Nampenda huyo anajiachia from day one kwanini afiche makucha mwache akuonyeshe alivyo ili uchagueWanajanvi, wanawake kama hamtakubali kubadilika basi mtasubili saaaaana, sisemi ni kosa kunywa pombe ila nashangaa siku ya kwanza tu ya kutoka na mwanaume unajiachia kiasi hiki, unakunywa pombe tena za kutosha utadhani tunajuana miaka 50, jamani jamani, kwa taarifa yenu hata mwanaume mywa pombe anatamani awe na mwanamke asiyekunywa. Hata kama unahusudu pombe, siku za mwanzo za kusomana jizuie kijiexpose kiasi hicho, nimeamua kupiga chini.
hapo nampa big up bidada kwa kuwa muwazi anjificha ili iweje ? siku ya kwanza jua ulitongoza nini neno i love u lisininyime uhuru mie nakunywa mpaka unanibeba loh..... kuwa mnafki kwenye maisha ya sasa haina maana we only live once... its better to be you kuliko kuigiza ,,,, wenginee na sauti wanabana ili ionekane ndogo unatoa sauti mpaka ya mwisho ili ujue ulitongoza nini?
utapata tabu sana dada yangu.
nimekuachia wewe.
hahahaaaaaa uuuiwiiii miss chagga I rav yuu nimekupenda bureeeee
anataka wa kuigiza akishaingia ndani akibadilika oooh mke wangu mlevi oa ukijua ni mlevi utamuhandla vipi... hongera kwa kuwa na productive ideaNampenda huyo anajiachia from day one kwanini afiche makucha mwache akuonyeshe alivyo ili uchague
Kunyoa au kusuka mapemaaaaaa......!
kumbuka first impression last conclusion
Katika vitu vilinishindaga ni pretending to be someone am not.
Am real like that, take it or scuttle!:wave:
nitakula mema ya inchi kwa sababu siigizi naishi nitakavyo mimi na si mwingine atakavyo elimradi tu nisivunje sheria ya eneo husika na kukwaza watu mkuu.... mpaka umri huu sijapata shida kabisa i hope sitakaa nipate shida
anataka wa kuigiza akishaingia ndani akibadilika oooh mke wangu mlevi oa ukijua ni mlevi utamuhandla vipi... hongera kwa kuwa na productive idea
hahahaaaaa.... na soda ya takeawaysasa ulimpeleka bar ili anywe maji?
Wewe mchagga na yeye msukuma lazima mkubaliane kutofautiana tu