Sikulaumu wewe, bali namwombea apumzike salama

Sikulaumu wewe, bali namwombea apumzike salama

pole xana kiongozi! kuna wadau wana nia hapa emu weka detail zako zte afu tujue inakuwaje!
 
Mdau upon wapi mbona sijaona details zako. Nimeguswa hapa weka details basi maana hata mimi nlisaidiwa kama unavyoomba msaada
 
Ahsanten sana, kwa kweli mmeonesha kuguswa na huzun yangu, msaada ninaohitaji sana ni ada ya chuo ambayo ni Tsh 2,595,400 kwa mwaka, ndo Kwanza nipo mwaka wa Kwanza ila ada yote ya mwaka wa Kwanza tayari amenilipia, chuo kinaitwa St bakhita,... Namba yangu ya simu ni 0763223724.... kama kuna detail zozote muhim ambazo natakiwa niweke basi mseme tu niweke nini ili kuthibitisha ninachoongea kuwa ni kweli. Naomben msaada wenu binadamu wenzangu, najua hakuna ambaye ametosheka ila naomba kile kidogo ulichonacho unikumbuke namim ambaye sikupenda kuwa omba omba, ni majaliwa tu ya Mungu,. "SIKULAUMU WEWE BALI NAMWOMBEA APUMZIKE SALAMA" kaka angu huko ulipo mdogo wako umeniachia giza, ni giza kinene kaka yangu.... Siwez kukufuru kwamb bora nkufuate........ Nakumbuka maneno yako kaka............. Zidi kuniombea nyota yangu ing'ae, nakupenda sana,,, RIP

Kijana mpendwa,

Pamoja na shida ulizonazo, naomba utambue kuwa hauko peke yako uliye na shida hizo. Tambua pia kuwa shida yako ni moja kati ya ndogo ambazo wanadamu wamezipata. Naona hata mimi tunafana kiasi Fulani na uzuri nimesoma hata shule uliyosoma na hao unaowataja nawafahamu. Napenda kukuambia kuwa, jipe moyo. Pambana ukiwa na mawazo chanya ya kufanikiwa. Acha kulialia. Futa machozi na hiyo huzuni mkabidhi Mungu. Penye huzuni jaza mapendo ya Mungu na umshukuru kwa kila kitu.

Acha kujiumiza zaidi. Kama kaka yako aliweza kukusaidia kutoka kwenye sifuri, utashindwaje maisha wakati tayari wewe unamtaji wa elimu? Acha kulialia, utafanikiwa na amini nyota yako haijazimika. Pia, jiandae kuwasaidia wengine kama wazazi wako, wadogo zako au ndg zako na Taifa lako. Weka malengo makubwa na uamini utayafikia, lakini fanya juu chini kuhakikisha unayafikia na upatapo vikwazo, tafuta sehemu chanya ya vikwazo hivyo, ili upitie huko kufikia malengo yako. Acha kulia, mkabidhi Mungu mahangaiko yako, naye atayageuza furaha na faraja kwako na kwa wengine wanaokuzunguka.

We can
 
Duuuuh! Nimeishia kulia tu!
Mungu akusaidie sana kaka!
I can feel the pain of your heart!
Mungu mwema
 
Weka taarifa basi ili tujihakiki hata senti kumi kumi tutasaidia,pole ila maisha bila kuwa mbishi hufiki inaliza but acha kulia then focus
 
So sad pole,weka details watu tuzihakiki tuone namna,mie ni member wa group 1 kule FB tuliwahi changia mwenzetu hivihivi
 
Weka taarifa basi ili tujihakiki hata senti kumi kumi tutasaidia,pole ila maisha bila kuwa mbishi hufiki inaliza but acha kulia then focus

Ahsante nimeweka, sijui natakiwa niongezee details zipi ndugu yang
 
Kijana mpendwa,

Pamoja na shida ulizonazo, naomba utambue kuwa hauko peke yako uliye na shida hizo. Tambua pia kuwa shida yako ni moja kati ya ndogo ambazo wanadamu wamezipata. Naona hata mimi tunafana kiasi Fulani na uzuri nimesoma hata shule uliyosoma na hao unaowataja nawafahamu. Napenda kukuambia kuwa, jipe moyo. Pambana ukiwa na mawazo chanya ya kufanikiwa. Acha kulialia. Futa machozi na hiyo huzuni mkabidhi Mungu. Penye huzuni jaza mapendo ya Mungu na umshukuru kwa kila kitu. Acha kujiumiza zaidi. Kama kaka yako aliweza kukusaidia kutoka kwenye sifuri, utashindwaje maisha wakati tayari wewe unamtaji wa elimu? Acha kulialia, utafanikiwa na amini nyota yako haijazimika. Pia, jiandae kuwasaidia wengine kama wazazi wako, wadogo zako au ndg zako na Taifa lako. Weka malengo makubwa na uamini utayafikia, lakini fanya juu chini kuhakikisha unayafikia na upatapo vikwazo, tafuta sehemu chanya ya vikwazo hivyo, ili upitie huko kufikia malengo yako. Acha kulia, mkabidhi Mungu mahangaiko yako, naye atayageuza furaha na faraja kwako na kwa wengine wanaokuzunguka.

We can

Ahsante
 
Mdau upon wapi mbona sijaona details zako. Nimeguswa hapa weka details basi maana hata mimi nlisaidiwa kama unavyoomba msaada

Nimeweka hizo hapo juu ndugu yangu.
 
Ukikitafuta kwenye mtandao kinapatikana tu.
 
Kuna wengi wamenitia moyo kuwa nisihuzunike, najitahid sana ila muda mwingne kama mnavyojua udhaifu wa moyo. .
 
Ukienda kweny mtandao utakuta namba pale, ukipiga kuniulizia kwa jina la ALELUYA KOMBA utanipata ambaye nina cheo hapa, ni Spika wa bunge la wanafunzi, na ni Mwana chuo wa mwaka wa Kwanza Clinical medicine, naogopa kuweka hapa namba maana Kuna watu labda watahisi mimi nimeweka namba za mtu feki. Nawategemea ndugu zangu,. Kuna wengi wamenitia moyo kuwa nisihuzunike, najitahid sana ila muda mwingne kama mnavyojua udhaifu wa moyo. .

Jipe moyo, Jf Kuna watu wanahuruma na wakarimu pia. Provided umeweka details zote, then subiri wasamaria wema watajitokeza tu kwa uwezo wa Mungu utafanikiwa. Wana JF ni zaidi ya ndugu ikiwa tu muhusika anakuwa mkweli na muwazi
 
Nazidi kuwaomba tu, kile kidogo ulichonacho usije ukakidharau ukaacha kunisaidia, naamn wewe ukitoa kidogo hicho na mwingne na ukazidi kuwataarifu Rafik ndugu na jamaa mbalmbal unaweza ukanisaidia ndugu yako nikafanikiwa kt hili, na sadaka yako itakutangulia kwa Mungu, naamin utaikuta. Natanguliza shukuran za dhat
 
Back
Top Bottom