PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,258
Nipo na ni salama kabisa mkuu,mambo vipi upande wako?baba upo? salama?

best upo?Mtu anayekupenda ukimsaliti lazima nafsi ikusute haswaaa.
Halafu jamaa yake akimuacha utasikia... AMENIPOTEZEA MUDA, UTADHAN MUDA WA JAMAA ULIWEKWA POZII..!!!Hapa sasa ndiyo nashindwa kuwaelewa wanawake!!
Alikulaghai vipi wakati wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu?
Ulipenda mwenyewe uchepuke kwa tamaa zako ,pia kulia na kuondoka haikusaidia kitu sababu ushatombw*******()
kama ungefikiria hayo usingethubutu kuvua chupi na kunyegeka kwa jamaa.
unaigiza tu wewe.
Habari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
NotesHabari wanajamvi

Hujatuambia baada ya kuwa expert mambo yakoje now. Bila shaka hulii tena Bali mambo ni moto motoHabari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Siku ya kwanza kuchepuka ndo ulilia, baada ya hapo ukaendelea kuchepuka na ukawa unacheka tu cuteloveHabari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Dah..! Ama kweli JF inakutanisha watu!Habari wanajamvi

[emoji23][emoji23]Dah..! Ama kweli JF inakutanisha watu!
Kumbe ndiye wewe mdada uliyenikimbiaga siku ile pale gesti?
Aisee yaani iliniuma sana mpaka nikahisi nimekuumiza maana ulisema tumbo linauma ghafla yaani ulipoondoka nilihangaika sana maana nliishia bao moja wakati nilikuwa nimepaka"vumbi la Congo"
Ilibidi nimbembeleze muhudumu anipe nipunguze kidogo maana hali ilikuwa mbaya.
Enhe hiyo ni siku ya kwanza nyingine je?Habari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Pole sana cutelove ila sijadhamiria kukuoneaJamani unanionea!!
Utafiti umeonyesha mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja.Inaonekana Una Uoendo Mzuri sana...
Anyway hiyo ndo dhambi LA Usaliti huwa inauma hivyo....
Ila Ukizoea Utakuwa hulii tena....
Mi mwenyewe sitamani Mwanamke mwingine zaidi ya Nilienae...
yaaah hata mi naisi why uwe na wengiAcha uwongo wewe sema ulikimbia show huenda jibaba lilisimamia kucha
kwa kweli sio powahMbona wanaume wa " jamii forums " wanamtusi Dada wa watu na kumwambia maneno mabaya,
Yeye katoa maoni yake kutushirikisha tukio la jinai katika mapenzi/ uhusiano kwa nyakati za awali na kukiri hatorudia kufanya kosa lile,
Sasa kumkashifu siyo vyema naye ni mwanadamu anakosea vile vile.... [emoji87] [emoji378] [emoji91]