Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
- Thread starter
- #161
Pole sana mdogo wangu. Ila pia nashukuru sana kunikumbusha na kunifanya nijitafakari na Kumshukuru Mungu sana kwa yote ambayo amenisaidia na ambayo hakuweza kunisaidia.
Mungu ni mwema sana, wewe umepitia hayo mapito ili utufundishe sisi Wanadamu wengine wajibu wetu katika jamii. Nitajitahidi kufanikisha hili zoezi kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Umepoteza Kaka (R.I.P) lakini Mungu amekuletea Makaka na Madada kutoka familia ya Jamii Forums.
Keep your head Up...There is always Light at the end of the Tunnel.
Ubarikiwe sana.
Mungu akubariki. Nategemea sana mchango wako mimi ni binadamu nwenzako, chochote utakachofany kunisaidia Kwang mim ni kikubwa sana.