Siku ya Break up!

Siku ya Break up!

Niseme pole kabla sijajua umekumbuka wapi.. Hahahahaa
Hahahaa Hapana kuna binti kipindi cha Nyuma alitaka kuruka sarakasi.. kwa Biti na userious wa hali ya Juu nikamwambia Ukiondoka its your Loss nit mine.. and never turn your ass back.. Hahahaa Mpaka na leo!
 
Niliomba kukutana nae siku hyo baada ya conflicts kibao, anafika sehem ya tukio bila simu, yani kaiacha kwa rafik ake... nikaona hapa tayar kashanogewa na jama wa kando kiasi hata texts zao hataki kuzifuta tena kwny simu so akawa anaiprevent mm nisiione
Nlichofanya kwasabab nlmpenda sana na alkua ananiuma kumuacha.. nkamtia mkofi mmoja akalia kama mbuzi... then nikaepa mbele ya safar nikamtumia msg “guess who won Oscars? Me... kesho yake nimeblockiwa kila mahali nikaona frsh tu.. ila madem wapende hata ulie siku anakubwaga tu
 
Unafikiri kujifunza kupenda ni rahisi namna hiyo!!!
Ni rahisi kupenda kama utafahamu kwa pamoja vinahitajika jua na mvua ili ua listawi. Ukiwa na akili za kuwaza mvua pekeyake hutaweza kupenda!
 
heheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani.
Sikuwahi achwa, nilikua mzee wa round 3-4 napotezea siku game liliponibadirikia sasa!!... Hadi leo namuheshimu yule mwanamke!.
 
Mimi kama mwakilishi wa waoga duniani, huwa nasoma tu nyakati, halafu najipa challenge ya deadline ya kufanya maamuzi magumu; mfano kama wiki moja au mbili hivi.

Hii ni kwa sababu, nikiona tu sipendwi, bas najiona kama fala tu lenye mzigo.

Nakimbia mapema.
 
Sikuwahi achwa, nilikua mzee wa round 3-4 napotezea siku game liliponibadirikia sasa!!... Hadi leo namuheshimu yule mwanamke!.
Ulikiona cha Mtema kuni ....ha hahaa
 
Nilipokea ujumbe "F is no more". Kwanza nilihisi ujumbe umeandikwa kichina maana nilikuawa nasoma ila sielewi, nilishindwa kulia nikabaki nimezubaa tu. Nilijua anaumwa ila nilitegemea angepona hivyo kifo chake kiliniuma hadi kwenye mifupa. Hivyo ndivyo nilivyoachwa na mwanaume pekee nilowahi kumpenda sanaaaaaa.
Kuanzia hapo sijawahi kupenda tena hivyo ukiniacha unajisumbua tu na sijui kama nimewahi kuachwa au naacha hata suelewi.

So sad!
 
Back
Top Bottom