miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Aende bongo movies atawapa wengi tu !wanajifanya hawanywi hata wine wanajifanya ni watakatifu sana hata gesti hawajawahi ingia wanajifanya walikuwa virginated kwa bahati mbaya na kwa kulazimishwa wanajifanya wana muda mrefu hawajakutana na ile timu ya soka ya Zambia Libolo Fc!!!!! Loh ukizamisha tu brake p.u.m.b lakini anajifanya anaumia
maisha ya kuigiza nayapinga mpaka kaburini aiseee.... jitu kubwa linaona aibu si uongo huo