Sikujua kama kombe la dunia linaanza leo!

Sikujua kama kombe la dunia linaanza leo!

Movie ya Sylvester Stallone, naipenda Ile Blood. Kipande anatoka Vietnam yuko km msukule ananuka kinomaa, palee watu njiani wanasema hili jamaa linanuka km mnyama, na kipande ananyolewa nywele kule ndani baada ya kukamatwa, alitoa gwala kwa jamaa hadi screen ilizima alooo.
😂😂😂😂
Hahahaha!!!!!
Kumbe na wewe muhenga,,, mi napenda sana ile blood three
Pale kainuka hivi anarudi demu wake akapigwa risasi.
Ile mizuka ilivyompanda akajipaka tope basi napenda mapigano mpaka movie inaisha
 
Kwa mara ya kwanza niliona 1994 sikuwa na akili kivileeee.

1998 niliwafaidi kina Paulo maldin na baba yake.
Deschamps, Thierry Henry djokaeerf karembeu hii timu hasa hichi kikosi baba yangu alikuwa shabiki yaani basi tu.
Kumbe Leo wewe ni mjukuu wangu kabisa.
😀
 
Nakumbuka mara ya kwanza kuangalia mpira haswa kombe la dunia ni 2002 kule japani nadhani, kama sijakosea alishinda mjerumani, na tokea hapo nikawa naipenda Ujerumani na mwaka ule wa 2014 ujerumani walishinda tena , i natumaini mwaka huu Ujerumani
Mwaka 2002 alishinda Brazil kwa kumfunga Ujerumani 2-0.

Michuano ilifanyika nchi mbili, Korea Kusini na Japan.
 
Mwaka 2002 alishindwa Brazil kwa kumfunga Ujerumani 2-0.

Michuano ilifanyika nchi mbili, Korea Kusini na Japan.
Basi korea ilikuwa kama haifamiki ama si popular maana nilijua japan tu
 
Basi korea ilikuwa kama haifamiki ama si popular maana nilijua japan tu
South Korea ni nchi maarufu sana,kwani mkuu unaishi wapi?

Chini ya kocha

Guus Hiddink World Cup ya 2002
Walishika nafasi ya 4 kwa mara ya kwanza,Hiddink anatambulika kama National hero wa South Korea mpaka leo.
 
Sijasema umaarufu wa taifa bali umaarufu kipindi kile dhidi ya japani kwenye michuano ile, korea haikusikika sana . Ama labda mimi kwa kiasi kikubwa niliona mechi za zilizo chezwa japani pekee kulingana na mazingira yangu wakati huo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom