliana kuwa ndoa tutafungia serikalini lkn kila mtu atabaki na imani yake.

Alipowaeleza wazazi wake utofauti wa imani wazazi walilipinga kwa nguvu zote, nikamuuliza yeye mwenyewe anasemaje akajibu ananipenda na asingetamani tuachane lkn pia hawezi kufanya kinyume na wazazi wake.

Basi wakati tunaendelea kulitafakari hilo mwenzangu akabadilika, nikimpigia simu anakata meseji hajibu, baadae akaniblock kabsa.

Kitendo kile kiliniumiza sana, nikaamua kumfuata Moro nikakuta alipokuwa anaishi amehama, kwasababu nilikuwa najua shule aliyokuwa anafundisha nikaamua kumfuata shuleni.

Nilipofika shuleni sikuamini kile nilichojimbiwa...niliumia sana..nikamsihi na kumpigia magoti mbele ya walimu wenzie lakini yeye akanijibu hatoweza kuendelea na mimi tena kwani tofauti za dini hazivumiliki , pia kaendelea kusema kuwa alikuwa na mpenzi wake zamani walipotezana lakini wamekutana tena na kuamua kurudiana.

Maneno yale yalikuwa ni mkuki ndani ya moyo wangu, nillilia kama mtoto, sikuweza kula kwa siku kadhaa.

Nikaamua kujiua maana nilijisemea moyoni sitaweza kumuona mwanamke ninampenda akiolewa na mwanaume mwngine. Lkn nilikuwa nao wakanisihi nisifanye vile. Sikujua nini cha kufanya nilikuwa mtu wa kulia tu.

Sikwenda kazini kwa siku mbili mpaka rafiki yangu ambaye tunafanya nae kazi alipofanya kazi ya ziada.

Baada ya mwezi kupita nilifunga safari tena kumfuata nikiwa na lengo la kutaka kujua kuhusu gari na nyumba ambavyo tulinunua pamoja na vyote vilibaki kwangu.

Alichonijibu nikwamba vyote ameniachia kwasababu alichonitendea anajua kiliniumiza sana. Nikwamwambia achukue gari mimi nimeshapona na sina amani kumiliki Mali ambazo tulichuma pamoja akakubali nikamuachia gari .

Utendaji wangu wa kazi ukawa mbovu sana maana kila nilipokumbuka sikuweza kufanya chochote. Nilikuwa nafanya kazi kwenye NGO ya wa Marekani, kufuatia kuwa na ufanisi mbovu kazini nilisitishiwa mkataba wa kazi.

Mapenzi yanauma sana jamani usiombe ukimpenda mtu halafu akakuzingua.
Hapo ndipo shida ikazidi kuwa kubwa maana sikuwa na cha kunikeep busy ikafika wakati nikawa napoteza mpaka fahamu.

Wazazi walipofahamu shida yangu wakanitumia mtu wa kuwa nae maana nilikuwa naishi peke yangu. Hali ile ilinichukua miezi saba ndipo niliporudi normal. Baadae Mungu akajalia nikapata kazi sehemu nyingine.

Maisha yakaendelea tatizo ikawa ni ile nyumba kila nikiona namkumbuka , nikaamua kuiuza na kujenga sehemu nyingine. Maisha yakaendelea nikamtoa moyoni kabisa nikawa namuona wa kawaida sana. Baada ya mwaka mmoja kupita akaanza kunitafuta nakuomba turudiane maana jamaa amemtosa na kuoa mwanamke mwngine.

Nimemkatalia mara kadhaa lkn bado ananing'ang'ania , kila nikitaka kumkubalia nakumbuka mateso niliyopata kwasababu yake.

Naomba ushauri wenu wakuu nipo njia panda sitaki kuumia tena.
Mpaka hapo bado unampenda Sana'a rudiana naye but kama mm cwez kurudi nyuma mm ata nikijua tu mwanamke wangu alikua anagongwa najaamaa afu bado yupo hai cwez kuish naye kwamani sembuse hiloo lakwenda huko then atoswe afu aje kwako daaah nomaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ingekuwa Mimi ningeongea sana shit juu yake wala nisingehangaika Naye. Mkuu achana na takataka hiyo
 
Kulikoni ujiue bora ubadilishe dini umfuate upande wake ili muoane

Ila piga chini kama vp
 
Mkubalie kwa moyo mmoja na muanze kuishi maisha mapya.Muonyeshe unampenda zaidi ya mwanzoni.Hakikisha unampenda na kumuonyesha kuwa unamjali sana na yeye ndo kila kitu katika maisha yako.Hata ikibidi pangeni tarehe ya harusi haraka iwezekanavyo.Wakati maandalizi ya ndoa yakiendelea,tafuta kipindi hayuko ameenda safari uza kila kitu na uhame kabisa eneo.Then badilisha number zote za simu na uanze maisha mapya.

Tit for Tat is a fair game.

nimecheka had machozi aic
 
Dini huwa sio kikwazo kwa wanaopendans kweli tatizo ni huyo mpenzo wake wa zamani. Alikuwa amepumzika kwako, jifute vumbi endelea na maisha huyo hana msimamo

Sent using Jamii Forums mobile app

nasemaga kila siku dini sio ishu kwa wanopendana ! sijui kwann watu wanchukuliankmkigezo kikubwa namna hyo! huyu idada hakumpenda jamaa! kwanza jamaa ana moyo sana ht wa kukubali kumskiliza!.. wengne tungekuwa [HASHTAG]#mkono[/HASHTAG] wa mara sasa hv
 
Acha ujinga wa kulilia mapenzi, hakuna kumrudia tulia man coz akikuacha tena na kazi utafukuzwa tena nnachokushauri pambana na hali yako usiruhusu mwanamke akuteke mpaka ukaharibu ufanisi wa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom