Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,177
- 12,669
Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili.
Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi.
Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae.
Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya kiwango cha seriousness walicho nacho Singapore na China katika kupata viongozi na kujenga nchi hakika tutakuwa Giant of Africa.