Sikukuu Jf kumepooza namna hii........

Sikukuu Jf kumepooza namna hii........

namaste festiledi!
mimi iko bomba sana, iko gombea bunge hapa bombay lakini mahatma singh naiba kura yangu! sasa veve ambia rais napatia viza mimi hamia bongo fungua supermarket ya vinyago.
taletea veve zawadi ya movie mpya ya sharukh khan nafiliwa na mkewe.


hhahahahahahahahhahahahahahahahahahahah Klorokwin umedata si bure
 
first lady,karibu Arusha usihadithiwe,pazuri mno,bado nipo Arusha night park naenjoy kidogo.nitahakikisha naona na wana JF hapa Arusha walau mmoja
 
Arusha pako vizuri sana,kila ninapokwenda pako poa sana.hakuna majotroo,baa zina customer care ya nguvu,Nyama choma aibu, nzuri kinyama!
 
Arusha pako vizuri sana,kila ninapokwenda pako poa sana.hakuna majotroo,baa zina customer care ya nguvu,Nyama choma aibu, nzuri kinyama!
<br />
<br />
hapapashindi mpwapwa.
 
mgao wimbo wa taifa husninyo,every thing remain constant,Arusha kuzuri duh!
 
kwa huduma hizi za jiji la Lema pengine Crashwise atakuwa na mwili kama wa pepe kale miaka ileee amekuja sabasaba hotel Arusha!
 
husninyo una uhakika unacho kinena? Kumbuka hili jiji la Lema,hapa ndio sehemu inayochukiwa na ccm kuliko koooote! Hapa umeme is equivalent to zero! But still Arusha pazuri bana!
 
nasikia calabash Dar pamekucha,kuna mtu kanipigia anasema amekosa kiti hapo! Poleni na starehe wadau wa pale!
 
Back
Top Bottom