JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,967
Wanajamvi, wanawake kama hamtakubali kubadilika basi mtasubili saaaaana, sisemi ni kosa kunywa pombe ila nashangaa siku ya kwanza tu ya kutoka na mwanaume unajiachia kiasi hiki, unakunywa pombe tena za kutosha utadhani tunajuana miaka 50, jamani jamani, kwa taarifa yenu hata mwanaume mywa pombe anatamani awe na mwanamke asiyekunywa. Hata kama unahusudu pombe, siku za mwanzo za kusomana jizuie kijiexpose kiasi hicho, nimeamua kupiga chini.