⚠️Kama Wewe ni SOCIAL MEDIA MANAGER na Umekosa KAZI za Kufanya Basi Fanya Hivi…

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
261
466
1). Tafuta Biashara kubwa ambazo Zinataka Kukuza Uwepo wake Mtandaoni.

2). Ongea na Biashara nyingi kadri Utakavyoweza ili Uweze Kupata Biashara 4 au 5 za Uhakika.

(Nitakwambia Kwanini Biashara 4 au 5)

3). Wakati Unaongea nao Mmoja Mmoja Wape hii OFA Hapa Chini…

Mwambie Mimi Nataka Kukusaidia Kukuza Biashara yako Mtandaoni na hiki Ndicho nitakuwa Nakufanyia…

Nitakuwa nakuja ku SHOOT Video 3 kila wiki Ofisini kwako ambazo ni sawa na Video 12 kwa Mwezi.

Nitakuwa nakuja na IDEAS za Video mwenyewe Kwahiyo kazi yako wewe Itakuwa ni Kuvaa na Kuonekana mbele ya Camera tu.

Nitafanya EDITING ya Video zako zote Ndani ya Siku hiyo na Kuposti moja kwa moja Mtandaoni kama Utanipa nafasi ya Uendeshaji wa Account yako Mtandaoni.

Nitafanya CAPTIONING (Headline) ya kila Post Nitakayoposti Mtandaoni.

Na…

Nitakufanyia ACCOUNT AUDIT Kila mwisho wa Mwezi Bure.

PS: Hii Ofa Imetokana na Uelewa wangu Mdogo wa hilo SOKO Ila kwa Mtaalamu najua kutakuwa na Nyama za kuongeza. Kwahiyo LIMITATION Iko Kichwani mwako Tu (Think)!

PPS: Kwa kumfanyia yote hayo Mwambie atakuchangia 100K au 150K Kila Mwisho wa Mwezi.

4). Kama Ikitokea wakakubali OFA yako…Basi Hakikisha Mnasaini MKATABA wa kazi.

Kwa Faida Gani hasa? (Unaweza Kujiuliza)!

Kwanza utaonekana Professional na uko Serious na kazi.

Mbili Utakuwa hufanyi Biashara KIENYEJI maana yake In Case Chochote Kitatokea Mkataba Utakulinda.

Na…

Tatu wewe na yeye Mtakuwa Mmeji COMMIT kwenye kufanya kazi kweli… which is GOOD for both Sides.

(Both Team to Score)!

PS: Hakikisha Mnasaini Mkataba wa Miezi 6 hadi 12 (Nitakwambia Kwanini pia Soon)!

5). Kama Mtasaini Mkataba Leo kwa Mfano…Hakikisha Mnaanza kazi Mwezi ujao.

Kwanini?

Kikawaida huwa kuna FAIDA za kuanza kazi Mwanzoni mwa Mwezi kuliko katikati au Mwishoni.

Faida ndogo kabisa ni Kwamba huwa inasaidia kwenye Kufanya Mahesabu yenu madogo madogo kwenye Kazi.

Hiyo ni Short SUMMARY ya Jinsi utakavyopata hao Wajasiriamali na Mtakavyokuwa Mnafanyakazi.

Sasa hii yote ina Faida gani kwako Kama Social MEDIA Manager maana Inaonekana kama Kazi Vile…

Okay Angalia Hapa Chini FAIDA Utakazozipata…

1). Hii itakutengenezea RECURRING REVENUE kwa Miezi hiyo Mtakayofanya kazi.

Na…

Kama kila Mjasiriamali atakubali kukupa hiyo 100k Maana yake kwa Mwezi utakuwa na 400k au 500k ya Uhakika.

Kama watakupa 150k kila Mwezi maana yake utakuwa na 600k au 750k kama Clients wako watakuwa ni Wanne au Watano.

Na…

Kwa Mkaka… kama Hujaoa kama Mimi maana yake Utakuwa na Nafasi ya ku INVEST zaidi kwenye Maarifa na Vifaa ambavyo Vitakusaidia zaidi kazini Kwasababu Utakuwa hauna Majukumu mengi ya Muhimu.

Kwa Mdada… kama Hujaolewa maana yake Utakuwa BOSS LADY na Utakuwa na Wigo na Choice kwenye Mambo mengi.

2). Utatengeneza PORTFOLIO kwenye Career yako.

Nilikuwa naongea na Hanscan na akanambia hadi Sasa amesha SHOOT Official Video zaidi ya 500+ kwenye Career yake as Director.

Sasa Imagine Wewe…

Kila wiki una Shoot Minimum Video 12 za Clients wako…Sawa na Video 288 kwa Miezi sita ya Mkataba wako.

PLUS…

Ume grow Social Media Accounts za Clients wako hadi Kufikia 10K Followers kwa kila Moja…Which is Possible kwa hiyo Miezi Sita hasa kwa Instragram na TikTok PROVIDED that Contents zako ni Nzuri.

PS: Hiyo ni CV ambayo haina Mbambamba na Unaweza hata kwenda nayo Voda au TBL na Ukasikilizika.

3). Unajitengeneza kuwa IDEAS Producing Machine.

Kumbuka kwenye OFA yako ulisema Utakuja na IDEAS zako mwenye na kazi ya Mjasiriamali itakuwa ni Kuonekana kwenye Video tu.

Sasa Imagine…

Una biashara 4 na zote Zinatokea INDUSTRY Tofauti maana yake kila Wiki unakuja na IDEAS 12 Mpya.

Hiyo inakufanya uwe VERSATILE Social Media Manager maana yake Inakufanya uwe RELIABLE Sokoni.

(Unakuwa Versatile PLAYER kama Kimmick, B. Silva na Milner)!

Yaani… Unakuwa unaweza kufanya kazi kama Content Creator, Video Director, Social Media Manager, Script Writer n.k.

PS: Hii ni COMPETITIVE ADVANTAGE Ngumu sana kuwa nayo hasa kwa Washindani zako.

4). Utakusanya Rundo La EXPERIENCE kwenye Career yako.

Kumbuka hii Sio kazi Rahisi kama Inavyoonekana hapa kwenye Maandishi.

Maana yake ni Nini?

Utafanya Makosa mengi na Utajifunza Kupitia hayo Makosa, Kitu ambacho hakuna CHUO Kikuu chochote Duniani Kinafundisha…EXPERIENCE!

“Uzoefu Unapatika kwa Kufanya na SIO kwa Kusomea kama wengi Wanavyodhani”

5). Utajenga DISCIPLINE na Utajua Thamani ya MUDA kwenye Maisha yako.

Hiki ndicho Kipengele ambacho Asilimia 99.999% ya Vijana hatuna na hatukijui.

Kumbuka kila wiki Utatakiwa uje na Idea 12 za Video, Ufanye Editing, Ufanye Captioning na Ufanye Distribution kwenye Platforms Mlizozilenga.

Maana yake Kila Dkk ndani ya Wiki yako Itakuwa VALUABLE maana Utatakiwa ufanye kazi za Clients ila at the Sametime…

Utatakiwa Ujifunze, Ufanyie Practice Vitu Vipya, Uipe Familia yako Muda, Umpe Bebe wako Muda, Ufanye kazi Zingine ndogo ndogo ambazo Zitalipia Bando + Home Activities.

Hii itakulazimu Ufanye SACRIFICE ya Vitu vingi sana kwenye Maisha yako, Ufanye kazi Masaa 10 hadi 15 Per Day au Mkataba wako Ndio Ukupeleke Jela.

Maana yake kama Ukiweza ku Master CHAOS Zote hizo Utakuwa ni sawa na Umehitimu mafunzo ya Kijeshi Cuba.

Kwahiyo…

Hizo ni Faida chache Tu ambazo Nimeziona kwa haraka haraka.

Na…

Ukweli ni kwamba Binafsi huwa Naanza Kuangalia HASARA za Kitu kabla ya Kuangalia Faida zake.

Mfano: Huwa naangalia sana Madhara yatakayo Jitokeza kama Nikitumia Social Media ki Biashara kuliko Faida Nitakazozipata.

Maana yake ni kwamba Najua Madhara ya Hiki kitu Ninachokifanya kuliko Faida Zake.

Na…

Hii Huwa Inatokea Kwasababu huwa Nafanya Kitu Kinaitwa… NEGATIVE VISULIZATION!

Yaani… Ile hali ya Kutabiri hali Mbaya zinazoweza Kujitokeza kwenye Kile Kitu unachotaka Kukifanya.

Hii huwa inanipa Uhalisia wa kitu na hata Kitu chochote Kibaya Kikijitokeza maana yake Inakuwa Nilishakiona na Najua naanzia wapi Kukitatua.

Kwahiyo…

Ningekuandikia hadi Hasara za hiki Kitu ila Kwasababu ya Nafasi kutotosha hiyo Utafanya kama HOME TASK kwa Mtu ambaye Atakuwa Interested na hii Idea yangu ya Kijinga.

Kitu ambacho Bado Sijakijibu hadi sasahivi ni MUDA wa Kufanya hii kazi na VIFAA kwa Mtu ambaye hana. Tuanze na Hiki…

MUDA

Binafsi huwa naamini Muda kila mtu huwa anao wa Kutosha ILA huwa Tunatofautina kwenye…PRIORITY!

A.K.A… VIPAUMBELE!

Kama ukikipa hiki kitu Kipaumbele basi Muda Utaupata wa kufanya kazi.

Na…

Unaweza ukawa Unafanya kazi Jumatatu, Jumatano na Ijumah.

Kivipi? Angalia Hapa…

Kila siku Asubuhi au Mchana katika hizo Siku unatembelea Maduka yako kwaajili ya kufanya Shooting.

Kikawaida kama uko Serious Shooting kwa kila Duka Inaweza kuchukua Saa Moja na kama una Maduka 4 itakuwa ni Masaa manne.

PS: Hakikisha Ukiwa Unatoka kwako Unawasiliana na Muhusika wa Duka aanze Kujianda na Kuandaa Vitu vya Muhimu… Hii Itasaidia kuokoa muda.

(Hapa utafanya hivyo hivyo kwa Kila Duka Kabla ya Kufika)!

Ukimaliza ku Shoot Immediately Rudi Ofisini kwako ANZA Kufanya Editing ili Jioni ziwe Tayari Kuingia Mtandaoni.

Hapa utabakiza Siku 4 ambazo Utakuwa hufanyi kazi na Wateja wako…

Kama utakuwa na Kichwa kama changu Unaweza kuwa Unatumia kila Weekend Kuandaa IDEAS za Wiki Nzima.

Kitu ambacho huwa Nafanya kwenye Kuandaa CONTENTS za Mwezi Mzima…Natenga wiki Moja ya Kuumia then Napata Wiki tatu za kula Utawala na Kuposti Tu.

Ukiweza kufanya hivyo maana yake Kazi yako Itabaki kuwa ni ku EDIT Ideas na kwenda ku Shoot kwenye hizo Siku.

Then…

Siku zitakazobaki Utazitumia kufanya Kazi na Wateja wanaojitokeza Ili Kupata Pesa ya Maji, Bando na Kumtoa Out Bebe.

Hivyo ndivyo Utaugawa Muda wako.

Na…

Kama ni Mtundu unaweza kufanya INNOVATION kutokea kwenye hiyo Idea then Ukapata Muda Mzuri zaidi kwako.

VIFAA

Kwa mtu ambaye Tayari ana Vifaa hii Sio Sehemu Muhimu sana. Wewe unaweza kwenda kuanza Kutafuta DREAM Maduka yako Manne.

Kwa Wewe ambaye bado Huna Vifaa I Hope Unaweza Kupata Chochote cha Kuanzia.

Angalia Hapa…

Binafsi kila Ninapotaka kufanya Kitu huwa Najiambia kuwa Kuna MILLIONS of ways ya Kufanya kila Kitu hapa Duniani Ishu ni Kujua ipi Njia Sahihi zaidi.

Hata kwenye Kutengeneza Pesa…

Kuna njia Nyingi sana za Kutengeneza Pesa ILA Ishu ni Ipi ndio Njia Sahihi zaidi.

Njia ambayo Utawekeza Pesa kidogo, Jitihada kidogo na Risk yake ni ndogo ILA Wakati huo huo Utatengeneza Pesa Mingi.

Kwahiyo…

Hata kwenye Kupata Vifaa vya KAZI Inabidi Uangalie njia ambayo ni Salama zaidi.

Njia Rahisi za haraka haraka ni…

KUNUNUA…

KUKODISHA…

Kuingia PARTNERSHIP na mwenye Vifaa…

Au…

KUAZIMA kwa Washikaji.

Hapo Utaangalia ipi Inaweza Ikawa SAHIHI zaidi na ambayo Haina Maumivu Makubwa then Ukaanza nayo.

Kama hutonunua Mwanzoni basi Hakikisha baada ya KAZI Kadhaa unakuwa na Vifaa vyako ili uwe na Uhuru zaidi na kazi.

So…

Hiyo ndio Summary fupi kwa Social MEDIA Manager yoyote ambaye anajitafuta na bado hana kazi za Uhakika.

I Hope hii Inaweza kuwa ZAWADI kwa Mtu huko njee.

Nikutakie Siku Njema.

Gracias…🙏🏻🙏🏻

Seif Mselem!
 
Asante sana kwa elimu nzuri
 
mkuu nimeipenda hii ila sina uwez wa kuedit,gharama za kumpa mtu anieditie zinaweza kuwa kiasi gani?
 
Andiko Zuri sana sana

In addition
Hapo kwenye ku shoot anaweza shoot video za wiki nzima kwa siku moja

Pia Dunia ya sasa with AI asiache kuwa updated
 
Maelezo yako ni mengi ila yote yamekaa kiprofessional kwa wahusika kazi kwao.
 
Back
Top Bottom