Sikulaumu wewe, bali namwombea apumzike salama

Sikulaumu wewe, bali namwombea apumzike salama

Eeeh Mungu nisaidie mimi, gusa wasamaria wema ili wanitoe kt hili shimo
 
Raelish

Very sad story,Mungu yunawe daima,muombe yeye na mtegemee yeye naye atajibu maombi yako ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana - Naomba nikushauri kuwa pamoja na hii Plan ya kuchangiwa uwe na Plan B je kama hujapata msamaria? what next- unaweza kutafuta ajira yoyote ili mradi unajikimu na unaweza kusave kidogo kidogo kwa ajili ya kurudi shule.

Usiendelee kuwaza sana juu ya kwa nini kaka kafariki na kwamba maisha yako yameisha . Kila mtu ameumbwa na nyota yake - Yawezekana hata ndugu na wazazi wote wakawa hai ila wasikusaidie chochote so dont regret but look forward with determination that despite all odds , I'll still be a survivor.
 
Pole sana na mambo ya dunia. Sasa hebu eleza unahitaji msaada gani. Kuna wakati wa kuhuzunika na wakati wa maisha kuendelea. Huwa haisaidii kulalamika bila kuwa na action plan. Weka mchanganuo hapa ili tujue tunasaidia vipi.

ONYO: Tutapitia rekodi zote kabla ya kusaidia maana wajanja mjini wamekuwa wengi sana. Na tutaanika kila kitu hapa hapa JF. Karibu tafadhali.

Umenena mkuu.
 
Mkuu pole sana!,lkn binafsi nadhani hatua uliyofikia siyo mbaya sana kiasi cha kuanza kukata tamaa;Ningekuwa na uwezo ningekusaidia lkn sina,isipokuwa mimi ninakushauri uongee na wamiliki wa Mahospitali ya binafsi ili wakusomeshe kwa mkataba,halafu ukisha hitimu ufanye kazi kwao kwa muda fulani ilikufidia gharama zao,baadhi ya watu huwa wanafanya hivyo jaribu hii naamini utafanikiwa kwasababu Sekta ya Afya inakabiliwa na upungufu mkubwa wa wataalamu.
 
Raelish

Umetioa machozi,ushauli wangu kwako kaa chini tafakari Leo hii kunawatu niyatima hawana baba,mama,kaka,Dada,mjomba wala shangazi lakini hawakati tamaa chamsingi kumbuka hayoyametokea kwasababu ya umasikini jitahidi kadri uwezezyo kujiondoa huko ili wanao wasije ishi maisha ulioishi
 
Last edited by a moderator:
Ahsanten sana, naendelea kutafuta njia ya kujitoa kt hili tatizo japo bado ni giza sana
 
dah,pol kaka uckate tamaa,niliwah kuuliza juu ya TASISI YA BENJAMIN MKAPA hii inafaa kwa watu kam hawa tufaamishn jmani.
 
pole kaka,niliwah kuulza humu juu ya 'taasisi ya benjamn mkapa'ckupata jibu hii inawafaa watu kama hawa,tufamishin jamn.
 
Ni mapito too, yatapita na itabaki story tu. Haya ndo maisha ya mtanzania, huna mkombozi hata watangaza nia hawana msaada. Ndg. Inua macho yako juu upo msaada; soma Yeremia 33:3. Najua waweza kupuuza but huu ndo msaada pekee
 
Nimeweka taarifa hizo tayari ndugu yang mpendwa

ok.wiki hii utapata mchango wangu kuptia account ya chuo nitakutumia bank slip kwa email..ubarikiwe ndugu maisha ni mapambano usikate tamaa na wasaidie wazazi na wadogo zako ukifanikiwa kmaisha na msaada mzuri kwa wadogo zako ni elimu hakika ukiwekeza uko utabarikiwa bila kusahau kumtolea Mungu...soma Jeremiah 33:3
 
Daaah Mungu akubariki sana, Sina namna nzuri ya kushukuru zaidi ya kusema Mungu akubariki, na akukumbuke,. Ahsante sana ndugu yangu
 
Mungu awe nanyi nyote wapendwa mnaoguswa Nami, ahsanten sana ndugu zangu
 
Ahsanten sana, naendelea kutafuta njia ya kujitoa kt hili tatizo japo bado ni giza sana

u know what...mti wenye matunda ndo hutupiwa mawe! Uko juu ndio maana shetani anayafanya maisha yako kuwa miserable! Unaweza kushangaa navyokwambia uko juu coz ww unaangalia present...kwa namna ya rohoni una future nzuri mno, ndio maana vita inakuwa kubwa ili usifike pale Mungu anataka ufike! nikupe mf wa Yesu alivyozaliwa nyota yake iling'aa kiasi kwamba Herode akadata akaanza kufanya mikakati ya kumuua mapema, bt kwa kuwa kusudi la Mungu huwa ni lazma litimie Ayoub 42:2, leo hii Yesu kapewa jina lipitalo majina yote. Hata wewe nyota yako ndo inamfanya shetani akuzingue ila ameshashindwa, Mungu hawezi kukuacha.

Hata wewe vaa ngao ya imani, ukiamini na kukiri kwa kinywa kuwa BWANA ameshakusaidia na lazma utafika pale yeye atakapo! Ni lazma makusudi yake yatimie kwako...ukiamini na kukiri hivyo UTAFIKA MBALI. Bt unapoendelea kujitamkia manyonge kwa kufatisha shetani alivyokutenda unampa credit shetani coz ndo atakavyo uwe(anapenda uwe mnyonge) na pia unamuhuzunisha MUNGU, coz ur reaction is like unamwambia hakupendi na kakuacha na hana uwezo wa kukusaidia which is very wrong. Ayoub alipitia mabaya than u bt hakulalamika, aliendelea kumwamini MUNGU, MUNGU alimuinua tena na akampa twice.

Mungu ameshawagusa watu JF na wanakwenda kukusaidia, so badala ya kuendelea kulalamika anza kushukuru! Na usimwache BWANA hata baada kusaidiwa coz anataka kukupeleka mbali, bt atakupelekaje....it depends na utavyobehave atakapoanza kukupigisha hatua za mafanikio. Sio kwamba nakutia moyo bt frm my heart i believe Wewe ni mtu mkuu...why? coz EVERY SUCCESSFUL MAN HAS A PAIN HISTORY BEHIND. so inabidi yakupate haya ili ukifanikiwa uweze kumtukuza MUNGU na kutia moyo wengn
 
Msaada wa mwanadamu mara nyingi haukidhi haja kama ulivyokua hapo awali tokea msingi secondar na sasa chuo, lakini ujue Mwenyezi Mungu hawezi kukuacha kama alivyooka nawe toka ulivyokua mdogo akakuinulia watu na ndio wakakufikisha hapo hivyo USIFE moyo wako wengine Mungu ana wainua kwaajili yako ili kukamalisha safari yako
Pole saaana ndugu wengi tupo kama wewe tulilia lakini Mungu alitufuta machozi na njia akatuonyesha japokua wewe umefika mbali, Amini kwa Mungu ajuae yote ndugu
 
u know what...mti wenye matunda ndo hutupiwa mawe! Uko juu ndio maana shetani anayafanya maisha yako kuwa miserable! Unaweza kushangaa navyokwambia uko juu coz ww unaangalia present...kwa namna ya rohoni una future nzuri mno, ndio maana vita inakuwa kubwa ili usifike pale Mungu anataka ufike! nikupe mf wa Yesu alivyozaliwa nyota yake iling'aa kiasi kwamba Herode akadata akaanza kufanya mikakati ya kumuua mapema, bt kwa kuwa kusudi la Mungu huwa ni lazma litimie Ayoub 42:2, leo hii Yesu kapewa jina lipitalo majina yote. Hata wewe nyota yako ndo inamfanya shetani akuzingue ila ameshashindwa, Mungu hawezi kukuacha.

Hata wewe vaa ngao ya imani, ukiamini na kukiri kwa kinywa kuwa BWANA ameshakusaidia na lazma utafika pale yeye atakapo! Ni lazma makusudi yake yatimie kwako...ukiamini na kukiri hivyo UTAFIKA MBALI. Bt unapoendelea kujitamkia manyonge kwa kufatisha shetani alivyokutenda unampa credit shetani coz ndo atakavyo uwe(anapenda uwe mnyonge) na pia unamuhuzunisha MUNGU, coz ur reaction is like unamwambia hakupendi na kakuacha na hana uwezo wa kukusaidia which is very wrong. Ayoub alipitia mabaya than u bt hakulalamika, aliendelea kumwamini MUNGU, MUNGU alimuinua tena na akampa twice.

Mungu ameshawagusa watu JF na wanakwenda kukusaidia, so badala ya kuendelea kulalamika anza kushukuru! Na usimwache BWANA hata baada kusaidiwa coz anataka kukupeleka mbali, bt atakupelekaje....it depends na utavyobehave atakapoanza kukupigisha hatua za mafanikio. Sio kwamba nakutia moyo bt frm my heart i believe Wewe ni mtu mkuu...why? coz EVERY SUCCESSFUL MAN HAS A PAIN HISTORY BEHIND. so inabidi yakupate haya ili ukifanikiwa uweze kumtukuza MUNGU na kutia moyo wengn

Ahsante
 
Ahsanten kwa kunitia moyo, nazidi kusubiri
 
Back
Top Bottom