Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

mwenzio kaamua kuwa muwazi we unampiga chini?

tatizo kuna viwango na kiasi. mnakutana basi walau anywe bila mbili laini au kama castle lite au tatu. sasa mtu siku ya kwanza anapiga safari fasta anachanganya na viroba vya konyagi kama sita au saba. hapo kweli pagumu kuendelea, alafu anapiga na fegi(sigara ) kama nusu pakti ndani ya kama masaa 2. hapo kweli moyo unasita kuendelea.
 
huyo wala hakukupenda alitaka kukuchuna tu
 
Hii haina tofauti na mwanamke anayekutongoza mwanaume..Ndiyo! Mwanamke naye anapenda, ila akisha kutongoza inaonesha yupo Cheap sana(Maharage ya Mbeya)....... Mwanamke shurti aringe kidogo bana siyo kujiachia....Kuwa mgumu kidogo hata wiki mbili hivi sio unakubali tuu.....
 
Tatizo ulimpeleka chura kwenye maji alikozoea ulitegemea nini?
.......Vile hupendi mnywa pombe njoo kwa Yesu Kristo wa Nazarethi wako kibao utawapata wasio kunywa wameokoka.
....."Nanyi mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru."
 
nagopandekaga nyuka wane.
 
hapo nampa big up bidada kwa kuwa muwazi anjificha ili iweje ? siku ya kwanza jua ulitongoza nini neno i love u lisininyime uhuru mie nakunywa mpaka unanibeba loh..... kuwa mnafki kwenye maisha ya sasa haina maana we only live once... its better to be you kuliko kuigiza ,,,, wenginee na sauti wanabana ili ionekane ndogo unatoa sauti mpaka ya mwisho ili ujue ulitongoza nini?
 
Hii haina tofauti na mwanamke anayekutongoza mwanaume..Ndiyo! Mwanamke naye anapenda, ila akisha kutongoza inaonesha yupo Cheap sana(Maharage ya Mbeya)....... Mwanamke shurti aringe kidogo bana siyo kujiachia....Kuwa mgumu kidogo hata wiki mbili hivi sio unakubali tuu.....

niringe kwa kuwa ukiongea unatema hela? mna mda wa kucheza ninyi
 
tatizo kuna viwango na kiasi. mnakutana basi walau anywe bila mbili laini au kama castle lite au tatu. sasa mtu siku ya kwanza anapiga safari fasta anachanganya na viroba vya konyagi kama sita au saba. hapo kweli pagumu kuendelea, alafu anapiga na fegi(sigara ) kama nusu pakti ndani ya kama masaa 2. hapo kweli moyo unasita kuendelea.

mkome kuokota okota barabarani yani kama sikupendi tena naanza kuita na rafiki zangu waje wamwone shemeji
 
hapo nampa big up bidada kwa kuwa muwazi anjificha ili iweje ? siku ya kwanza jua ulitongoza nini neno i love u lisininyime uhuru mie nakunywa mpaka unanibeba loh..... kuwa mnafki kwenye maisha ya sasa haina maana we only live once... its better to be you kuliko kuigiza ,,,, wenginee na sauti wanabana ili ionekane ndogo unatoa sauti mpaka ya mwisho ili ujue ulitongoza nini?

utapata tabu sana dada yangu.
 
Galekelage mashibundumiso ung`winuyo, ubhebhe shogaga kaya ugatole kwenuko.

wabeja gete nkoi, nashoke doho gokaya nagatole, neho likima lya mashima gete, aamujini makoye gete gete, manhwi awalwa doho.
 
ya nini maisha ya kuigiza, nijue vizuri from first place
 
Back
Top Bottom