Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Ka'picha tafadhar ka siku tukio
 
Mbona wanaume wa " jamii forums " wanamtusi Dada wa watu na kumwambia maneno mabaya,
Yeye katoa maoni yake kutushirikisha tukio la jinai katika mapenzi/ uhusiano kwa nyakati za awali na kukiri hatorudia kufanya kosa lile,
Sasa kumkashifu siyo vyema naye ni mwanadamu anakosea vile vile.... [emoji87] [emoji378] [emoji91]
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja, mapenzi anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
Mmmhhhhh
 
Nikurudishe nyumba vipi tofauti ya ladha kati ya mchepuko na mupenzi. Nani zaidi anajituma kwenye 6x6
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja, mapenzi anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
Hivi ulikuwa unamtaja wakati gani, ni zile za kuwazingua madume wamwage au wakati wewe unapanda mlima kilimanjaro? Pia kumtaja ni ishara kuwa lijamaa anachapa mzigo sawasawa au zaidi ya mpenzi wako, Michepukoo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yawalimwengu mazido mdogo wangu. Tega sikio upate kusikia kwa makini.
 
Hivi ulikuwa unamtaja wakati gani, ni zile za kuwazingua madume wamwage au wakati wewe unapanda mlima kilimanjaro? Pia kumtaja ni ishara kuwa lijamaa anachapa mzigo sawasawa au zaidi ya mpenzi wako, Michepukoo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Fikra zilikuwa kwa mwinginee yaan natumia hisia za mwingine kusikia raha
 
Hahahaaaaaaa.................. hiyo mbona ipo sana tena kwa watu wengi, unakuta mtu anavuta movie aliyokuwa amekutana na mtu mwingine ili kuweza kukamilisha haja zake...................................pole sana na usichepuke tena
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
mwanangu acha we mapenzi mwenzio sitaki kuyasikia maaana subili nizame ukulaasa nikupeni story
 
IMAO hata huyo uliyemkimbilia bado ni mchepuko since bado hamkufunga ndoa rasmi.
 
Circumstances huwa zinaumbua. unakuta text au simu yake inaingia mda ule ule upo kwenye shughuli unamwambia sorry napokea simu ya mama. unapokea unahema anakuuliza "vipi mpenzi mbona unahema hivo unamjibu aah usijali nimetoka kupandisha ngazi hapa". anakwambia "ooh pole i miss you natamani nikuone"
mhh dhambi hizi.
 
Acha uwongo wewe sema ulikimbia show huenda jibaba lilisimamia kucha
 
Sidanganyiki! Unajipigia tu promo humu uonekane una mapenzi ya kweli!
Ukishachepuka mara moja ni lazima utaendelea tu kuchepuka.
 
Back
Top Bottom