Siku ya Break up!

Siku ya Break up!

Mimi hakuwa mpenzi ila alikuwa best friend. Sikujua kuwa tulikuwa na competition kati yetu. Kila nilichomfanyia alinichukulia for granted. Siku nilipoacha kupokea simu zake na kujibu text zake aliwatafuta mpaka ndugu zangu waongee na mimi. Niliamua basi
 
Aisee ilee siku napokea msg toka kwa shemeji yenu tuachane baada ya kusumbuana kwa muda mrefu Sana nilionaa Kama Gizaa hivii afuu nkataka kudondokaa ikabdi nikaee kitandanii Kwanzaa...! Yale maumivu Mungu ndo anajua..


Ulikuwa na hali gani siku umeachana na mpenzi wako?????
Mi nilipiga party binafsi niliruka debe nikagonga ugimbi saaafi, nilikua na celebrate freedom at last, free to do whatever i want, bila kuhofia kumuudhi mtu
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Duh wataofuata baada ya jamaa wataisoma
 
Ilikuwa ndo first love kipindi hicho ninae mmoja tuu...!! Kujikutaa loyal khaaaa nlinyooshwa
Mi napenda niwe loyal kwa demu wangu wala sihangaiki na mademu wa nje, ila tukiachana pia hainiumi maana nachukulia poa tu, if it doesnt work now it wont work in the future, period! And sisi sote ni humans, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kukaa na kutumia mda wangu kuwaza vitu visivyoleta effect kwa wakati huo.
 
Hawaisomi nawaambia tu ukweli siwezi kudate. Sitaki kuumiza MTU kisa niliumizwa. Nitakaempenda tena nitampa mapenzi yote wala sifikirii kuumiza mtu
Uko vizuri mkuu, kila binadam ana madhaifu yake, ila pale unapokuwa free kuengage na hizo feelings unaengage nazo tu, when u are not ready it wont work kwasababu utakuwa unajidhulumu mwenyewe
 
Uko vizuri mkuu, kila binadam ana madhaifu yake, ila pale unapokuwa free kuengage na hizo feelings unaengage nazo tu, when u are not ready it wont work kwasababu utakuwa unajidhulumu mwenyewe
Eeeh. Mimi siwezi kuidhulumu nafasi kwa kweli.
 
Hawaisomi nawaambia tu ukweli siwezi kudate. Sitaki kuumiza MTU kisa niliumizwa. Nitakaempenda tena nitampa mapenzi yote wala sifikirii kuumiza mtu
Hawakujulii tu wanatakiwa wajue kujidhalilisha ,maana njia yako inahitaji mtu commited,miamba ya hivi inawezekanika
 
Nishapigwa chini 2010 na depo moja hivi kali sanaaa nilichokifanya nikajiwekea ukaribu sanaa na marafiki zake ili wanipe ushauri (LENGO ILIKUWA NIWATAFUNE WOTE WATATU) mwisho wa siku kwa kutumia itikadi za ufisadi nikala wawili kitu ikasanuka..........
 
Mimi nilikuwa na historia ya kuacha tu sikumbuki kuachwa, kuna mmoja huyu alikuwa bikra nikamla wakati nipo nae, mimi na gf wangu tuligombana kama wiki 2.Baada ya wiki 2 tukarejeana na gf wangu sasa, Huyu mtoto bikra kumbe si alipagawa wakati huo huo nilikuwa na demu mwengine mjane huyu alikuwa anagegedana hatari. Sasa nikiwa nishazowea kuacha nikapata manzi mmoja mzuri na papuchi yake tamu hatareee. Nilidumu nae kwa miezi 6 akaniwacha nikaanza kupiga Pombe hatari sana. Nikawakumbuka manzi wa zamani niliowaacha sijui walikuwa na maumivu gani, bahati nzuri niliacha kulewa sasa navuta bangi kama mbuzi na majani.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hata asipokua committed Mimi nikimpenda atanipenda. Tatizo langu kubwa sio MTU wa kunipend ni MTU wa Mimi kumpenda
Hapa nimekuelewa sana ,ndo maana kupoteza muda na mioyo ya wanawake ni Kama kujiingiza kwenye kamali kwa uzoefu wangu 80per ya wanawake mahusiano hawajawapenda wenzi ni upweke na uselfish ,wanaume wa desgn yako tupo tatizo sisi hatupewi mzigo tukijaribu kusema hatuwezi date ,so tunadanganya tukisha onja msaada ni kuacha taratibu bila kuumiza
 
Nimeshapoa kabisa bae nimeandaa moyo kwa mapenzi mapya
Naomba kuuliza hivi akija kuomba msamaha wa zamani unaweza kumrejea? Sababu ya kukuuliza hili suali kuna ex-wangu wa zamani nimerejeana nae ila naona hatabirikia leo anataka kesho hataki.
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Ulimkosea nini?
 
Mimi hakuwa mpenzi ila alikuwa best friend. Sikujua kuwa tulikuwa na competition kati yetu. Kila nikichomfanyia alinichukulia for granted. Siku nilipoacha kupokea simu simu zake na kujibu text zake aliwatafuta mpaka ndugu sanguine waongee na mimi. Niliamua basi
Huyu rafiki yako ndio yule ulieleta uzi kuwa mama yake alikuja lakini hakukuambia, ukaamua kuuvunja urafiki nae?.
 
kaka polee sanaa ila baada ya hapo wanasema utakuwa na rohoo ya paka .
niliambiwa okay now rijali me and you it's over sikutikisa kiberitii maana.mimi ndio nakimilikii nikawashaa tuuu
nikamjibu safari njema mama unajua mtu mpaka alipigaa simu kweli unaniambia hivyoo nikasema ndiooo

bila kupoteza muda mabibi na mabwana ngoja tusign hapa tumehudhuria huzuniko la ndugu yetu inaonyesha ameshakuwaa
 
Back
Top Bottom