Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
sasa hivi umekuwa mzoefu wa kuchepuka hulii tena. a hidden message...
 
Usaliti unauma sio kwa unayemsaliti tuu huwa unaisaliti na nafsi yako!
Etii??....sijajua...wapo wazoefu hata hawajali...nahisi sina hakika...mke wangua alinisaliti hata hajali kanenepa kama mbuyu...anakula bata mlima siti na mme wake mpyaaaa....
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja,kutomba anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena

Taratibu mama mkwe. Tutaahirisha zoezi
 
Hii ishawah ntokea,kuna demu nilpokuwa arusha niliishi nae kama mke wangu ghetoni,baadae nikaacha chuo na kurudi mwanza, nilikaa kama miezi 3 bila kufanya mapenzi,siku nafanya mapenzi na mwanamke mwingne nilijihisi vibaya sana mpaka nikahisi huyo demu Wa arusha kajua,
 
duuh! me sjawai nlienae ndo the first uyo uyo, nikifkikiaga mfano tukiachana naanzaje kuanza kufanya na mwingine nakosa jibu, naisi ka kaumbiwa yeye tu. asa ka yeye anacheat uko mi cjui
 
Back
Top Bottom