Sikujua kama kombe la dunia linaanza leo!

Sikujua kama kombe la dunia linaanza leo!

Ni mawazo yako.
Hayo niliyo andika ni moja ya kumbukumbu zangu nzuri sana.
Kabla ya hilo kombe baba alikuwa na ukaribu sana na ubalozi wa ufaransa na alisoma hapo alliance de France kama sijakosea
Alipatta marafiki na tuliletewa tv na yeye kununua dish la DStv sasa kile kiwewe cha kujua kifaransa ilitulazimu tumfuate yeye
Hicho kikosi alikuwa shabiki na mpaka picha ya hao wachezaji mwaka 98 ipo na nimeitunza kama kumbukumbu.
Si ya kutoa mtandaoni Bali baba alipiga kupitia camera yake kwenye tv. Nikipata muda ntaweka.

Wengine tukikutana na jambo lenye kumbukumbu hisia zinapanda na kukumbuka mengi zaidi..
Hata ivo 98 juzi tu,
 
🤣🤣 Kabisaa. Nakumbuka wakati niko shule ya msingi kuna huyo baba alikuwa anatuwekea siku za sikukuu kiingilio 50 kijiji kizima mnajazana humo. Usiku wanafunzi hawaruhusiwi ukijitoa ufahamu ukaingia usiku shuleni kinakulamba
Unakumbuka movie alicheza silvesta Stallone na Sharon stone.

Kile kipande ambacho kina romance na kukulana?? Eti kilikatwa baada ya yondo sista ndo kinawekwa hicho kipande yaani ndo inakuwa movie ya pilau hiyo ikifatiwa na ule wimbo Mr lover man wa shaba ranks
 
Hapana sijawahi kuiona hiyo movie, au pengine nimesahau
 
Mkuu Pendaelli hukujua ratiba za Kombe la Dunia kwakuwa siyo mpenzi wa mchezo huo, sisi wenye uraibu wa soka tumeenda nao sambamba tangu zilivyomalizika fainali za Qatar 2022.
Yaani mimi na mpira vitu viwili tofauti , kila nikilazimisha wapi.
 
🤣🤣 Kabisaa. Nakumbuka wakati niko shule ya msingi kuna huyo baba alikuwa anatuwekea siku za sikukuu kiingilio 50 kijiji kizima mnajazana humo. Usiku wanafunzi hawaruhusiwi ukijitoa ufahamu ukaingia usiku shuleni kinakulamba
😂😂😂 kuandika majina ya wanao enda kuangalia Video usiku.

Movie za kina Rambo, Jet Lee. Van Damme, Anord shwazneger. Bluce Lee, etc.
Ila Bush daah nimekumbuka mbali sana, watu wanachapwa stick asubuhi, usiku banda la video km kawaa.
😂😂😂
 
Unakumbuka movie alicheza silvesta Stallone na Sharon stone.

Kile kipande ambacho kina romance na kukulana?? Eti kilikatwa baada ya yondo sista ndo kinawekwa hicho kipande yaani ndo inakuwa movie ya pilau hiyo ikifatiwa na ule wimbo Mr lover man wa shaba ranks
😂😂😂 hatarii sanaaa.
 
Hamna siku inayo pita bila kufuatilia chombo cha habari pamoja na social network ila nipo mbali sana na habari za mpira.

Mchana niliona instagram shamra sahara za fifa lakini akili yangu najua bado mwezi mmoja nikawa dili na bajeti!

Kumbe ni leo bwana! Japo siupendi mpira ila nitafuatilia .

Nakumbuka mara ya kwanza kuangalia mpira haswa kombe la dunia ni 2002 kule japani nadhani, kama sijakosea alishinda mjerumani, na tokea hapo nikawa naipenda Ujerumani na mwaka ule wa 2014 ujerumani walishinda tena , i natumaini mwaka huu Ujerumani tena.
Mimi nimejua j3 ya juzi.. majukumu kwa upande wangu
 
Hiyo movie nimesahau,, wachezaji ni hao nilowataja.
Ukipata muda iangalie ndio utaelewa nilichoandika
Movie ya Sylvester Stallone, naipenda Ile Blood. Kipande anatoka Vietnam yuko km msukule ananuka kinomaa, palee watu njiani wanasema hili jamaa linanuka km mnyama, na kipande ananyolewa nywele kule ndani baada ya kukamatwa, alitoa gwala kwa jamaa hadi screen ilizima alooo.
😂😂😂😂
 
😂😂😂 kuandika majina ya wanao enda kuangalia Video usiku.

Movie za kina Rambo, Jet Lee. Van Damme, Anord shwazneger. Bluce Lee, etc.
Ila Bush daah nimekumbuka mbali sana, watu wanachapwa stick asubuhi, usiku banda la video km kawaa.
😂😂😂
🤣🤣🤣 Ila walimu zamani walikuwa na kazi sana, yote hiyo kumfuatilia mtoto dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom