Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,740
- 3,548
Daah so touching..! somethng must b done
Nawaelewa ndugu zangu, ni kweli kuwa siku hizi matapeli ni wengi hivyo hata sis wenye uhitaji kweli inakuwa ngumu kututofautisha na matapeli. Hivyo basi naomba utaratibu wa jinsi gani nijihakikishe kwenu kuwa ni muhitaji kweli. Ahsanten
njoo hapa kibaha sec baada ya shule kufunguliwa nitafute kwa id hii then tuongee na wanafunzi watakusaidiaa kwa fact kwa umesoma hapa....!!!! Asante
Mungu ameshamuomba sana hapa cha kufanya utengenezwe utaratibu tuchangie
Duuuuh! Nimeishia kulia tu!
Mungu akusaidie sana kaka!
I can feel the pain of your heart!
Mungu mwema
Mkuu Raelish,
Pole sana na matatizo, Mwenyezi Mungu akuwekee wepesi na upate nafuu haraka na kwa amani.
Naomba nichukue nafasi hii kwa kuomba radhi kwa kuchelewa kujibu, hasa kwa wale ambao walikuwa wamenishtua nihusike kwa namna moja ama nyingine. Nimeshawasiliana na Raelish kwa kutuma PM, ili atimize baadhi ya vielelezo ili iwe rahisi kujua ni msaada aina gani anahitaji na wa kiasi gani itusaidie sisi kama wanajamvi kukusanya kwa nguvu hiyo.
Nawashukuru na wale wote walio onyesha nia ya kutaka sana kusaidia. Mara baada ya kumaliza mawasiliano na Raelish nitatoa mrejesho mara moja ili tuendelee na nia ya kuwa msaada kwa kiasi fulani katika maisha yake. Maelezo zaidi yatakuja baada ya kujibiwa na Raelish. Asanteni.
Pamoja Sana!