Siku za weekend unapenda kufanya nini zaidi?

Inatengemea na weekend, siku zingine nakula upepo wa bahari, siku zingine nalala tu nasubiri mida ya usku nikajirushe kwenye viwanja au na watch movies and series
 
Mimi majirani zangu wanasema mi mpole sana, hawanioni wala kunisikia nikiongea.
Hahaha that's great.

Kwa kweli tuzo ya kukaa ndani ingekuwepo basi mimi ningekuwa nachukua mataji kila siku😅
 
Siku pekee napumzika ni jumapili tu.

Nnachofanya;
Asubuhi na mapema nafua na kufanya usafi wa maana

Naenda ibadani

Mchana napanga vitu fresh kama na appointment na mtu naenda kuonana nae, kama ni kulala nachapa mbonji au kama ni mwali anakuja ndo vle tena.
 
General cleanliness!
Kulimalima vinyasi nje ya nyumba , kutoa tandabui, kufuta makabati kufua and the alike especially jumamosi!

Cc Smart911
 
Puri asubuhi mpaka jioni

Kuanzia saa kumi na moja ni mpira tu
uulc1p.jpg
 
Kuanzia Ijumaa mpaka jpili saa kumi...nakua bar nakunywa non stop.
Week day sinywi kabisa.
Nb; ninapo andika hapa ni Center point from here naenda New Hibury pale Mawenzi....hivyo yaani
 
Weekend zangu zinaharibiwa sana na wanakijiji ninapotamani niwe labda nafanya usafi ili badae nikafurahi huko bar ndiyo muda wananifuata Mara eti tumesikia Makonda anavuliwa ukuu wa mkoa Arusha hivyo inabidi nianze kuwaelezea unakuta siku inaisha hamna nililofanya zaidi ya kuwadaganya na kuwapanga wanakijiji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom