Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

tuwe wakweli mwanamke MNYWA POMBE no matter ni mlevi au sio mlevi ANABOA
Mkuu unaweza kutupa ka experience kako kwa hao wanawake walevi na wasio walevi,kwa mtazamo wangu mie mwanamke anaekunywa kidogo haboi kama usemavyo labda kama wewe una kitambi.:nod:
 
angekuonyesha huko mbeleni si ungesema amekubadilikia?
Men! You can't live with them BUT you can't live without them. Anaeficha true colors ataitwa mnafiki na kuwa alidanganya cause alitaka ndoa - na huyu atapigwa chini vile vile. Anayeonyesha true colors...naye anapigwa chini vile vile tena shurti kwa kutoa ushuhuda JF!!:thinking:
 
mwenzio kaamua kuwa muwazi we unampiga chini?

Nilivyoelewa hakutakiwa kunywa nyingi kama alizokunywa maana pombe inakishawishi kikubwa sana hasa inapozidi kipimo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hehehe, sikufikiria hiyo. afu ukute kadada kenyewe kanakula savannah au zile pombe zao za kuona kwnye tv! hukawii kuomba poo
. Lol! Mbavu zangu mie! Binti anataka Club 07 Vodka Lemon wakati pale mtaani kwa Mangi hata Heineken kuipata ni issue
 
taabu tupu
sijawahi elewa wanataka nini
Men! You can't live with them BUT you can't live without them. Anaeficha true colors ataitwa mnafiki na kuwa alidanganya cause alitaka ndoa - na huyu atapigwa chini vile vile. Anayeonyesha true colors...naye anapigwa chini vile vile tena shurti kwa kutoa ushuhuda JF!!:thinking:
 
kwa hiyo alitakiwa afiche makucha kwa kuwa ni mtoko wa kwanza?..huyu hata kama angeficha,halafu baadae akajionyesha,inaelekea angempiga chini tu..muhimu wawe wanawauliza,unatumia kilevi,akisema YES unabadili mawazo faster
Nilivyoelewa hakutakiwa kunywa nyingi kama alizokunywa maana pombe inakishawishi kikubwa sana hasa inapozidi kipimo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwa hiyo alitakiwa afiche makucha kwa kuwa ni mtoko wa kwanza?..huyu hata kama angeficha,halafu baadae akajionyesha,inaelekea angempiga chini tu..muhimu wawe wanawauliza,unatumia kilevi,akisema YES unabadili mawazo faster

Sina maana hiyo nazungumzia mkilewa ni rahisi sana kufanya mambo mabaya kuliko mkiwa timamu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
big up kwa dada zangu wa kichaga hata akpga maji vp huwez mvua chupi kirahisrahis lakn wengine glass moja tu ameshakulalia kifuani mkono juu ya chuchu balaaa
 
na pengine hapo ndo kajizuia kunywa nyingi kakuonea aibu.
sipati picha ungemu underate na kuandaa budget uchwara
 
Acha tu aisee! Mwanamke kuwa mlevi mbwa hata haipendezi, haina mvuto kabisa.

Halafu awe mlevi na mvutaji. Yuuuck. Nasty nasty nasty!

afu ukute we mwanaume hunywi....
sisi wanaume level za uvumilivu ni ndogo hasa kwenye mambo kama hayo... imagine mkeo kalewa chakari anarudi home watoto sijui wanamuangaliaje
 
afu ukute we mwanaume hunywi....
sisi wanaume level za uvumilivu ni ndogo hasa kwenye mambo kama hayo... imagine mkeo kalewa chakari anarudi home watoto sijui wanamuangaliaje

Ndo maana ni vyema, kama wewe mwanaume si mlevi mbwa, basi usijihusishe kabisa kindoa na mwanamke mlevi. Hao ni wa kumega tu, basi.
 
Mamba iko na nguvu kumayii kumuchanga inakorokota tu..
 
Back
Top Bottom