Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Sikutarajia kuumizwa namna hii!

Dah!! Jaman pole kwan wakat mnaanza relation hakuwa anajua din yako???? Kwa ushaur usjarbu kurudiana nae kbsa hana msimamo uyo!
 
ila ndio utakuwa mwanzo wakuwagaribu watoto future zao na kuangukia dini za kibiashara
They have a choice kufuata kwa mama au baba! That was how we were raised ambayo ndio naona ni sahihi kabisa. Me ni Islam but sister kafata mama ukristo halafu poa tu. Hamna jam!
 
Naamini mko poa.
Niende kwenye mada moja kwa moja.

Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa tunapendana sana. Nilikutana nae jijini mwanza nilipokwenda kikazi July 2015.

Safari yetu ya mapenzi ilipambana moto kila mmoja akiwa na mapenzi ya dhati kwa mwenzio.

Tukiwa tumukubalia kufunga ndoa hapo baadae. Tulifanya mambo mengi pamoja ikiwa kujenga nyumba na kununua gari pamoja, pia niliweza kufanikiwa kumuhamishia mor kikazi angalau awe karibu.

Hatukuwa wa imani moja, yeye alikuwa mkristo na mm muislam lkn hili halikuwa tatizo la kutuzuia kupendana.

Tulitembeleana na kuwasiliana Mara kwa Mara bila kikwazo.

Baada ya kumwambia kuwa wakati umefika tuanze taratibu za kufunga ndoa tulikubaliana kuwa ndoa tutafungia serikalini lkn kila mtu atabaki na imani yake.

Alipowaeleza wazazi wake utofauti wa imani wazazi walilipinga kwa nguvu zote, nikamuuliza yeye mwenyewe anasemaje akajibu ananipenda na asinge tamani tuachane lkn pia hawezi kufanya kinyume na wazazi wake.

Basi wakati tunaendelea kulitafakali hilo mwenzangu akabadirika, nikimpigia simu anakata meseji hajibu, baadae akaniblock kabsa.

Kitendo kile kiliniumiza sana, nikaamua kumfuata Moro nikakuta alipokuwa anaishi amehama, kwasabb nilikuwa najua shule aliyokuwa anafundisha nikaamua kumfuata shuleni.

Nilipofika shuleni sikuamini kile nilichojimbiwa...niliumia sana..nikamsihi na kumpigia magoti mbele ya walimu wenzie lkn yeye akanijibu hatoweza kuendelea na mm tena kwani tofauti za dini hazivumiliki , pia kaendelea kusema kuwa alikuwa na mpnzi wake zamani walipotezana lkn wamekutana tena na kuamua kurudiana.

Maneno yale yalikuwa ni mkuki ndani ya moyo wangu, nillilia kama mtoto, sikuweza kula kwa siku kadhaa.

Nikaamua kujiua maana nilijisemea moyoni sitaweza kumuona mwanamke ninampenda akiolewa na mwanaume mwngine. Lkn nilikuwa nao wakanisihi nisifanye vile. Sikujua nini cha kufanya nilikuwa mtu wa kulia tu.

Sikwenda kazini kwa siku mbili mpaka rafiki yangu ambaye tunafanya nae kazi alipofanya kazi ya ziada.

Baada ya mwezi kupita nilifunga safari tena kumfuata nikiwa na lengo la kutaka kujua kuhusu gari na nyumba ambavyo tulinunua pamoja na vyote vilibaki kwangu.

Alichonijibu nikwamba vyote ameniachia kwasababu alichonitendea anajua kiliniumiza sana.

Nikwamwambia achukue gari mm nimeshapona na sina amani kumiliki Mali ambazo tulichuma pamoja akakubali nikamuachia gari .

Utendaji wangu wa kazi ukawa mbovu sana maana kila nilipokumbuka sikuweza kufanya chchte.
Nilikuwa nafanya kazi kwenye NGO ya wa marekani, kufuatia kuwa na ufanisi mbovu kazini nilisitishiwa mkataba wa kazi.

Mapenzi yanauma sana jamani usiombe ukimpenda mtu halafu akakuzingua.

Hapo ndipo shida ikazidi kuwa kubwa maana sikuwa na cha kunikeep busy ikafika wakati nikawa napoteza mpaka fahamu.

Wazazi walipofahamu shida yangu wakanitumia mtu wa kuwa nae maana nilikuwa naishi peke yangu.

Hali ile ilinichukua miezi saba ndipo niliporudi normal.
Baadae Mungu akajalia nikapata kazi sehemu nyingine.

Maisha yakaendelea tatizo ikawa ni ile nyumba kila nikiona namkumbuka , nikaamua kuiuza na kujenga sehemu nyingine.

Maisha yakaendelea nikamtoa moyoni kbsa nikawa namuona wakawaida sana.

Baada ya mwaka mmoja kupita akaanza kunitafuta nakuomba turudiane maana jamaa amemtosa na kuoa mwanamke mwngine.

Nimemkatalia mara kadhaa lkn bado ananing'ang'ania , kila nikitaka kumkubalia nakumbuka mateso niliyopata kwasababu yake.

Naomba ushauri wenu wakuu nipo njia panda sitaki kuumia tena.

Unataka tukushauri nini tena! Maumivu mengine yanakusubiri.
 
muulize hamna mwingine waliyepotezana mda mrefu aende huko?

Yeye ndo alompoteza kwa muda mrefu, mwaka mmoja. Akija mwingine alopotezana nae zaid ya mwaka mmoja itakula kwake tena.

Anahangaika na kicheche huyo asiyekuwa na msimamo wa kimaisha. Tena mimi namtimulia mbali kabisa asinijue.
 
Huyo hakufai kabisa block tu hana nia ya dhati kabisa anataka kukupotezea malengo na muda wako kama kweli alikupenda din sio kigezo kabisa katka mahusiano na maisha ya ndoa.narudia tena huyo hakufai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usirudi nyuma, utafuata mabaya zaidi ya hilo ulofanyiwa, songa mbele kwani kuna wadada wengi na wazuri wanaohitaji wenzi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Ndugu Majaliwa, unataka ushauri wa namna gani?? Kama mlifikia hatua ya kuchuma Mali pamoja, still akakuacha na kurudiana na mpenzi wake wa zamani, hakujali maumivu yako, wala ulivyojitoa kwake. Kweli Unaomba ushauri??? Au unataka tukutusi tuonekane hatuna busara?? Sikiliza moyo wako tu.

Haaa,haaaa! Kwa hiyo wazazi wako tayari kwa sasa pamoja na tofauti za dini,huyo achana naye ni Mwongo
 
Naamini unaushirikisha ubongo wako vizuri!

Sasa hapo unaona panafaa kurudi kweli??

Huo Ni moto!!

Shukuru Mungu hujajiua Na umeweza ku-move on Na maisha yako!

Huyo amekuona zoba, atakuliza kila siku huyo, wewe mchekee tu!!
 
Mkuu acha chai .......hahahaahaa
 
Nakushauri tupa kuleee, hana msimamo, kumbuka uchuma hausuluhishwi, hayo makovu yanaweza kuyumbisha ndoa, mrudie kwa your own RISK
 
IMG-20170810-WA0012[1].jpg
 
Yeye ndo alompoteza kwa muda mrefu, mwaka mmoja. Akija mwingine alopotezana nae zaid ya mwaka mmoja itakula kwake tena.

Anahangaika na kicheche huyo asiyekuwa na msimamo wa kimaisha. Tena mimi namtimulia mbali kabisa asinijue.
Hamna kitu hapo atafute ustaarabu mwingine hapo ataumizwa tena.
 
Sasa Ndugu Majaliwa, unataka ushauri wa namna gani?? Kama mlifikia hatua ya kuchuma Mali pamoja, still akakuacha na kurudiana na mpenzi wake wa zamani, hakujali maumivu yako, wala ulivyojitoa kwake. Kweli Unaomba ushauri??? Au unataka tukutusi tuonekane hatuna busara?? Sikiliza moyo wako tu.

...Very well said. Wakati mwingine huwa najiuliza mara nyingi tuu hivi uwezo wa akili zetu kufanya rational decision umekwenda wapi? Hivi kweli kwa yoote mleta mada aliyosimulia bado yuko undecided on the way forward na huyo mwnamke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom