Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

hiv nyinyi watu mbona hamueleweki, watu wakitaka kuishi maisha yao halisi mnalia, wakisema wapretend afu makucha yao yakifunuka siku za usoni kamasi zinaanza kuwatoka.. misimamo yenu inayumba sana!
 
Mkuu kuna baadhi ya wanawake wamezidi ata kama siyo kupretend basi kdogo , sasa unakuta ke linajiachia lol taratibu jamani .

hiv nyinyi watu mbona hamueleweki, watu wakitaka kuishi maisha yao halisi mnalia, wakisema wapretend afu makucha yao yakifunuka siku za usoni kamasi zinaanza kuwatoka.. misimamo yenu inayumba sana!
 
Huu ni aina ya ulevi mpya? Ndio nausikia na kuona leo.

Kinachovutwa ni tumbaku au bhange?

Yup..inaitwa shisha au hookah!

hookah_pipe.jpg

Hebu ona wanavyosema watu wa CDC

Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchangia mouthpiece? Full uchafu.
 
Sasa Huyo ndio mzuri ukimuoa anafanya maendeleo coz kashakunywa Sana so Hakuna kigeji kwake yule wa kumfundisha mwenyewe pombe akiijua anakunywa mpaka anakuzidi kiwango anyway wanawake tumeumbwa na haiba atleast alitakiwa aonyeshe haiba ya kike sio kujigida mipombe kiasi hiko unachosema
 
Mwanamke anapaswa kuwa na vi-aibu kidogo. Binti siku ya kwanza anakunywa, tupa kule hata mkiniita mshamba
 
the fact kuwa napenda kula nyama haiwezi kuwa siri. the fact kuwa huyo dada anakunywa pombe haiwezi kuwa siri. unataka kudanganywa hadi lini? mimi nataka mtu anijue from day one, ili baadae asianze kunisumbua na masharti kama mkopo wa saccos!
wewe hunaga siri? kila kitu unakimwaga hadharani kisa usiwe pretenda? nadhani vingine unajizuia kidogo.
 
sipendi kuwa na mahusiano na mwanamke mnywa pombe. kwangu mwanamke mlevi mvuta sigara hatuchangamani kabisaaa
 
majuzi hapa nilijikuta kwenye kikao cha starehe na binti mmoja wa kisasa na akaagiza hiyo makitu. aliletewa mouth pieces kadhaa. akatuambia kila mtu anatakiwa atumie yake. zilikuwa sealed na mhudumu hazikusanyi.

She told us ni flava ya harufu tu na haileweshi (kwa sababu nililalamika kuhusu passive smoking). ila kiukweli imekuwa kama status symbol tu! kuigana bila sababu.

Cc Matola
Yup..inaitwa shisha au hookah!

hookah_pipe.jpg

Hebu ona wanavyosema watu wa CDC

Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchangia mouthpiece? Full uchafu.
 
Last edited by a moderator:
So mkaivuta? Ni kama sigara ama pombe?

majuzi hapa nilijikuta kwenye kikao cha starehe na binti mmoja wa kisasa na akaagiza hiyo makitu. aliletewa mouth pieces kadhaa. akatuambia kila mtu anatakiwa atumie yake. zilikuwa sealed na mhudumu hazikusanyi.

She told us ni flava ya harufu tu na haileweshi (kwa sababu nililalamika kuhusu passive smoking). ila kiukweli imekuwa kama status symbol tu! kuigana bila sababu.

Cc Matola
 
Wakiwa wazi vibaya,waki pretend sivyo!
Hamna jema nyie!!!!
 
Wakati umekwenda wapi??

haaaa Ennie umenikumbusha hilo tangazo sijui lilikuwa la nini tena...yaani una bia mbili chap chap kwa kuupendezesha mchana wangu
 
Last edited by a moderator:
nyie ndio wale ambao hamuwezi kuja.... hata mkiwa na wapenzi wenu, sasa wewe ulitak akufiche tabia yake? kwahiyo na wewe ulimficha nini? acha hizo, eleza hisia zako kama zitakuwa connected basi mka make life better mbele huko.
 
sipendi kuwa na mahusiano na mwanamke mnywa pombe. kwangu mwanamke mlevi mvuta sigara hatuchangamani kabisaaa

Acha tu aisee! Mwanamke kuwa mlevi mbwa hata haipendezi, haina mvuto kabisa.

Halafu awe mlevi na mvutaji. Yuuuck. Nasty nasty nasty!
 
Back
Top Bottom