Sikukuu Jf kumepooza namna hii........

Sikukuu Jf kumepooza namna hii........

Dahhh mie Eid yangu safiii

Nimetembea pengi duniani na

Nimewaweke picha kipande kile Jamii Photo's

..... FL1 karibu ziara ya ujuzi na ugundunduzu

Photography & creativity bado inaendelea..

Eid Mubarak ..

Hongera dia, you are one of the luckiest people duniani. Wengine tuko hapa tunamsubiri Husni aje kutuchukua angalau twende coco beach. Sijui kagaili?

Asante
kwa kusema nimetembea namaanisha
nlikuw busy kwenye net natafuta picha
Nzuri za Eid.. lol

Eid Mubarak dear. 🙂

Asante

kwa kusema nimetembea namaanisha

nlikuw busy kwenye net natafuta picha

Nzuri za Eid.. lol

Eid Mubarak dear.

Nimekusoma dia wangu, Eid Mubaraka na kwako pia. Njoo huku tumsubiri Husni aje kutuchukua tukale ashkilimu.

Hongera dia, you are one of the luckiest people duniani. Wengine tuko hapa tunamsubiri Husni aje kutuchukua angalau twende coco beach. Sijui kagaili?

sijagaili. Nisubiri hapo hapo usiondoke wala usijitingishe.

Upendo umepungua kweli aisee! jamaa kanialika halaf kaniambia nichangie hela ya hiliki. Dah! mtu mzima bado sekunde tu niazirike

Ila Husninyo wewe......! Yaani kila mtu unamwambia tu akusubiri hapo hapo! Haya utaanza na nani sasa, manake wengine naona ushatulisha matango pori...lol!

Fanya shaa basi jamani, kuna mbu hapa kituoni kama wamefugwa.

Ila Husninyo wewe......! Yaani kila mtu unamwambia tu akusubiri hapo hapo! Haya utaanza na nani sasa, manake wengine naona ushatulisha matango pori...lol!

dah! Ngoja nianze na wewe kipipi moyo.

Upendo umepungua kweli aisee! jamaa kanialika halaf kaniambia nichangie hela ya hiliki. Dah! mtu mzima bado sekunde tu niazirike

Shukuru Mungu hata kwa kupata mualiko dawa ya malaria. Maana kunawengine wanalia hata mtu wa kuwaambia karibu hawakumuona.

mwaliko gani unadaiwa hela ya kiingilio bana? inauma ujue!

Hahahahaaaa... Sasa kwani wee ukialikwa ndio ujiachie best? Ukialikwa lunch basi wewe unaenda na diseti au chupa la kinywaji.

Hongera dia, you are one of the luckiest people duniani. Wengine tuko hapa tunamsubiri Husni aje kutuchukua angalau twende coco beach. Sijui kagaili?

Husninyo alikuja?

wana Jf nipo Arusha leo,Arusha pazuri kupita maelezo,hali ya hewa safi,jiji limenawiri haswa,sijafika hapa miaka kibao,kumebadilika mno,nilitaka niende pale arusha by night nikaambiwa cku hizi ni hospitali!

nimefurahi kufika after a long time ktk jiji la Lema! Ila nimetahadharishwa hapa kuwa ponda vyote lakini si Lema! Utatolewa uhai kwa kipigo! Duh!

Klorokwin salama iko dugu?

namaste festiledi!
mimi iko bomba sana, iko gombea bunge hapa bombay lakini mahatma singh naiba kura yangu! sasa veve ambia rais napatia viza mimi hamia bongo fungua supermarket ya vinyago.
taletea veve zawadi ya movie mpya ya sharukh khan nafiliwa na mkewe.

wana Jf nipo Arusha leo,Arusha pazuri kupita maelezo,hali ya hewa safi,jiji limenawiri haswa,sijafika hapa miaka kibao,kumebadilika mno,nilitaka niende pale arusha by night nikaambiwa cku hizi ni hospitali!

safi sana naona mwenye unaenjoy maisha ktk mwanga bora..Ukimuona Preta msalimie

Back
Top Bottom