Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Khaaaa nilishindwaaa kabisa ...
Tulikuwa na mikwaruzano na beb nilikuwa naona anapunguza mahaba(care) kumwambia anadai ubusy +uchovu wa kazi !!!
Nakumbuka siku hiyo nilipanga kabisa kujiongeza maana inawezekana mwenzangu ndo ananipotezea hivyo ,Tupo sehemu nakunywa na huyo kaka mara Beb akaanza kupiga simu nikapunguza sauti kapiga wee roho ikaanza kuniuma nahisi kama yupo pemben ananiangalia mara text ikaingia amendika maneno mazuri [emoji85][emoji85]roho iliniuma saana huku nahic utumbo unavurugika.... ikabidi niage naenda chooni nikabeba pochi yangu nikaondoka zangu ,huyo kaka nikamblock tu maana sikutaka aanze kunilaumu kwanin nmemkimbia ...
 
Wenzako huwa wanazimaga simu wakiwa kwenye hilo anga
 
Sijui kwa nini watu wana-complicate hili tendo, kuna wakati mapenzi ni kama zawadi au huduma. Mnapeana halafu kila mtu anaendelea na maisha yake.
 
Mhh mkuu hizo za kusalitiwa na mwanaume nshazoea sahv naona kawaida tu anajiendea anachepuuka na mim nikiona stress zmejaa najichepukia tu tukirudi ndani ngoma droo
Sio uamuzi mzur lakini fikiria tena
 
Mimi kuna siku nipo na mwanamke halafu mama watoto akanipigia ananiambia anahisi kitu kibaya kinatokea,nilipanga kupiga bao 2 lkn nikapiga moja nikarudi home shingo upande.

Wanawake wakiwa na mimba huwa wana machale sana
Mama watoto ni mlokole???
 
Mimi hata nikiachana na mwanaume ninaelala nae baada yake lazima nilie. Tena na kwikwi juu. Siku hizi nimekua naona ufala kulia wakati mtu mkiachana anaenda kwa madem zake wengine.
Mambo si ndio hayo. Bila shaka ume graduate my luv.....
 
Pole sana kwa kutokwa na machoZi siku ya kwanza.
Na hongera sana siku hizi hutokwi na machozi baada ya kuchepuka mara zaidi ya hamsini.
 
Back
Top Bottom