Siku ya Break up!

Siku ya Break up!

Mimi hakuwa mpenzi ila alikuwa best friend. Sikujua kuwa tulikuwa na competition kati yetu. Kila nilichomfanyia alinichukulia for granted. Siku nilipoacha kupokea simu zake na kujibu text zake aliwatafuta mpaka ndugu zangu waongee na mimi. Niliamua basi
Umenikumbusha mbali sana..maumivu makubw niliyowahi kupata katika mahusiano yalisababishwa na mtu ambaye mimi nilimchukulia kama rafiki yangu kutoka moyoni na siku niliogundua yeye ameacha kunichukulia kama mtu wake wa karibu basi nilijisemeaga sitakuwa na rafiki wa krb...hadi leo sina mtu wa karibu ingawa nina kampani kubwa
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Duh pole sana mamii, hakuwa wa kwako huyo! Ila jifunze kupenda tena ili uinjoy mapenz mengine yajayo yatafurahisha!
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Duuh, pole sana mkuu!! I hope now usharudi katika hali yako ya kawaida!!
 
Mimi hakuwa mpenzi ila alikuwa best friend. Sikujua kuwa tulikuwa na competition kati yetu. Kila nilichomfanyia alinichukulia for granted. Siku nilipoacha kupokea simu zake na kujibu text zake aliwatafuta mpaka ndugu zangu waongee na mimi. Niliamua basi
Madame unamanisha best friend alikuwa ana compete na wewe kwa mwanaume? Vipi huku msamehe?
 
Nilipokea ujumbe "F is no more". Kwanza nilihisi ujumbe umeandikwa kichina maana nilikuawa nasoma ila sielewi, nilishindwa kulia nikabaki nimezubaa tu. Nilijua anaumwa ila nilitegemea angepona hivyo kifo chake kiliniuma hadi kwenye mifupa. Hivyo ndivyo nilivyoachwa na mwanaume pekee nilowahi kumpenda sanaaaaaa.
Kuanzia hapo sijawahi kupenda tena hivyo ukiniacha unajisumbua tu na sijui kama nimewahi kuachwa au naacha hata suelewi.
Duuh, pole sana! Ujumbe huo alituma muhusika au? Vipi kifo chake kilitokea mkiwa mpo katika mahusiano ?
 
Hongeraa!! Kikubwa samehee, Shukuru Mungu kwa yote na zaidi usipende kumuumiza MTU kwa kuwa ulipitia njia hiyo!!! God is good!!
Asante mkuu. Siwezi kabisa kumfanya mwingine apitie nilichopitia
 
Yaaani huwa sikubali kabisa kuachwa . nikiona ananambia tuachane nakuwa mdogo ka piriton namrudisha kwenye mstar alaf namria timing pale penzi limekolea nampga chini bila huruma ata atoe machoz huwa sigeuki . hivyo ndo nlivo though kuna warembo huwa inaniuma kuachana nao lakin kama alarm irishawaka najifariji kwa kuongeza wengne w2
 
Back
Top Bottom