Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Huyo hajui anachokitaka mkuu so take a time na umuulize anataka nini na inaonekana ni mtu asie na msimamo na hicho kitu ki kibaya sanaa katika mahusiano. Wewe unaonekana unampenda ila unahofia ya mambo yasijiludie
Chagua moja kusuka au kunyoa but nakushauri urudiane kama kajua kosa lake!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usijaribu kumrudia asilani utaumia zaid ya mwanzo
 
Pole sana ila ndio ukubwa na ndio ladha halisi y maisha ilivyo,maisha bila ladha ya uchungu hayanogi kabisa,so hapo ni sawa na pilipili ktk kachumbari,kali lakin inaleta ladha,ndio kama matatizo yako,yanaumiza lakin ndo maish yenyewe.

Kila mara nasema hapa na nitazid kusema,ni heri kuachwa kuliko kuacha.,anaeacha mara nyingi hafanikiwi huko anakokwenda,maana hakuna binadamu mwenye afadhali,kila mmoja ana mapungufu yake,so ukiacha hakika huko mbele utakwama,na ukikwama utakumbuka ulipotoka,na kuanza kujuta bora kule nilipotoka. Machozi yako Mungu kayaona,na amejibu haraka km ni kwel,hii ni funzo kwamba tusipende kuumiza watu ambao hawatuumizi,kuna usemi unatuhusu sisi wanaume zaid kwamba tunawaacha wanaotupenda na kuwapenda wanaotuumiza,kuna vitu vingi sana vya kujiuliza kuhusu jambo hili lako na kuna walakin nying japo sio vema kuziweka hapa ila tu kumbuka furahia kuumizwa na jifunze kumshukuru mungu kwa linalokutokea na usimshtaki kwa yyte hata kwa mungu,ili mungu ajibu kupitia haki.

Kiukwel mm siwez kuumia kwa ajil ya mapenz tena,nilivyoumizwa mara moja nikajifunza hapo hapo,japo sikuumizwa kwa namna yako lakin yale maneno yake yalikua ni mwiba ambao umenifanye niwe imara kiakili,kiuchumi na kitabia.

niliambiwa wewe Xav sio size yangu tena,nimechoka kutembea na masikini maana hata nikipata shida huwez kunisaidia so take hamsin zako wacha nikadate na wenye kujielewa. Iliuma kias sabab ni kwel sina kitu na hata shida ambayo ingetokea hata 20k sikuwa na uwezo nayo. So nikajitahid kuvumilia na kuyatafuta maisha ili yu nisikutane na maumivu yale ya mwanzo,na uzur nilimwambia hela siku zote zinatafutwa,na hakuna mwenye kuzaliwa nazo na kuitwa mtoto wa hela,wote tukiwa na malengo tunaweza kuzitafuta na kuzipata na kula maisha,leo unaniacha sbu sina kitu lakin kumbuka ipo siku utanitafuta na historia hii itakuhukumu,leo kipo wap,kwisha ndembendembe kifo cha mende hata hela ya kod ya nyumba hana,halaf nikimkuta lift nampa na kumtoa kidogo namtoa hata 10k ili azid kuumia.

Furahia kuachwa jombaaa,maana leo una furaha japo unatamani taman bado ule mzigo wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly mkuu nakuunga mkono kama sio mguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother wewe ni wa kuhurumia kama utarudiana na huyo mke wa wengi, siku njema.
 
Hapa kuna pande mbili. Wanawake watashauri kwa kujifikiria wao nafsi zao. Wanaume tutakushauri kama wanaume tunaotazama matokeo ya matendo. Angalia na tilia maanani ushauri wa wanaume--- na jambo la msingi huyo si mke nwema. Forget about her

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini huwa sio kikwazo kwa wanaopendana kweli tatizo ni huyo mpenzo wake wa zamani. Alikuwa amepumzika kwako, jifute vumbi endelea na maisha huyo hana msimamo
 
Pole sana ila ndio ukubwa na ndio ladha halisi y maisha ilivyo,maisha bila ladha ya uchungu hayanogi kabisa,so hapo ni sawa na pilipili ktk kachumbari,kali lakin inaleta ladha,ndio kama matatizo yako,yanaumiza lakin ndo maish yenyewe.

Kila mara nasema hapa na nitazid kusema,ni heri kuachwa kuliko kuacha.,anaeacha mara nyingi hafanikiwi huko anakokwenda,maana hakuna binadamu mwenye afadhali,kila mmoja ana mapungufu yake,so ukiacha hakika huko mbele utakwama,na ukikwama utakumbuka ulipotoka,na kuanza kujuta bora kule nilipotoka. Machozi yako Mungu kayaona,na amejibu haraka km ni kwel,hii ni funzo kwamba tusipende kuumiza watu ambao hawatuumizi,kuna usemi unatuhusu sisi wanaume zaid kwamba tunawaacha wanaotupenda na kuwapenda wanaotuumiza,kuna vitu vingi sana vya kujiuliza kuhusu jambo hili lako na kuna walakin nying japo sio vema kuziweka hapa ila tu kumbuka furahia kuumizwa na jifunze kumshukuru mungu kwa linalokutokea na usimshtaki kwa yyte hata kwa mungu,ili mungu ajibu kupitia haki.

Kiukwel mm siwez kuumia kwa ajil ya mapenz tena,nilivyoumizwa mara moja nikajifunza hapo hapo,japo sikuumizwa kwa namna yako lakin yale maneno yake yalikua ni mwiba ambao umenifanye niwe imara kiakili,kiuchumi na kitabia.

niliambiwa wewe Xav sio size yangu tena,nimechoka kutembea na masikini maana hata nikipata shida huwez kunisaidia so take hamsin zako wacha nikadate na wenye kujielewa. Iliuma kias sabab ni kwel sina kitu na hata shida ambayo ingetokea hata 20k sikuwa na uwezo nayo. So nikajitahid kuvumilia na kuyatafuta maisha ili yu nisikutane na maumivu yale ya mwanzo,na uzur nilimwambia hela siku zote zinatafutwa,na hakuna mwenye kuzaliwa nazo na kuitwa mtoto wa hela,wote tukiwa na malengo tunaweza kuzitafuta na kuzipata na kula maisha,leo unaniacha sbu sina kitu lakin kumbuka ipo siku utanitafuta na historia hii itakuhukumu,leo kipo wap,kwisha ndembendembe kifo cha mende hata hela ya kod ya nyumba hana,halaf nikimkuta lift nampa na kumtoa kidogo namtoa hata 10k ili azid kuumia.

Furahia kuachwa jombaaa,maana leo una furaha japo unatamani taman bado ule mzigo wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana mkuu, kwa hiyo mara moja moja unakula tunda? na anasemaje mnapokutana?
 
tapatalk_1501353203041.jpeg
 
There is a theory of second chance.
But there a button state do not forget

Nisiwe mchochezi sana nikapimwa mkojo jiulize/muulize haya,anataka mrudiane kwanini??? Kwa vile ametoswa,asingetoswa??
Anafahaku ulichopitia??ulipitia mateso makubwa sana,pole sana Yaani,je alijaribu Hata kukufikiria wakati anaifurahua dushe ya babe wa zamani kitandani??
Anajua kana ulikosa Kazi kwa sababu yake??
Vipi ungepoteza maisha angependa maiti yako???
Kama alikuumiza kwa sababu ya dini,je sasa hivi kimebadilika nini??
 
Hamna kitu hapo atafute ustaarabu mwingine hapo ataumizwa tena.
Nahisi anapenda maumivu huyu jamaa, na atayapata.

Mimi nikigundua mwanamke ninaetaka kumwoa ana boyfriend nampiga chini. Jamaa dhaifu sana inakuwaje mwanaume unalilia penzi la mwanamke
 
Pole sana...
Hakuna maumivu madogo wala makubwa... Maumivu yote yanauma sawa... Ingawa ya mapenzi yanatesa sana...

Nakushauri kitu kimoja tu, alikuaribia future mwanzo...kataa kurudiana nae...

Never go back to her again...if she did once, she might do it again...

Cc: mahondaw
 
Sasa Ndugu Majaliwa, unataka ushauri wa namna gani?? Kama mlifikia hatua ya kuchuma Mali pamoja, still akakuacha na kurudiana na mpenzi wake wa zamani, hakujali maumivu yako, wala ulivyojitoa kwake. Kweli Unaomba ushauri??? Au unataka tukutusi tuonekane hatuna busara?? Sikiliza moyo wako tu.
Umemjibu vizuri sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom