Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
 
Hapa sasa ndiyo nashindwa kuwaelewa wanawake!!
Alikulaghai vipi wakati wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu?

Ulipenda mwenyewe uchepuke kwa tamaa zako ,pia kulia na kuondoka haikusaidia kitu sababu ushatombw*******()
kama ungefikiria hayo usingethubutu kuvua chupi na kunyegeka kwa jamaa.

unaigiza tu wewe.
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja, mapenzi anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja,kutomba anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena

umetukana mkuu....kitenzi kikurupushi kimetumika
 
Hiyo ndiyo tabia yako Acha uongo wewe....unapima upepo siyo!!!
Hapa sasa ndiyo nashindwa kuwaelewa wanawake!!
Alikulaghai vipi wakati wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu?

Ulipenda mwenyewe uchepuke kwa tamaa zako ,pia kulia na kuondoka haikusaidia kitu sababu ushatombw*******()
kama ungefikiria hayo usingethubutu kuvua chupi na kunyegeka kwa jamaa.

unaigiza tu wewe.
Simply ulikuwa unajiuza na hili huenda likawa ni tangazo....nilikuwa nawaza tu
Kwahaya maelezo yenu mleta post atakuwa kazidi kujisikia uchungu.
 
Halaf unakua unaona kama anakuona au anakuchungulia dirishani,huwa inauma sana,
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja,kutomba anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
Aise kama unaniita mimivile [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?

Hahaha vipi kama zoba wako asingetuma sms, bado ungelia machozi?
 
Hivi hata ukiwa bado hujaingia kwenye ndoa bado unaweza kuchepuka?
 
Back
Top Bottom