Siku ya Break up!

Siku ya Break up!

Sijui kwanini nimecheka basi tu.
cute b
Ukihisi joto la Dar limekuwa juu sana na jua limeongezeka nikushauri wewe uliye katika mizunguko yako na unatamani upate sehemu yenye ubariiidiii kabisa upumzishe nafsi sehemu sahihi ni crdb azikiwe ama nmb kisutu Ingia ndani kaa kwenye sofa kula kiyoyozi Hakuna maswali
 
Nishapigwa chini 2010 na depo moja hivi kali sanaaa nilichokifanya nikajiwekea ukaribu sanaa na marafiki zake ili wanipe ushauri (LENGO ILIKUWA NIWATAFUNE WOTE WATATU) mwisho wa siku kwa kutumia itikadi za ufisadi nikala wawili kitu ikasanuka..........
Haipunguzi machungu ila inarudisha hadhi ya kiume!
 
Hamna bwana wengine tunawapenda wengine tunabuy time tukiwasubiri tuwapendao
Unaweza kumuambia?as in ""Mr. Man",ujue sio kwamba nipo deeep kihivyo,tupeane raha tu ila mi niko mguu mmoja nje.nikipata ninaempenda nasepa"???
 
Haya maisha sijayapitia kwakweli, kuna wakati nahisi hata experience yangu ni ndogo juu ya wanaume.Alienipenda alinipenda nkashindwa kuchomoka mpka leo ndo mume.
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Pole sana. I can feel your pain. Ila nafasi bado ipo. Piga moyo konde. Utampata wa kukufaa
 
Mimi nilikuwa na historia ya kuacha tu sikumbuki kuachwa, kuna mmoja huyu alikuwa bikra nikamla wakati nipo nae, mimi na gf wangu tuligombana kama wiki 2.Baada ya wiki 2 tukarejeana na gf wangu sasa, Huyu mtoto bikra kumbe si alipagawa wakati huo huo nilikuwa na demu mwengine mjane huyu alikuwa anagegedana hatari. Sasa nikiwa nishazowea kuacha nikapata manzi mmoja mzuri na papuchi yake tamu hatareee. Nilidumu nae kwa miezi 6 akaniwacha nikaanza kupiga Pombe hatari sana. Nikawakumbuka manzi wa zamani niliowaacha sijui walikuwa na maumivu gani, bahati nzuri niliacha kulewa sasa navuta bangi kama mbuzi na majani.

Ndukiiiii
Hata mimi nashuhudia hii bangi uliyoandika hapa
 
Sikumkosea chochote huwezi amini. Nilikua nahamia NYUMBA nyingine nikamwambia. Kumbe ile ndo ilikua sababu. Anasema aliona hata kunisaidia kodi hawezi na akija anafikia kwangu na Dada zake wakamwambia huyo mwanamke humuwezi. Kwahiyo akaona bora ajitoe kwa style hiyo ya kutopokea simu. Alirudi akaomba msamaha ndo akaniambia hizo sababu na nikamsamehe sababu nafasi yake ilikuwepo bado. Ila sikua na imani nae tena. Hata mapenzi nikaona hataki Kama zamani.
Alikupiga fix hizo sio sababu halisi.
 
Ndo yalivyoo mapenzi. Now hakuna MTU utadate nae hajawahii Kuumizwaa...So ni kumove on tu!
Hivi mnaosema kila mtu kawahi kuumizwa huwa mna uthibitisho gani? Kwani ni lazima kila mtu awe kaumizwa kwenye mapenzi?!
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
njoo kwangu cheupe nikupe tulizo la moyo.
 
heheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani
.
.huwaga sisubiri mpaka niachwe" bali natengeneza mazingira ya kuachana ili tutoke ngoma draw" ... Huwa nakaa kimtego mtego" Asipo nipigia na mimi simpigii" Asipo nitext na mimi simtext"... nikimtafuta hewani mara 1 then ikawa ha-respond basi sijishughulishi kumtafuta tena" mpaka atakapo nitafuta yeye" cause missed call yangu siameiona bwana".... ikitokea akapiga kimya kwa muda wa siku 3,.. basii nafuta namba yake kabisaa' ili nisije pata mshawasha wakumpigia"...

that's all
We jamaa upon vizuri
 
mnaong'ang'ania mpaka mnaachwa acha muumie, tena hasa wanaume, unaona kabisa sehemu ulipo siko, unakazana kubembeleza kana kwamba huoni wengine mpaka siku upewe za uso
inashangaza sana aisee ... kuna watu namna ya kusikia kwao ni namna ya kenge" mpaka watoke damu masikioni
 
Mimi nilikuwa na historia ya kuacha tu sikumbuki kuachwa, kuna mmoja huyu alikuwa bikra nikamla wakati nipo nae, mimi na gf wangu tuligombana kama wiki 2.Baada ya wiki 2 tukarejeana na gf wangu sasa, Huyu mtoto bikra kumbe si alipagawa wakati huo huo nilikuwa na demu mwengine mjane huyu alikuwa anagegedana hatari. Sasa nikiwa nishazowea kuacha nikapata manzi mmoja mzuri na papuchi yake tamu hatareee. Nilidumu nae kwa miezi 6 akaniwacha nikaanza kupiga Pombe hatari sana. Nikawakumbuka manzi wa zamani niliowaacha sijui walikuwa na maumivu gani, bahati nzuri niliacha kulewa sasa navuta bangi kama mbuzi na majani.

Hatare sana mkuu, kwa hii kipande hii umevunja mbavu zangu "navuta bangi kama mbuzi na majani".
 
Hatare sana mkuu, kwa hii kipande hii umevunja mbavu zangu "navuta bangi kama mbuzi na majani".
 
Back
Top Bottom