ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,368
Siku nyingine ukiona chick anakuletea mapicha picha, kapunguza mapenzi, we mchane tu aseme kama kaona haumfai au kapata mwingine, sio kujishusha shusha sana utazani yeye malkia.Ilikuwa ndo first love kipindi hicho ninae mmoja tuu...!! Kujikutaa loyal khaaaa nlinyooshwa
Na usije kumwamini mwanamke 100% hata akupe mapenzi ya kihindi mixer kikorea.