Siku ya Break up!

Siku ya Break up!

Tulikuwa ndio tumeanza masomo baada ya A level. Akanìita pale baa fulani oposite na m.city ukiwa kama unaenda survey. Sasa nilijiandaa vema nkajua babe now amekuwa. Paka kunitoa dinner. Kufika pale alikuwa na marafiki zake wawili. Nlipofika aliwambia rafik zake wakae pembeni watuache....

Alichoniitia ni kwamba anaomba likizo ya miaka 4 paka amalize course yake. Hapo hapo akaniambia ameokoka. Mwili ulikufa ganzi nilijua ni utani but alikuwa sirias. Nkajikaza kumtishia kumwambia chagua moja kuwa namimi au tuachane.
Akasema yeye anataka likizo tuu. Mimi nikamwmabia tuachane. Tulizungumza paka saa saba. Nilikonda gafla. Sikuwahi kusikia maumivu ya moyo kama ile siku.
Nirirud hostel sikulala sikuamini. Niliumia saana kula ilikuwa shida. Nliona hamna haja tena ya kusoma. Hamna haja ya kupenda. Wala dunia hamna mapenzi ya kweli. Nilianza paka kuchukia dini hizi.
Time heals

Lakini Mungu ni mwema. Mlango mmoja unafungwa mwingine unafunguka.... badaa ya wote kumaliza elimu alikuja kuniambia ni utoto tuu ulikuwa na peer pressure.
Anatamani tuwe kama ilivyokuwa.
But there is no room for that.
 
Aisee ungempiga na vibaoo kidogoo maana duuh...!! Kuna watu wanajua kucheza na hisia za watu
 
Niliumia sana,nililia na kulia nilichanganyikiwa wiki nzima nilikuwa naona kama dunia imenizunguka,tokea hapo sijawahi kupenda tena,baade niliolewa na mwanaume ili kutimiza wajibu,niko kwenye ndoa ni miaka 16 sasa,siumii kw a chochote alale nje,Sawa arudi ucku wa manane sawa,acheat atakavyo Niko sawa ila huwa namuonea huruma sana mime wangu kwani ananipenda kupita kawaida.ndoa yangu ni ya amani kwa sababu simfuatilii na kwa sababu sina upendo wa dhati

Sijui kama members wengine wameona nilichoona mimi hapa!!!
Mahusiano yanachanganya sana
 
Back
Top Bottom