Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,645
- 11,918
Huo mwaka kuna watu walikuwa bado kwenye viuno vya wazazi wao
Sidanganyi kabisa.Acha tumuamini 94 mbona sio mbali sana
We harmful kwa utu uzima gani?Daah 2002 nisingekuwepo kila siku ningekuwa wakulia tu kwanini nimekuwa mtoto wa buku 2 ila Alhamdulillah 😂
Shule ya msingi wenzio kwa wakati huoDuuu! 1994 mi nipo chekechea wenzetu mshaiona dunia!!
Kesho napost Cheti changu cha kuzaliwa naona dharau zimedhidiWe harmful kwa utu uzima gani?
Post sasa hivi!Kesho napost Cheti changu cha kuzaliwa naona dharau zimedhidi
Mambo ya kuamkiana usiku huu sitaki tusubiri kesho asubuhiPost sasa hivi!
Ulifaidi bichwa la zidane2002.
Japo nilikua mdogo, ila 2006 ndio nilifaidi sana.
Na kutokea hapo hadi leo, nalipenda sana Soka.
HujAmbo dogoDuuu! 1994 mi nipo chekechea wenzetu mshaiona dunia!!
Hakika umetumia AIKwa mara ya kwanza niliona 1994 sikuwa na akili kivileeee.
1998 niliwafaidi kina Paulo maldin na baba yake.
Deschamps, Thierry Henry djokaeerf karembeu hii timu hasa hichi kikosi baba yangu alikuwa shabiki yaani basi tu.
Mnooo. 😂😂😂Ulifaidi bichwa la zidane
Basi hata nida mwanzoni..Mambo ya kuamkiana usiku huu sitaki tusubiri kesho asubuhi
Mwanzoni mwa nida wameweka 2010 😂Basi hata nida mwanzoni..
Wamefanya vizuri! Uliwaambia au walijiamlia mambo tu?Mwanzoni mwa nida wameweka 2010 😂
Basi we wa kishua, 94 mlikuwa na TV?Ukweli kabisa!!!! Niliangalia kupitia DStv nadhani.
Mchambuzi kama sikosei Dr liki alikuwepo.