Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Yote ilikua michepuko.
 
malay.a mala.ya tu kulia hakuondoi dhambi ya umalaya.
 
Hapa sasa ndiyo nashindwa kuwaelewa wanawake!!
Alikulaghai vipi wakati wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu?

Ulipenda mwenyewe uchepuke kwa tamaa zako ,pia kulia na kuondoka haikusaidia kitu sababu ushatombw*******()
kama ungefikiria hayo usingethubutu kuvua chupi na kunyegeka kwa jamaa.

unaigiza tu wewe.
Huwezi kuelewa hadi use mwanamke
 
Mkuu wanawake tu ndo tutakuelewa ila wanaume hawawezi kuelewa hapa kwasababu wao wanachepukaga bila hata roho kuwasuta
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja,kutomba anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
Hahaha mkuu hayao ya kumtaja jina sasa mtu mkuyenge unaweza uka shrink gafla asee
 
Hapa sasa ndiyo nashindwa kuwaelewa wanawake!!
Alikulaghai vipi wakati wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu?

Ulipenda mwenyewe uchepuke kwa tamaa zako ,pia kulia na kuondoka haikusaidia kitu sababu ushatombw*******()
kama ungefikiria hayo usingethubutu kuvua chupi na kunyegeka kwa jamaa.

unaigiza tu wewe.
Apo utajua Kwa nn mwanamke haaminiki
 
Niko salama dadake ingawa nakuona tu unavopita kwa kasi.

Msalimu ukhty mwambie nlipoteza kibonyeza simu.
Hahahaaa. Nimepita tu kaka kusoma soma ya duniani.

Sawa kaka zimeshafika.
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Mpaka Leo umeshachepuka Mara ngapi?maana najua mtu akishachepuka huwa ni ngumu kuacha ni sawa na kula nyama ya mtu
 
Back
Top Bottom