Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

ukisalitiwa utajua nilifanya nini...nikikujibu hutaelwa...
Mhh mkuu hizo za kusalitiwa na mwanaume nshazoea sahv naona kawaida tu anajiendea anachepuuka na mim nikiona stress zmejaa najichepukia tu tukirudi ndani ngoma droo
 
mimi haikuwa hivyoingekuwa hivyo nisingejali hata nisingejali...
 
Etii??....sijajua...wapo wazoefu hata hawajali...nahisi sina hakika...mke wangua alinisaliti hata hajali kanenepa kama mbuyu...anakula bata mlima siti na mme wake mpyaaaa....
Mmmh
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Kenge kahaba wa mwendo Kasi ww, kunguni kabisa
 
vipi siku zilizofuata i mean 2, 3, 4,...., etc, etc
 
Duh Vijana naona mnamlaumu na kumtusi huyo Binti as if nyie hamchepuki.... Tusiwe baised. Asante Sana mleta Mada kwakua muwazi....
 
Nilishawahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja single mama alikuwa anamtoto wa miaka 4, alikua hana job nikawa nampa tip za kupiga hela hadi akaweza, kufungua biashara yake ya mgahawa, siku moja nikawa nimesafiri kidogo tu na hom nimeenda wilaya ya pili, ikafika jioni kama saa nikampigia sim mara ya kwanza haikupokelewa mara ya pili ikapokelewa alipo pokea ni kama vile mtu anaongea kama kabeba mzingo mzito mgongoni huku namskia anajingeuza kitandani duh!! Wanawake bhana
 
Wakati unafanya hukupata utamu? Yani wewe baada ya kumaliza ndio ukaanza kutokwa machozi mh!! Kasheshe
 
Hahaha yani Jf ni mtandao wenye vituko kuliko mitandao yote ya kijamii maana humu watu wana mapovu zaidi ya povu za aerial
 
Niwe funzo kwako na kwa wale wote walio kwenye penzi la kweli na sio maigizo, nafsi inakawaida ya kukusuta ukifanya kosa na kujielewa hili kosa, ubaya wa nafsi ukipuuza unazoea na kuzama kwenye dhambi.
 
Nilishawahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja single mama alikuwa anamtoto wa miaka 4, alikua hana job nikawa nampa tip za kupiga hela hadi akaweza, kufungua biashara yake ya mgahawa, siku moja nikawa nimesafiri kidogo tu na hom nimeenda wilaya ya pili, ikafika jioni kama saa nikampigia sim mara ya kwanza haikupokelewa mara ya pili ikapokelewa alipo pokea ni kama vile mtu anaongea kama kabeba mzingo mzito mgongoni huku namskia anajingeuza kitandani duh!! Wanawake bhana
alivyokuwa mpambuvu hakujua kama utajua...
 
Back
Top Bottom