Siku ya Break up!

Siku ya Break up!

naona nyotanyota tu hapa maana yamenikuta hapa ila baada ya kupitia uzi huu nitakua na matawi kama yote vile
 
Nilikuwa na uhusiano na dada fulan huyu alikuwa kama model mzur sana na mwembamba

Nikampima ngoma nikawa najimegeaa peku sasa tukawa tumeshibana sana kama hela nikawa nampa sana tumekaa kwenye mahusiano kama miez 4 ,,baadae huyu dada akawa anasubir mpaka mimi nimtafute baadae nikamuambia kuwa huru kwangu nipe majibu mm nakuona kama sikuelewi kama wataka kuniacha naomba uniambiee akasema hapana sms nakuwa sina nikamuambia sio uniandikie tafadhari nipgie akasema mm siwez kuandika nakuwa najiona najishushiaa nikasema poa

Usiku saa sita akanitumiaa sms kwamba " JOHN PLZ NAOMBA UNIACHE YAAN TUACHANE MIMI NA WEWE PLIZ NAOMBA ASANTE KWA KUNIELEWA"

NAMI NIKAMJIBU "NASHUKURU NIMEKUELEWA BORA UMEKUWA MUWAZI NAKUTAKIA MAISHA MEMA"

Sikulizika nikampgiaa simu lakin hakupokeaa kabisa baadae akanitumia sms '' SAMAHANI SIWEZ KUONGEA MUDA HUUNITAKUTAFUTA KESHO" hata siku mjibu ,,badae nikamtumiaa sms KUACHANA SIO UGOMVI NASHUKURU UMENIAMBIAA NAM NIMEKUBALI MATOKEO SINA KINYONGO NA WEWE WALA SIWEZ KUKUCHUKIA KAMA TUKIONANA NITAKUWA NAKUPA SALAMU KAMA KAWAIDA NA ISIWE UGOMVI BAINA YETU

siku moja nipo stand nikamuona hapo ni siku nne mbele baada ya kusema tuachane nikampgia simu nikamuambiaa nakuona na nikaenda kumpa hie tukawa twaongea na twataniana kama dada naona umeamua kuniacha naye kiutani anasema kaka ,,bas akaniambiaa nina njaa nikamuambia wataka kula nn akasema hata chipsi nikamnunulia akaenda kulia kwenye gar nikamuambia sababu ni nini akasema ni maisha sababu ,sikutaka kumdadis zaid akaondoka alipofika kwao akaniambiaa nimefikaa

Huyu nimelala naye mara nne ,,lakin kitandani hayupo vzur kivilee

Solution

Najua kama yupo na mtu mwingne ila mm nakuwa naye ni rafk wa kawaida kwan mpaka sasa hatutafutani .nam muda huu nimefuta namba yake kwan kichwani nimeishika nataka hadi anitafute yy maana nikiwa nimesave naweza kushawishika kumpgia naye atajionaa ,na namsikilizia mahusiano yake mengne atafikia wap na huyo mtu na yeye atapma kwenye mizani nan ni muhmu kwake kama akizinguana na huyo mtu wake
Miezi mnne umelala nae mara4!!!!????be serious men!,Mimi demu miezi mitatu tu ashagongwa Mara 30,unatuabisha team kiumeni mkuu
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Ooopss! Pole sana, sikujua kama utaumia coz nilikua nahisi huna hisia nami. Anyway kwakua leo tumekutana tena, turejeshe furaha yetu kama awali mamaa.
 
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena

Akandoka na mapenzi yako kivipi tena? Kwa nini ulimkubalia akaondoka na mapenzi yako? "Nobody should hurt you without your permission - Mahatma Gandhi. ... If you are determined not to give in to the slowing poison meant to harass your peace, .... If you are hurt then it also means that the other person can control you ..." Girl, please get your love back. Now! You have got all the power to choose your romantic destiny. Vingenevyo, kudai kuwa aliondoka na mapenzi yako is merely a defensive mechanism uliyotengeza kujilinda.

Kuna trainer mmoja alidai kuwa kama hujadate for more than 2 years after break up, then utakuwa na matatizo ya kisaikologia na kihisia. Wewe umevuta miaka mitatu. Kwa nini bado upo single three years after breakup? Let's explore the possible reasons:
  1. Kujilinda - Bado una hasira three years after baada ya kuumizwa sana na ex wako. Matokeo yake unajikita zaidi kwenye kujilinda ili usiumizwe tena. Hii ni kawaida maana tokea tukiwa watoto tukiumizwa tulikuwa tunajilinda sana. Kama ulikuzwa na wazazi ambao walikuwa hawakuthamini sana utakuwa very suspicious na watu ambao wanaonyesha mapendo sana kwako. Hii inaendelea mpaka ukubwani hasa pale tunapoogopa kuwa vulnerable tunafunga milango/kufungia wengine nje kutokana na our previous experiences.
  2. Matokeo ya kujilinda sana ni kuwa utaishia kumchagua mtu ambaye siyo ideal partner kwako. Utaanzisha mahusiano mafupi na watu ambao hawako emotionally available kwako. Kwa sababu hii inatokea bila kujua (unconscious), unajikuta unamlaumu mwenzako kwa wewe kutokuwa na mapenzi ya raha wakati ni wewe mwenyewe ulikubali kuwa naye in the first place.
  3. Fear of intimacy - basically unagopa kumpenda mtu usije ukaumizwa tena. Msome Robert F Firestone, Ph.D. kwenye malaka yake: "You Don't Want What You Say You Want"
  4. Kujilinda kunakufanya uwe "picky" (kuchagua sana). Unaweka unrealistic expectations za mtu unayemtaka. Pia unakuwa more judgmental based on your previous experiences. Ukiona mtu anakutaka unaanza kufanyia analysis kwa kuanzia na mabaya yake. Pia utaanza ku-generalise kwa kusema hakuna mwanaume wa maana out there au wazuri wote wameshachukuliwa. In doing so, you are still idolizing your ex tena sana. Trust me on this. Yaani unaona mwanamke mwenzako anafaidika sana kwa kuwa na ex wako. Jealousy, wivu whatever language you wanna call it. Kujilinda sana kunakufanya uwafukie watu ambao could turn out to be potential partners au wakaku-introduce kwa mtu mwingine ambaye ni potential.
  5. Low-self esteem - kwa vile ex wako alikuacha unaamini kuwa lazima utakuwa na kasoro. Kwa nini akuache hivi hivi tuu? He must have seeing something wrong in me. Unaanza kujisikiliza na kujikosoa mwenyewe. Confidence inakuwa minus 50.
  6. Kuogopa competition - hasa kama ex wako alikuacha fasta na kuaanzisha mahusiano na mtu mwingine. Ukweli ni kwamba dating is competitive. You have to get out there and compete with others. I will be worried to date you, if you have not dated for the last three years. Seriously? May be you meant not being in a relationship for three years.
  7. Kujitenga - kujilinda, kuogopa na kutokuwa na confidence make you live in your comfort zone. No good at all. You are not getting younger. Kadri umri unavyokwenda wachache watavutiwa na wewe.
  8. Kasumba fulani hasa kwa wanawake kuwa "Mume mwema huletwa na Mungu". Hakuna kitu kama hicho. Don't sit home alone praying that mume mtarajiwa atashushwa toka mbiguni. You have to get your ass out there and look for him. Mwanamke kujituma.
Nakubaliana na were kuwa "Things Fell Apart" baada ya ex wako kukuacha. It was "No Longer at Ease" kwa sababu mtu uliyemwamini kuwa "A Man of the People" alikuacha. Ulijua maisha yamefika mwisho. Lakini miaka mitatu imepita sasa na bado uko hai; tena unapasua anga kama hauna akili nzuri vile. Think about that.

Lakini deep down, unaogopa kubadilisha gia angani kwa sababu you are scared of the "The Petals of Bloods". I can also sense your deep inner voice lauding out clearly that "The Beautiful Ones are not yet Born" or are already taken. Girl, don't be afraid to face "The Trial of Dedan Kimathi". You have to cross "The River Between" to explore the other side of the world. Because "What you sow does not come to life unless it dies" - A Grain of Wheat. All the best.
 
Daaah nikikuwa katika wakati mgumu sanaaa, kwasababu nilimpenda na kumvumilia hadi pale alipokuwa ananifanyia vituko, aliponiacha nilikosa hata hamu ya kula kwa siku saba, njaa inaniuma lkn chakula hakipiti, nilikuwa nakula ili tu niweze kuishi. Lakini baada ya mwaka na nusu kupita akawa keshazalishwa na akawa anahitaji turudianeee. Daaha kuna wanawake wanaroho ngumu kwakeli sijui alikuwa anapata wapi ujasiri wa kuniambia turudiane
 
Niliumia sana,nililia na kulia nilichanganyikiwa wiki nzima nilikuwa naona kama dunia imenizunguka,tokea hapo sijawahi kupenda tena,baade niliolewa na mwanaume ili kutimiza wajibu,niko kwenye ndoa ni miaka 16 sasa,siumii kw a chochote alale nje,Sawa arudi ucku wa manane sawa,acheat atakavyo Niko sawa ila huwa namuonea huruma sana mime wangu kwani ananipenda kupita kawaida.ndoa yangu ni ya amani kwa sababu simfuatilii na kwa sababu sina upendo wa dhati
 
Aisee Huyo mwanamke alikuwa muuaji...!!
 
Daah kweli uliumia Sana Dada angu mpaka kwenye ndoa bado Hujalii kabisaa...!! Aisee lilikuwa pigo zitoo
 
Sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka niliuza kila kitu ambacho tulishawahi kukishare nilianza nakitanda nikafata simu na lain zote Then pale nilipokua nimepanga nikahama ko ivo nilianza upya kabisa
 
Niliumia sana,nililia na kulia nilichanganyikiwa wiki nzima nilikuwa naona kama dunia imenizunguka,tokea hapo sijawahi kupenda tena,baade niliolewa na mwanaume ili kutimiza wajibu,niko kwenye ndoa ni miaka 16 sasa,siumii kw a chochote alale nje,Sawa arudi ucku wa manane sawa,acheat atakavyo Niko sawa ila huwa namuonea huruma sana mime wangu kwani ananipenda kupita kawaida.ndoa yangu ni ya amani kwa sababu simfuatilii na kwa sababu sina upendo wa dhati
Kwako nyege08

Nakuomba uwe mchepuko wangu. Coz naona kuna vitu tunafanana. Hope maombi yangu yatakubaliw
a.

Natanguliza shukrani za dhati
 
Aisee ilee siku napokea msg toka kwa shemeji yenu tuachane baada ya kusumbuana kwa muda mrefu sana nilionaa kama gizaa hivii afuu nikataka kudondokaa ikabdi nikaee kitandanii kwanzaa yale maumivu Mungu ndo anajua.

Ulikuwa na hali gani siku umeachana na mpenzi wako?
Hahahaaa
 
Kwako nyege08

Nakuomba uwe mchepuko wangu. Coz naona kuna vitu tunafanana. Hope maombi yangu yatakubaliw
a.

Natanguliza shukrani za dhati
Hutafurahia kwa sababu sina upendo wa dhati kwa sasa nelly1:
 
Sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka niliuza kila kitu ambacho tulishawahi kukishare nilianza nakitanda nikafata simu na lain zote Then pale nilipokua nimepanga nikahama ko ivo nilianza upya kabisa
Duuh kushare kununua vitu mkiachana vinaacha memory...sema ungekomaa tuu
 
Back
Top Bottom