Sikukuu Jf kumepooza namna hii........

Watu pipoooooooo hamna hata laptop mkaingia kutoa matukio ya mitaani Idd inakwendaje najua ni mengi tu

Panaboa kama na kesho hali itakuwa hivi itabidi Mod . waifunge JF kidogo kwa mapumziko

Karibuni kwangu tusherekee Eid ...

Yani FL1 ckukuu imepowa kama sio eid huku mtaani kwetu huwa hapatoshi!
 
Haya jaribu hii
roast-dinner1.jpg

mm kwa misosi ya haina hii kweli we are equal but not the same.! mate yanitoka walahi..!
 
Jamani na mi nishaoga lakini nguo ya sikukuu fundi hajamaliza kushona. Naomba mningoje......lol
 
Watu pipoooooooo hamna hata laptop mkaingia kutoa matukio ya mitaani Idd inakwendaje najua ni mengi tu
Panaboa kama na kesho hali itakuwa hivi itabidi Mod . waifunge JF kidogo kwa mapumziko

Karibuni kwangu tusherekee Eid ...

FL1, hivi huu mwaliko unanihusu kweli mida yenyewe hii au nimechelewa sana?? Huku kwetu Idd imepooza sana aisee!!
 
Watu pipoooooooo hamna hata laptop mkaingia kutoa matukio ya mitaani Idd inakwendaje najua ni mengi tu Panaboa kama na kesho hali itakuwa hivi itabidi Mod . waifunge JF kidogo kwa mapumziko Karibuni kwangu tusherekee Eid ...
FL1 unajua members wengi wa jf wanatumia pc za maofisini
 
Kokonko tena dia, haya bana nipe tu maana msije mkaniacha bure. Naomba na kile kiblauzi chako cha beyonce.
 
Watu pipoooooooo hamna hata laptop mkaingia kutoa matukio ya mitaani Idd inakwendaje najua ni mengi tu

Panaboa kama na kesho hali itakuwa hivi itabidi Mod . waifunge JF kidogo kwa mapumziko

Karibuni kwangu tusherekee Eid ...

Lady ...! sorry.. FIRST lady!!

We are here giving you all the company you need.. isnt this .. living the life you have imagined?? lol
 
Dahhh mie Eid yangu safiii
Nimetembea pengi duniani na
Nimewaweke picha kipande kile Jamii Photo's
..... FL1 karibu ziara ya ujuzi na ugundunduzu
Photography & creativity bado inaendelea..

Eid Mubarak ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom