Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

Tatizo la utoto ndio hlo. Ww ungemnywesha kadri atakavyo then mngeongea vizur. By then angekueleza maovu yake yote,ungejua wap pa kuanzia na kumalizia. Labda alikuwa ana aibu na kadanganywa pombe yatoa aibu ndio maana alikunywa,ww umediliti file faster. Usipime kwa macha ndugu..
 
Isiwe wewe ndio mnunuzi sasa unategemea nini hapo, na wengine ili akupe mtanange siku ya kwanz lazima atoe nishai kidogo
 
Umemnunulia pombe, unataka anywe maziwa?! Hii miujiza kwa kweli.
 
Kwa kweli mwanamke mlevi havutii hata kidogo. Pamoja na wavutaji - iwe bangi, sigara, madawa ya kulevya au yale madubwana ya siku hizi (yapo yanakuwa na kimpira hivi na li-jug/ birika...sijui hata wanayaitaje).

I think it's just very unladylike for a female kuwa mlevi. To me it's a deal-breaker.

Halafu ukute janamke lilevi linakunywa mibia halafu linaanza kucheua kama mbuzi...yuck!
 
Basi ungempeleka sehemu wanazouza ice cream???
 
Sasa kama nakunywa mbege toka niko na wazazi wangu tunazungusha duara kwanin nijizuie jaman mbona tunakatana kiu?
 
dah umenifanya nicheke tu, hivi kuna wanawake wa dizaini hii kweli?

wengi hasa walioko ki misheni town zaidi. wale ambao wanajua mko ki game zaidi sio kindoa. kuna wengine mpaka unajua na kuangalia wallet mara mbili mbili kama bili itakayokuja utaiweza. wewe bado uko na bia ya kwanza au soda mwenzako yuko bia ya tatu alafu anadai na supu mchemso au kuku. akiipiga mbia kama mbili zaidi zinashuka kama maji akiagiza ya tatu na pombe kali anadai nyama choma nusu.ogopa dar.
 
basi kavuna alichopanda, nimempiga chini.

kwani wewe almasi au upo peke yako ukimpiga chini maisha yanaendelea tu mbona kama kawa acha dada wawatu ajipe raha kwanza ungeendelea kuwa nae ungemtesa.
 
Wanajamvi, wanawake kama hamtakubali kubadilika basi mtasubili saaaaana, sisemi ni kosa kunywa pombe ila nashangaa siku ya kwanza tu ya kutoka na mwanaume unajiachia kiasi hiki, unakunywa pombe tena za kutosha utadhani tunajuana miaka 50, jamani jamani, kwa taarifa yenu hata mwanaume mywa pombe anatamani awe na mwanamke asiyekunywa. Hata kama unahusudu pombe, siku za mwanzo za kusomana jizuie kijiexpose kiasi hicho, nimeamua kupiga chini.
uyo hajaona future kwako, inategemea umri wake mdogo, au ndo kidenti au ndo hivo tena kakuweka special for buzi
 
Yaani hapo ndo kajificha, ukimzoea atafuta crate
 
Wanajamvi, wanawake kama hamtakubali kubadilika basi mtasubili saaaaana, sisemi ni kosa kunywa pombe ila nashangaa siku ya kwanza tu ya kutoka na mwanaume unajiachia kiasi hiki, unakunywa pombe tena za kutosha utadhani tunajuana miaka 50, jamani jamani, kwa taarifa yenu hata mwanaume mywa pombe anatamani awe na mwanamke asiyekunywa. Hata kama unahusudu pombe, siku za mwanzo za kusomana jizuie kijiexpose kiasi hicho, nimeamua kupiga chini.

Nampogeza Bi Dada kwa kuwa mkweli kwa nafsi yake na kwako, kama umeamua kummpiga chini hata ungejua baadae ungefanya hivyo.
 
Je wewe ulikunywa siku hiyo au ulimdanganya kuwa hunywi? Au wewe ndo ulikuwa na haki ya kunywa?
 
Tembelea a town sasa utachoka! Demu anaagiza safari, halafu ikitua tu mezani anaing'oa lebo kama kaka zao wa mererani! Utachokajeeee?????
 
Kwa kweli mwanamke mlevi havutii hata kidogo. Pamoja na wavutaji - iwe bangi, sigara, madawa ya kulevya au yale madubwana ya siku hizi (yapo yanakuwa na kimpira hivi na li-jug/ birika...sijui hata wanayaitaje).

I think it's just very unladylike for a female kuwa mlevi. To me it's a deal-breaker.

Halafu ukute janamke lilevi linakunywa mibia halafu linaanza kucheua kama mbuzi...yuck!
Hiyo mijug na mibirika wenyewe wanaiita Shisha basi vijana wetu wanaharibika kweli kwenye hayo madubwasha.
 
Hiyo mijug na mibirika wenyewe wanaiita Shisha basi vijana wetu wanaharibika kweli kwenye hayo madubwasha.

Yup..inaitwa shisha au hookah!

hookah_pipe.jpg

Hebu ona wanavyosema watu wa CDC

Hookah smoking is typically done in groups, with the same mouthpiece passed from person to person.
Source

Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchangia mouthpiece? Full uchafu.
 
Wanawake dizain kama hao dawa yao wape pombe ile ya kuongeza stimu aka muwasho siku hiyo unaenda kugonga kitu kilaini alafu unapiga kibuti juu .
 
ulitaka tukutanie wapi ambako hakuna pombe? kanisani au msikitini? si kila kichaka unachokiona unataka kujisaidia.
Mbona sehemu kibao2 hakuna pombe? Nyumbani kwako/kwake/uwanja wa Taifa/viwanja vya ikulu n.k. Siku nyingine ukitoka na Ndito utafute mkwanja wa kutosha. Sio unakuwa na hela ya mawazo halafu unakuja kulialia hapa. Unalia hivi je, kama angekuambia "Sweety naomba na take away Heineken za kopo 10 si ungezimia?
 
Back
Top Bottom