Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
duh..humanity..yani una hisia kweli..na ni kweli ulijik=hukumu..ndio inatakiwa watu tuwe hivi sio tunachepuka bila hata aibu wala kushtuka...pia atleast ungemweleza ukweli pia...japo kwake haelewi nini kimekutokea..ila AJUE TU PIA MUHIMU ILI AJUE kuna watu wanaelewea na kutambua makosa BUT HONGERA SANA NA BADO YOUR JUST A HUMAN BEING WHO MAKES MISTAKES AND RECTIFIES THEM
 
Sasa hivi hata nikiguswa na jani nashtuka kabisa ,nikifikiria Maneno anayoniambia G sifikirii kabisa kuchepuka,ananipenda ananipa mapenzi yote,ananitunza,anataka niwe na furaha muda wote,hata sijaribu kabisa tumefanya zamani inatoshaaa
Malaya mstaaafu
 
lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia

alikulaghai kwa maneno na vipesa, alikwambia ukilala nae utageuka mti wa pesa au utapaa ahera?

udhaifu wako mwenyewe, shida, tamaa, ashki zisizoridhika na kirungu kimoja na upeo wako mdogo kichwani msimgeuzie mwanamme
 
Habari wanajamvi

Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.

Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"

Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake

Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Siku zilizofuata ukichepuka bado unaendelea kufeel the same kama awali?
 
Niliwah kuachana na mtu nikapata mpenzi mpya heeheh lakin nikawa nawaringanisha naona yaan nimeshuka daraja, mapenzi anajua ila nilikuwa nikifanya nae akili yote inamuwaza mpenzi mwingine huwezi amini nilikuwa namtaja jina yule bwana angu wa zamani ,nashukuru sasa ashanitoka na nikifanya wala simfikirii tena
UKIFANYA NINI HUMFIKIRII HUYO MPENZI WAKO MAMAA SABRINA
 
Sikuizi kawaida haulii tena, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kho' kho' kho'

lol nilikua kajinga sana kapumbavu ka kwanza kabisa... that day ya mpira asante mungu shetani alipita kushoto!! Nafsi iliniuma sana sana mpaka waleo nakumbuka statement yako moja inanisaidia sana. Thanks
 
Hehehe... Nakumbuka sana... Na machale yakanicheza...
 
Back
Top Bottom